Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?
Mkuu kadoda11 umesahau Kagame aliwahikusema atamhit Kikwete labda anaogopa anaweza kuwahiwa si unajua wote ni wanajeshi.
Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?
Kagame amekosea kuingia EAC kwa midadi ya kumtegemea M7 na Uhuru, hao wenyewe kutwa wanavuka boda hadi kwa miguu kuja kujipendekeza kwa Mama Tanzania.
Kagame kachanganyikiwa baada ya kugombana na Tz dunia nzima wamemtenga na South wafikiria kumchapa.
Haha!! Wabongo huwa napata burudani jinsi mnavyobabaika kwa ajili ya Rwanda. Yaani nikiangalia ramani, inatoshana na mkoa wenu mmoja tu lakini hamuishi kumtaja na kumponda Kagame kila mnapopata fursa.wanaogopana au mmoja wao anamuoga zaidi mwenzake?.
Haha!! Wabongo huwa napata burudani jinsi mnavyobabaika kwa ajili ya Rwanda. Yaani nikiangalia ramani, inatoshana na mkoa wenu mmoja tu lakini hamuishi kumtaja na kumponda Kagame kila mnapopata fursa.
Jameni Tanzania, jitu letu la EAC lini litatuonyesha mwongozo, lini litaamka na kuchukua uongozi. Kila kukicha linachokonoa wadogo wake hadi hata wale wanaotoshana na mkoa wake mmoja.
Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?
hapo ndo amechafua, wa kisani kivipi? Huu muungano sisi tunataka udumu, wewe unaanza chokochoko eti wa kisani , huo usani unakuumiza nn?
ANAONA AIBU KWA UCHAFU WAKE ANAOUFANYIA TANZANIA..na bado, itabidi akajifiche chini ya mawe... mwisho wake unakaribia. By the way, hatumuhitaji kuja kuleta UNAJISI katika nchi yetu. Ananuka damu za watu wasiokuwa na hatia. Laana hizi zitamfuata yeye na watoto wake akina Cyamoro, Ange, Brian na yule mwingine hadi wajukuu zake kama hatatubu kwa madhambi anayoyafanya!Rais Kikwete wa Tanzania na Rais Kagame wa Rwanda wameendeleza mizengwe ya kukwepana.Ikumbukwe Rwanda iliazimisha miaka 20 ya mauaji ya kimbari marais wote wa EAC na viongozi wa mataifa mbali mbali walihudhuria kumbukumbu hiyo isipokuwa Rais Kikwete alikimbilia kijijini kwake kumpigia kura mwanae Riziwan Kikwete aliyekuwa akiendeleza sera za usultan Bagamoyo.
26 April 2014 Tanzania ilisherekea miaka 50 ya muungano wa kisanii baina ya Tanganyika na Zanzibar marais wote wa EAC pamoja na wageni wengine mashuhuri toka sehemu mbali mbali walihudhuria sherehe hizo zilizotamalakiwa na maonyesho ya silaha za kivita na magwaride ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama Rais Kagame alishindwa kuhudhuria sherehe hizo bila kujali Tanzania ilipokea wakimbizi wengi sana toka Rwanda kipindi cha machafuko.
Juzi yaani tarehe 30 April - 1 May 2014 wakuu wa nchi za EAC walikuwa na kikao cha kawaida mjini Arusha marais wote wa EAC walihudhuria kikao hicho muhimu isipokuwa Rais Kagame akaamua kukimbilia USA kwenye vimkutano vya uchochoroni ili kumkwepa Kikwete akaamua kumtuma waziri mkuu Pierre Damien Hubumuremyi kumwakilisha.
Bila shaka tutaendelea kushuhudia visa na mikasa mingi baina ya Kikwete na Kagame.
PaKa anachokonolewa kwa sababu ya uovu wake dhidi ya Tanzania... kwanini sio UK, Nkurunzinza, ama Mu7?...there is a reason (bad reason) why he is always in the mention here.....Haha!! Wabongo huwa napata burudani jinsi mnavyobabaika kwa ajili ya Rwanda. Yaani nikiangalia ramani, inatoshana na mkoa wenu mmoja tu lakini hamuishi kumtaja na kumponda Kagame kila mnapopata fursa.
Jameni Tanzania, jitu letu la EAC lini litatuonyesha mwongozo, lini litaamka na kuchukua uongozi. Kila kukicha linachokonoa wadogo wake hadi hata wale wanaotoshana na mkoa wake mmoja.