babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,312
- 20,895
given the analysis, the guy looks was so close to kagame and knows most of his secrets though. pamoja na kwamba si vizuri kuamini kila anachosema, ila hii inaonyesha namna gani watu ambao mlikuw apamoja sana mkaja kugombana namna mnavyoweza kugeukana. jamaa kamgeuka kabisa kagame kama umesoma vizuri hapo.
kagame ndio alianza kumgeuka huyu jamaa,kama huyu Kayumba asingetonywa na marafiki zake atoroke na kwamba anasakwa auwawe asingekuwa Hapa le!jamaa aliwawahi tu akatorokea Uganda kisha South.na walimkosakosa South pia.given the analysis, the guy looks was so close to kagame and knows most of his secrets though. pamoja na kwamba si vizuri kuamini kila anachosema, ila hii inaonyesha namna gani watu ambao mlikuw apamoja sana mkaja kugombana namna mnavyoweza kugeukana. jamaa kamgeuka kabisa kagame kama umesoma vizuri hapo.
ndio maana unaona anamwaga Siri zote Hapa.na hakuna mtu Kagame anamwogopa kama Kayumba.anajua kwamba Kayumba akiwezeshwa yeye hana chake Kigali.
na baada ya hapo ndugu karibia wote wa Kayumba hivi sasa wako ndani.