Huu ni upuuzi.Unafikiri Kagame ni mjinga atake kupigana na Tanzania? Hivi mnalionaje jeshi letu nyie? Kuna watu hawalali kuhakikisha usalama na ulinzi wa nchi hii. Rwanda haiwezi hata siku moja kujilengesha kwa vita na Tanzania. Mmesahau yaliyomtokea Maj Buyoya wa Burundi miaka ile alipotaka kuichokonoa Tanzania? Rwanda is stronger than Burundi but way weaker than Tanzania. Aidha, PK ana maadui ndani na nje ya nchi kwa hiyo hawezi kuongeza maadui wengine strong kama Tanzania. Kagame akiondoka madarakani Rwanda wale jamaa watachapana. Bado kuna uhasama baina yao. Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri sana. Nadhani mtoa mada ni mbaguzi wa kikabila asiyempenda Kagame na Tutsi in general. Ana chuki sana na Tutsi. Acha.