Usiongee kishabiki. UN imetangaza kupeleka drones DRC na sio Rwanda. Hiyo ya Rwanda kusaidia M23 ni speculation zako,
Vipi ile platoon moja aliyoahidi Membe kuipeleka DRC kupambana na M23 mmeshaipeleka, au ilishakuwepo kule siku nyingi.
Mkuu Mtikila kesha sema wako 35,000 humu nchini kwa mpango kabambe wa Kagame.Je Mkeshaji nawe ni MNYARWANDA?
Mkuu wewe inaelekea ndio kati ya wale 35,000 waliotajwa na Mtikila.Usiongee kishabiki. UN imetangaza kupeleka drones DRC na sio Rwanda. Hiyo ya Rwanda kusaidia M23 ni speculation zako,
Vipi ile platoon moja aliyoahidi Membe kuipeleka DRC kupambana na M23 mmeshaipeleka, au ilishakuwepo kule siku nyingi.
Mkuu Mtikila kesha sema wako 35,000 humu nchini kwa mpango kabambe wa Kagame.
Nafikiri huelewi msuguano uko wapi.Drones zinasimamiwa na un au us? Madhara yk usifikiri yanakomea rwanda tu, zile surveillance za hali ya juu, utashangaa zinaingilia anga ya tanzania kuchukua infos bila ht cc wenyewe kujua, km hakuna mwingine wa kulalamika ni kwa sbb anaogopa kubishana na marekani na wala si vinginevyo. Un wamekuwa pale kwa miaka kibao hakuna kinachofanyika, km walifanikiwa kupata ripoti za rwanda kushiriki basi ni wasiishie kutoa ripoti tu, warushe miushahidi ionekane,
Usiwe na wasi wasi mkuu, Tanzania tulisituka siku nyingi, unawakumbuka kina Kanali Rusimbi?Hee ndugu.
nipe zaid hiyo hoja mtikila alidadafua vipi.
Wakuu nimeipata BBC jioni hii. Msemaji wa waasi amelalamikia kweli jambo hili. Ameulizwa watafanya nini kama drones zitaingia maeneo yao akakosa la kusema. Bravo UN Security Council.
Mkuu fyombo fya dola navifyagilia kwa vigilance.yap. Rusimbi namfahamu yule alogawa slaha za Tz kwa watutsi wa Burundi
yap. Rusimbi namfahamu yule alogawa slaha za Tz kwa watutsi wa Burundi
Note Drone hizo hitaruka katika anga ya DRC si Rwanda. ila wakijaribu kuingiza wajeshi wao kama walivyofanya november 2012 wananaswa.
Pili haiitaji kujua kusoma na kuandika ndo ujue Rwanda/Kagame inafadhili waasi Congo.
haya tafakari haya.
1. Kwanini Nkunda baada ya kufurushwa Congo sasa anaishi Rwanda kama peponi.
2. Wajua waziri wa ulizi wa sasa wa Rwanda ndo alikua Mkuu wa majeshi Congo.
3. wajua waasi wakuu wafuatao wamewahi kuwa makamanda wa jeshi la Rwanda.Raulent Nkunda, Bosco Ntaganda, Sultani Makenga, Kazarama
4 je wajua familia za hao wa Waasi ziko gisenyi Rwanda siyo Kongo.
ukweli kagame ametumikia US na sasa wamemshiba sasa wanabadilisha matumizi
Kwisha kivipi?? Wewe ni sawa na yule mtu ambaye anamfumania mkewe, halafu anaishia kupewa kichapo na jamaa aliyekuwa anakulia mkeo...
Mkuu nyabhera
Naona unauma maneno, ukumbatie tu mbuyu acha kuuzunguka i.e kama Kagame/Rwanda wanatumika na US/Western Powers ina maana kuwa US/Western Powers wanafadhili waasi huko DRC. Unafikiri hizo drones zinakwenda kuilinda DRC dhidi ya waasi? a big NO. Wakuu wa magharibi na marekani wanaenda ku-monitor mzigo wa resources wanaosomba DRC kupitia carriers wao Rwanda na Uganda ili ufike kwao the whole na si portion kama unavyofika sasa ambapo Rwanda na Uganda wanachukua portion fulani na kuimarisha majeshi na uchumi wao kinyume na makubaliano. Have my word!