NAZI walijulikana lengo lao ni nini kwenye katiba yao, je katiba ya FDLR mahali gani inasema inataka kufanya genocide? Na hakuna former NAZI soldiers walioajiriwa kuwa viongozi wa jeshi la ISRAEL, wakati makamanda wakubwa wakubwa wa FDLR hata leo hii wakitaka uwaziri ndani ya serikali ya Kagame watapewa! Huoni unafiki hapo?Hata kuna foot soldiers wa wa NAZI ambao hawakufunguliwa mashtaka..so i don't know what you want get at. Kama hawana makosa hao ndugu zako wanafanya nini huko porini?
Ubishi wako ni wa kuzaliwa. Point yangu nadhani wasomi wameilekewa. Otherwise sina pumzi za kubishana na interahamwe. Kwaheri.NAZI walijulikana lengo lao ni nini kwenye katiba yao, je katiba ya FDLR mahali gani inasema inataka kufanya genocide? Na hakuna former NAZI soldiers walioajiriwa kuwa viongozi wa jeshi la ISRAEL, wakati makamanda wakubwa wakubwa wa FDLR hata leo hii wakitaka uwaziri ndani ya serikali ya Kagame watapewa! Huoni unafiki hapo?
wameilekewa = wameielewa 😀😀. Usiku mwema.Ubishi wako ni wa kuzaliwa. Point yangu nadhani wasomi wameilekewa. Otherwise sina pumzi za kubishana na interahamwe. Kwaheri.
Sawa mwalimu..hivi bado unafundisha mlimani?wameilekewa = wameielewa 😀😀. Usiku mwema.
nilihamia KIST huna habari? 😀Sawa mwalimu..hivi bado unafundisha mlimani?
There you go..kumbe unakula vya kigali huku ukiponda anaekulisha? Typical of interahamwenilihamia KIST huna habari? 😀
Shida yangu sio nchi ni RPF/Kagame, ukiondoa hao wengine wote poa tu.There you go..kumbe unakula vya kigali huku ukiponda anaekulisha? Typical of interahamwe
Shee ndio nini tena mkuu?
Don't hold your breath...he is here to stay.Shida yangu sio nchi ni RPF/Kagame, ukiondoa hao wengine wote poa tu.
Atakufa tu, na akifa there is god oo! 😀Don't hold your breath...he is here to stay.
Na wewe utakufa tu...probably even before him...manake stress uliyonayo?Atakufa tu, na akifa there is god oo! 😀
stress niliyonayo? ya nini? Mimi naishi raha mustarehe bwana, kazi kwenu nyinyi na midhambi yenu!Na wewe utakufa tu...probably even before him...manake stress uliyonayo?
my point nikuwa kwann hawawafwati watuhumiwa kama mmarekania alivyowafuata saddam na gaddafi why wait waende nje ya nchi zao...mmarekani aliwataka wale wawili aliwafuata ICC kama inawataka watuhumiwa wake lazima iwafuate kuliko ku create uhasama wa nchi ambayo itaenda kumkamatakwani Gaddafi na Saddam wana uhusiano gani na ICC?
Unataka wakae mjini Kigali muwauwe au muwafiche jela kama mlivyowafanya victoire ingabire na pasteur bizimungu?waache wajikalie porini wafurahie dunia.Hata kuna foot soldiers wa wa NAZI ambao hawakufunguliwa mashtaka..so i don't know what you want get at. Kama hawana makosa hao ndugu zako wanafanya nini huko porini?
Wakati mwingine huyu jamaa huwa anafanya maamuzi ya busara. Lakini pia akiacha kuisumbua Burundi na akafanya yanayoipasa nchi yake, atakuwa amefanya jambo la maana.
Viongonzi wa Africa vichwa maji acha ICC ifanye kazi watu wanawaua wenzao utafikiri sio binadamu kisa tamaa ya madarakaHili lidubwasha ICC linanikeraga sana...limehacha MANYANG'AU huru yanaendelea kuumiza wenzao halafu bado linajifanya kusaka wengine.....***type!
Kweli maana kuna mwingine walimufuata south Africa kagame sio mtu mzr kama wanavyotuaminishaUnataka wakae mjini Kigali muwauwe au muwafiche jela kama mlivyowafanya victoire ingabire na pasteur bizimungu?waache wajikalie porini wafurahie dunia.
Hilo ni wazo zuri sanamy point nikuwa kwann hawawafwati watuhumiwa kama mmarekania alivyowafuata saddam na gaddafi why wait waende nje ya nchi zao...mmarekani aliwataka wale wawili aliwafuata ICC kama inawataka watuhumiwa wake lazima iwafuate kuliko ku create uhasama wa nchi ambayo itaenda kumkamata
Mkuu shida ni hizi double standards...unapohacha wengine wanarudi na shamrashamra mitaani it doesn't show seriousness....Viongonzi wa Africa vichwa maji acha ICC ifanye kazi watu wanawaua wenzao utafikiri sio binadamu kisa tamaa ya madaraka