Mkubwa Mpeni sifa yesu, nini usichoelewa? Labda ni lugha ya kiingereza ngumu kwako?
Angalia uthubutu wa kagame ku dhibiti hata majenerali wa jeshi wa ngazi za juu wanapopotoka. Huyu Mkuu wa soka na jenerali wa jeshi alitaka kwenda SA bila ruksa, akakamatwa. Hapa Mafisadi kina chenge, karamagi, rostam aziz, Lowasa na wengine kibao wanakula maisha wakati ni wahaini wakubwa kwa nchi. Unadhani kagame angekuwa prezidaa wa bongo tungekuwa hapa na mafisadi wakitamba hivi??? Waaaaaapiiii. Ni Hapa ukwereni tu ndo unaweza kuiba na ukachekewa.
Kikwete sio rais? kumbe ni nani? acheni kashfa jamani hata kama ......Kwani Kikwete raisi???? mfananishe Kagame na Maraisi bwana!!!
Rwanda arrests football head on way to World Cup
Brig-Gen Jean Bosco Kazura (Photo from Ferwafa - ferwafa.rw/fed) Jean Bosco Kazura served in Sudan's Darfur region
The head of Rwanda's Football Federation, Brig-Gen Jean Bosco Kazura, has been arrested for travelling to the World Cup in South Africa.
An army spokesperson said as he was also a soldier, the football official needed permission to leave the country.
He was recalled and detained for "insubordination", spokesman Jill Rutaremara told the BBC.
He denied it was to do with the general contacting two senior officers who recently fled to South Africa.
They left Rwanda earlier this year after falling out with President Paul Kagame, who later reshuffled the military leadership ahead of elections due in August.
"Even though he serves in the private sector with the football federation, he still has to obey military law," Lt-Col Rutaremara told the BBC's Great Lakes service.
Brig-Gen Kazura was put in charge of training and operations after the reshuffle.
Before joining the football federation, he had served with Rwandan peacekeepers in Sudan's troubled Darfur region.
He was also involved in the military campaign conducted by the Rwandan Patriotic Front (RPF) to end the 1994 genocide, as were two other top-ranking officers arrested in April.
August's elections will be the second presidential polls held since the genocide when Mr Kagame, the RPF leader, came to power.
The World Cup kicks off in South Africa later on Friday - the first time it being held in Africa.
MAONI:
HIVI HUYU 'RAHISI' WETU SI KAMA KICHUGUU KWA HUYU MLIMA KILIMANJARO KAGAME AMBAYE AMEKUJA KWENYE SIASA JUZI TU????
Rais gani hana clue ya uongozi??? Raisi gane mzembe hivi wakati taifa linakwenda ovyo ovyo wakati yeye na mawswahiba wake wanakula kuku.
Cheki mwanaume huyu Rwanda. Kazi kwanza, starehe baadaye. Wakwetu- Kila siku starehe. Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Tufwire wanyambala
Mkubwa Mpeni sifa yesu, nini usichoelewa? Labda ni lugha ya kiingereza ngumu kwako?
Angalia uthubutu wa kagame ku dhibiti hata majenerali wa jeshi wa ngazi za juu wanapopotoka. Huyu Mkuu wa soka na jenerali wa jeshi alitaka kwenda SA bila ruksa, akakamatwa. Hapa Mafisadi kina chenge, karamagi, rostam aziz, Lowasa na wengine kibao wanakula maisha wakati ni wahaini wakubwa kwa nchi. Unadhani kagame angekuwa prezidaa wa bongo tungekuwa hapa na mafisadi wakitamba hivi??? Waaaaaapiiii. Ni Hapa ukwereni tu ndo unaweza kuiba na ukachekewa.
mkuu hapa umenena,nikiongea mimi wananiambia namimi muhutu,kwa hali ilivyo rwanda,tutegemee lolote mda wowote,haki za binadamu zinakiukwa waziwazi,nasasa kagame amemshikilia lawyer famous aliyesue ile arrest warrant ya kagame wakati kaenda marekani peter erlinder,kosa anasema ni genocide denial,google hilo jina ukasome vituko vinavyotokea huko na statement za goverment zilivyo kichekesho,mda si mrefu wamarekani watamchoka jamaa maana kiburi alichonacho sasa kinaenda mbali.sasa tayari ameshapata adui mwingine tena, uyo General tayari ameshakuwa kundi moja na wale waliokimbia..jamani, hivi kuna nini huko Rwanda, pamoja na kwamba kagame ana mapungufu mengi, lakini at least wanakaa kwa amani, washukuru Mungu hata iyo amani chini iliyoko chini ya kagame (hata kama insufficient), wanaenjoy kuliko vita na ukimbizi kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma...hawa naona wananusa mapinduzi hawa na kagame asipokaa vizuri wanaweza kumpindua, na akipinduka tu, ile kesi yake wafaransa waliyokuwa wanamnyemelea itaibuka upya na atakuwa nyuma ya nondo si muda..nakwambia watamkamata kagame akitoka tu madarakani...Rwanda bado inaishi kwa visa sana, wahutu ambao ni 85% bado hawana upendo na watusi ambao ni wachache, na wamejaa kwenye selikali na jeshini kama ilivyokuwa kipindi cha wabelgiji...jeshi limejaa watusi, selikalini wamejaa watusi..wahutu ambao ni majority hawana hata hamu...
magereza yamejaa maelfu ya watu ambao kesi zao haziishi, wengine wamesingiziwa tu kwasababu ni wahutu...wamewekwa ndani..ile roho ya kisirani na kisasi kutokana na kuchinja watusi bado ipo, na ndio maana Rwanda inaongoza kwa kuwa na jela hatari kuliko zote duniani bila shaka...kesi tu za mauaji ya halaiki inasemekana kama wakiamua kumshitaki kila mtu, zitaisha si chini ya miaka mia...labda apeleke mahakamani wahutu wote, ambao ni more then 80%...hatakuja kuwapa wahutu wengi waingie madarakani na jeshini, kwasababu watampindua muda huohuo..wahutu waliwaua watusi sana, na mpaka leo imewaumiza sana moyo, na kuwa nyima sauti ndo maana hawana sauti sana kwasababu wameshaonekana wabaya na hawataki kuendelea kuonekana wabaya duniani...pressure tu waliyoipata toka kwa kagame tangu ateke kigali, ni jehanum ndogo na wamefumbwa mdomo, ndo maana hata wanaogombana ni watusi kwa watusi...ambao population yao ni ndogo...akiweka wahutu wengi jeshini na selikalini wanampindua...na wahutu wengi ndo walikuwa wakimbizi watusi wakilindwa na RPF ya watusi...na hawataki kabisa icho kitu kitokee bora watawaliwe kidictator kuliko kurudia...hata kama walikuwa wauaji lakini wamejifunza kutokana na makosa...wamepata cha moto..na bado ni wanadamu wenzetu...ndo maana ajabu wanaogombana ni watusi kwa watusi..ajabu..
sisi Tanzania tunafanya nini ili kuwanusuru hawa watu, kwasababu wakianza ukimbizi wenye mzigo ni sisi, watakimbilia kwetu...na ile kusikika kwa vita watalii wanapungua kwetu...what is tz doing to prevent another atrocity from happening in Rwanda?
This is too much. Yaani tumefikia kushabikia kiongozi wa dola lingine na kumdhihaki rais wetu. Kama raia una haki ya kuwa critic kwa viongozi wako lakini hiyo haina maana as irresponsibly as this. Yaani hata story umeshindwa kuilewa. Ni wazi huyu hakukamatwa kwa kutoomba ruhusa ambayo ukweli walimkatalia kwani Kagame hivi sasa anaogopa kila mwanajeshi mwenzake. Wakati ninavutiwa na uongozi imara wa Kagame lakini ni wazi huyu jamaa taratibu ana evolve kutoka kuwa benevolent dictator to just another Africa's sad story.
Ndugu zangu tuwe makini, kinachoendelea Rwanda ni zaidi ya "utawala imara". Very soon tutaanza pokea wakimbizi upya. Kagame is losing and he is losing fast.....
Mimi huwa mara nyingi nachukia generalization za aina hii. Hivi ni nini alichofanya Kagame ambacho Kikwete asingeweza kukifanya kutokana na hiyo story? Tuwe waungwana ndugu zangu, tunapoamua kutoa lugha ya fedhuli ni vema tukajenga hoja makini ya kutetea sababu zetu za kutoa lugha ya aina hiyo. Kama Kikwete hawezi uongozi, watanzania tunayo nafasi ya kumwondoa madarakani mwezi October. Hakuna sababu ya kuanza kumuandika vibaya namna hii. Bado ni mkuu wa nchi huyu, ni vizuri tuheshimu position yake hata kama ana mapungufu. Kutoonekana majina yetu kusitupe ticketi ya kusema tu hovyo.
Nadhani hukutafakari habari hiyo sawasawa. Huyu jamaa kakamatwa siyo kwa sababu alikwenda kwenye mashindano ya WC nje ya nchi, alikamatwa kwa vile ni mwanajeshi na Kagame ana wasiwasi kuwa huneda anakwenda kukutana kisirisisri na wale wanajeshi wengine waliokorofishana na Kagame wakakimbilia South Africa.