hahahaha. Mkuu. kweli US ndo walifanya Proxy ya Kumu~install kagame.
Lakini maslahi ni tofauuti wakati US wako Lutafuta madini. Kagame yeye analengo la kuua na kuamisha makabila asilia ya North kivu ili apate sehemu ya Watutsi kuishi.
Nakatika kutekeleza hilo ndo uasi na vita hautaisha kivu ili kila anayeondoka asirudi na aridhi kutwalia na wahamiaji toka Rwanda.
Lengo kuu likia kuaitenga Kivu toka Congo liwe taifa la Watusi hapo mbeleni.
Kagame ni mhalifu wa kivita. kagame ni muuaji.Ushaidi unaoutaka wewe sijui ni wa namna gani. Maana kagame anadhani yeye tu ndiye mwenye akili kuliko kila mtu hapa Africa. Na amekuwa jeuri juu ya watu kama nyie mnaotaka kagame apewe Ushahidi.
Kagame anatakiwa akamatwe, afungwe na ushahidi utapelekwa mahakamani. Ana damu za wengi mikononi mwake. Anafadhili mipango mingi sana ya kujenga himaya ya watusi katika maeneo ya maziwa makuu achilia mbali miradi yake ya kuchimba madini nchini Kongo akitumia majeshi yake ya msituni. He kill to survive and he survive on human blood! He is a monster.
Hujui usemalo!! mbona Bush na Blair hawajafungwa? au wao si waarifu? je,
unajua katika wakati huu wa imperialism hayo mataifa makubwa
yanafanyaje ili ya survive. Okay, back to the point, Kagame yupo sahihi
kukataza ndege za ujajusi kuzunguka kwenye anga lake.
May be tz kwa sababu tuna kiongozi dhaifu tungeweza kukubali, lakini katika kipindi hiki ambacho tuna on-going conflict na Malawi, inatupasa hata sisi tukatae...
Ni bora ya Kagame anayeiba kwa jirani kulikko hawa wakwetu wanaojiibia wenyewe,halafu mbona hizo drones hawazipeleki Iran?.
Kagame is executing super plan to dominate the whole region. Sasa wamarekani wamemgeuka ana haha hajui aanzie wapi...but that is how it works with USA and her allies. Waafrika hatujui hilo..sote tunafikiria sawasawa...
bush na blair ni clean masters, walikuwa wanatwanga magaidi, kuua muuaji si dhambi.
ooh kama ni rahisi hivyo basi charles taylor na the likes of kulikuwa/hakuna haja ya kuwapeleka the hague.unaandaa tu press conference na kuwaambia waandishi kuwa sasa nimetubu.:smile:NGUVUMOJA,
Kama madai ya tetere yana ukweli kuwa Kagame anataka kujenga himaya ya watusi basi nae anataka kuwa kama hao wakubwa wa dunia. Kuna ubaya hapo? Au ya wakubwa tu ndio yawe?
tetere,
Kuwa Kagame ni muuaji, mhalifu madai haya yana ukweli. Lakini kwa sasa ametubu dhambi hizo. Anaelekeza nguvu zake katika kujenga nchi ya Rwanda na kuwainua wanyarwanda. Anatetea maslahi ya nchi yake. Kutofautiana misimamo na nchi zinazoitwa wakubwa wa dunia ndio kisingizio cha kutaka "kumpiga ngwala" na waihujumu Rwanda.
Kasi ya maendeleo ya Rwanda, kanchi kadogo kinawakosesha usingizi baadhi ya watu. Kuna watu wamezoea 10%, pia wapo wanaotaka kuficha udhaifu wa kuongoza nchi zao(uongozi katika nchi zao).
Ukifatilia sana habari za Congo(Zaire) utaona M7 na Kagame walisaidia kumweka Kabila, the father madarakani. Pia kuna ushahidi wa kuwa US na Kabila, mtoto kuhusika katika kifo cha Kabila, the father.
Kwa ufupi, wakubwa wanazichezea nchi zetu vile wanavyopenda na sisi wengine tunawafagilia. Inapasa tubadilike.
Kwa nini Tanzania haikujiuliza kujiunga UN wakati wanajua kabisa Ujerumani chini ya Hitler ilikuwa na imelowa damu za wayahudi zaidi ya milioni 6, US ilikuwa imelowa damu za maelfu ya wajapani na mabomu ya nyukilia?.Pia kwanini hujiulizi Tanzania inaendelea kushirikiana na Marekani nchi inayoendelea kumwaga damu za raia wasio na hatia kwa kisingizio cha 'terrorism' waliyotengeneza huko middle east?Hivi ilikuwaje Rwanda ikakubaliwa kuingia kwenye shirikisho la afrika mashariki?hawa watu wamelowa damu za watu zaidi ya 6mil!
ooh kama ni rahisi hivyo basi charles taylor na the likes of kulikuwa/hakuna haja ya kuwapeleka the hague.unaandaa tu press conference na kuwaambia waandishi kuwa sasa nimetubu.:smile:
Samuel Doe, Jonas Savimbi, Mobutu, Sadam, and now it's about time for Kagame.
US will approach, support and eventually once you are no longer a factor, they will dump you either by force or through your own people
bush na blair ni clean masters, walikuwa wanatwanga magaidi, kuua muuaji si dhambi.
kagame ni moja ya mtu hatari kabisa maeneo ya maziwa makuuu..
kwa nchi kama tanzania wananchi wake ameshawatapakaza kila mahala wapo ni niwababe wanamiliki maeneo kinguvu hapa Tanzania.....huko ngara kama uliwahi kuona riport maalumu ya itv huko ngara sijui kama Mr.rubani aliangalia ile riport haivumiliki inatia hasira nashangaa kuona viongozi wa tz wamekaa kimnya kiasi hiki kama sio nchi yao..hayo ya kongo kulalamika ilitakiwa na sisi tu lalamike ila watanzania ni kama wafu katika mambo kama haya.......
bush na blair ni clean masters, walikuwa wanatwanga magaidi, kuua muuaji si dhambi.
Habari za Bush na vifo vya Afghanistan si kwa ajili ya kutwanga magaidi.
Angalia hapa » 63 percent of people killed in Iraq war were civilians: report Alex Jones' Infowars: There's a war on for your mind!
Halafu fikiria hili. Bofya hapa Before the US invaded Afghanistan? «
na hii http://www.nytimes.com/2010/06/14/world/asia/14minerals.html?pagewanted=all&_r=0
Usikubali tu, angalia hii pia No, the U.S. Didn't Just 'Discover' a $1T Afghan Motherlode (Updated) | Danger Room | Wired.com
Kupata "perspective" ya project ya kutwanga magaidi, ona hii AFP: US to spend 500 million dollars on embassy in Afghanistan