Kagame na wanae maandalizi ya............................

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
Picha ya rais wa rwanda na wanae wakiwa katika sare za kijeshi.
 
Attachments

  • 107232_02_o_20130108210314.jpg
    107232_02_o_20130108210314.jpg
    26.1 KB · Views: 438
  • 107232_03_o_20130108210314.jpg
    107232_03_o_20130108210314.jpg
    37 KB · Views: 387
Huyu jamaa ni mtu hatari sana kwa usalama wa rwanda!
 
tukutuku huyu jamaa pamoja na kuwa hatari kwa rwanda, inchi kaiweka kwenye mstari. jana nilikuwa na mazungumzo na mfanyabiashara wa kinyaruanda ananiambia zile biashara za njia za panya boda kati ya tanzania na rwanda ameikomesha . akaniambia hivi sasa wafanyabiashara wamehamia boda ya uganda na tanzania. other side of the coin mi namkubali.
 
Sawa mkuu KELVIN GASPER, kila kitu uwa kina ubaya wake na uzuri wake!
 
Last edited by a moderator:
kuwapata hao watoto inatakiwa uwe Freemason, wanaweza kuwa hawajafunguka............
 
tatizo lenu nyie watanzania ni wavivu wa kufikiri kagame hana ufisadi ana uzalendo uliotukuka anaiba nchi za jirani kujenga nchi yake, kagame alikuwa na tatizo la waalimu kama kikwete, kagame alikodi waalimu toka kenya kikwete akaanzisha waalimu wa voda fasta
 
tukutuku huyu jamaa pamoja na kuwa hatari kwa rwanda, inchi kaiweka kwenye mstari. jana nilikuwa na mazungumzo na mfanyabiashara wa kinyaruanda ananiambia zile biashara za njia za panya boda kati ya tanzania na rwanda ameikomesha . akaniambia hivi sasa wafanyabiashara wamehamia boda ya uganda na tanzania. other side of the coin mi namkubali.

kweli mkuu. Sipati picha angeishika nchi hii tungekuwa wapi
 
Hivi kwa nini Kagame huwa hapendi au haji Dar mara kwa Mara?anamtuma waziri wake Mkuu?kuna nini?au anaogopa kugeukwa na kukamatwa?
 
kuwapata hao watoto inatakiwa uwe Freemason, wanaweza kuwa hawajafunguka............

wabongo kwa kuwaza ngono.....kumbe ni kama mimi nilikuwa nawza namna ya kumpata huyo mjeshi kumbe jibu unalo mkuu aksante
 
Hivi kwa nini Kagame huwa hapendi au haji Dar mara kwa Mara?anamtuma waziri wake Mkuu?kuna nini?au anaogopa kugeukwa na kukamatwa?

ungeenda ngara au ungeangalia kipindi cha ripoti maaalumu cha itv kuhusu uporaji wa ardhi huko ngara ungeweza kujenga hoja....ya yeye kutokuja......ni kama nawaza vile wananchi wa ngara mpakani washapokonywa ardhi na hawa wanyarwanda...na kulingana na ripoti maalumu ya ITV viongozi wengi wa kijiji ni wa asili ya rwanda hivyo inakuwa rahisi kuwauzia na kuwapa nguvu....kifupi ni kwamba kama vile anaficha sura yake mbele ya watanzania
 
Back
Top Bottom