Kagame ni hatari

Kagame ni hatari

mafimboo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
2,415
Reaction score
978
Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta ,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii,eti kagame ni kiongozi bora,huyu kwa akili zake hafai hata kuwa balozi,kitendo anachofanya kagame sio tu kinatoa picha mbaya nchini mwake Bali ni kwa bara zima,kwamba viongozi wanaingilia mahaka kutekeleza chuki za mioyo yao,jambo hili lina hatarisha uwekezaji kutoka nje
Ya bara LA afrika,muwekezaji akisia kuna kiwanda kinauzwa na serikali kwa njia ya mnada eti kwasababu mmiliki kaamua kugombea urais kumpinga raisi anayetawala,na mlalamikaji hajapewa haki ya kukata rufaa ,muwekezaji hawezi kuja afrika.waafrika tusipokemea mambo haya ,eti yametokea nchi jirani hayatuhusu,tutakosea sana wawekezaji wa kweli hawatakanyaga afrika,pia na wawekezaji wa ndani wataogopa kuwa siku wakipingana na mtawala viwanda vyao vitapigwa mnada,shida kubwa ya watawala weusi wanataka kuheshimiwa kama kwenye familia zao ,watawala wa kiafrika wanapaswa kutenganisha madaraka na kuheshimiwa wajione ni wananchi wakawaida
 
Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta a,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii
Kweli kabisa.
 
Hicho kiwanda atakinunua yeye.kwa utabiri wangu nadhani Rwanda kuna siku watachinjana Tena.
 
Subiri kwanza tubomoe kumbi la starehe la Mbowe na tuharibu shamba lake kwanza, na tumtie adabu mahabusu ili wapinzani waufyate mkia.
 
Huyu si ndio role model wetu mkuu?Ama wewe sio mzalendo?Maendeleo hayana chama,sasa huenda huyo binti ameleta uchama chama kwenye maendeleo ya Rwanda.Kwa hiyo lazima anyooshwe!Yeye si alijua Simba ni Simba tu?Ama alipomwona kwenye maonyesho ya kimataifa akadhani hang'ati?
Tuwe tuna tabia ya kusoma ramani kabla ya kuingia baharini!
 
Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo linalotoa picha mbaya kwa bara zima afrika,binti mdogo anampeleka puta a,kagame ni moja ya viongozi wasiofaa kuigwa hata kidogo ,waafrika tuna hulka za wanyama hususan sokwe,ukingalia maisha ya sokwe utagundua kuwa sokwe mkubwa hapendi mpinzani,alitokea mpinzani ni lazima amshambulie hata kumtoa uhai,wana roho ya visasi,ndivyo walivyo watawala wakiafrika ,afrika haiwezi kupiga hatua kwa viongozi wa namna hii
Ulichokinena Mkuu ni sahihi sana kagame si mtu mzuri hata kidogo anachomfanyia yule mama na kuamua kumfilisi kabisa ni sawa na yule Mwenyekiti Wa ufipa alivyomfanyia zitto mpaka zitto akaamua kukimbia chama hayana tofauti.
 
That guy is IDIOT hata hapa wapo wengine jasho liliwatoka juu ya katoto kadogo NONDO..
 
Ulichokinena Mkuu ni sahihi sana kagame si mtu mzuri hata kidogo anachomfanyia yule mama na kuamua kumfilisi kabisa ni sawa na yule Mwenyekiti Wa ufipa alivyomfanyia zitto mpaka zitto akaamua kukimbia chama hayana tofauti.
Tena ni kibaya sana,kinafanana kabisa na kile alichokifanya mbowe kumuuzia chama mamvi ili silaha asigombee urahisi!na alipopaza sauti akataka kumuua mpaka akakimbilia kanada. Mbaya sana hii tabia.
 
muosha huoshwa tuwaache wafu wazikane kinachonistua wananchi hawana hata time kufuatilia walishawachoka na siasa za Maji taka wanabaki kujifariji
 
Back
Top Bottom