Shee una uhakika gani kama kuna mkono wake BurundiWakati mwingine huyu jamaa huwa anafanya maamuzi ya busara. Lakini pia akiacha kuisumbua Burundi na akafanya yanayoipasa nchi yake, atakuwa amefanya jambo la maana.
jibu swali una uhakika gani kiasi cha kuwanyooshea watu vidole?Shee ndio nini tena mkuu?
enhe, inasemaje?Ile ripoti ya mwaka 1963 bado hujaipata?
lol... ushahidi upi? ndio maana nakuambia usiwe unakurupuka kuropoka bila ya kuelewa jambo vizuri? na usije ukafikiri REUTERS itakutibu huo ugonjwa wako hata siku moja! hao hao unaowaamini (GoE) wenyewe wamekili kwamba waweza kuwa walikuwa manipulated na hao "WAKIMBIZI" alafu Reuters inajifanya eti imeangukia issue wakati si lolote! cha pili wameshindwa kupatia UNHCR majina ya hao wakimbizi kusudi wayafananishe na wakimbizi waliopo Rwanda... HOLA! na UNHCR haina mkimbizi aliyekosekana makambini, hapo sasa... niendelee kuzidhalilisha FIKRA zako mkuu, au niachie hapo? vyumaUnahitaji ushahidi tofauti zaidi ya ule wa serikali ya Burundi na taasisi ya umoja wa kimataifa? Kama hakuna ushahidi mbona serikali yenu inahangaika kujibu kwa propaganda. Utaweza kuhangaika kuufuta ushahidi kwa kile ambacho hujakifanya?
Shee ndio nini tena mkuu?
Report ya UN imethibitisha !jibu swali una uhakika gani kiasi cha kuwanyooshea watu vidole?
Ona sasa! Report haujaziona? Sasa kwa nini unaruka kutukaba koo? Chuki, ujinga au kuna maslahi yako?Teh teh teeh unatumia nguvu nyingi kubadilisha ukweli kuwa uongo. Hiyo ripoti ya Reuters hata sijaiona, unajaribu kuandika mambo mengi kwa wakati mmoja ili kuupoteza ukweli. Jambo la msingi msiingilie Burundi katika siasa zake.
Ah we bana! Sasa kurudia uongo mara nyingi ndio ufanya jambo kugeuka ukweli? Burundi wamepagawa baada ya kuona tumewashtukia mchezo wao na FDLR... aliye wachongea dili hivi anakula bata, baada ya kuzawadiwa kazi mpya na AU... kwa kifupi kama kweli unaendeshwa na kutoelewa mambo basi kaa ukijuwa Nkurumbi haibu ndio zinamsuta, anakumbuka tulivyomsaidia miaka yote hadi kumlipia gharama za kuingiakwenye EAC, nafsi inamsuta baada ya kuona tumemshtukia urafiki wao na FDRL na wafaransa... lala usinzie, hakuna lolote!Hiyo Reuters ndio chanzo pekee cha kuandika ripoti kuhusu Rwanda? Ripoti za UN na taarifa kutoka Burundi huwa huzioni? Nifuatilie Reuters wakati maafisa wa serikali ya Burundi kila siku wanalalamika kuhujumiwa nchi yao na Kagame? Hazikutoshi naona au lugha ni tatizo.!
Hahaha kweli wewe kairudishaKagame hataki kumkamata Bashir ambaye anatakiwa na mahakama ya kimataifa ya ICC kwa makosa ya "genocide and war crimes", lakini kagame huyo huyo kila siku anaua wahutu DRC akidai ni genocidaires licha ya kwamba hawana kesi katika mahakama yoyote ile duniani kuhusiana na genocide! Nonsense! Ukweli ni kuwa ndege wa pamoja huruka pamoja. Bashir na kagame ni ndugu moja.
asante kwa hilo tusi whatever it means, lakini hebu tuambie uhalali wa kutomkamata Bashir anayetafutwa na ICC for genocide vs kuua FDLR for imaginary genocide!Hahaha kweli wewe kairudisha
Hahaha..imaginary genocide. Sasa hilo ndio tusi. Sisi sio signatory wa ICC. Haituhusu. Subiri akija TZ mmkamateasante kwa hilo tusi whatever it means, lakini hebu tuambie uhalali wa kutomkamata Bashir anayetafutwa na ICC for genocide vs kuua FDLR for imaginary genocide!
kama sio imaginary name ONE case of genocide against ANY FDLR member, pili kuhusu nyie kutokuwa signatories wa ICC, tusaidie tuelewe why then mlimpeleka BOSCO NTAGANDA kwenye mahakama hiyo, tena huyu alikuwa askari wa RPA back in the days! Na vijana wake wa M23 mpaka leo mmewahifadhi...kwa nini huyu mlimpeleka lakini Bashir mnasema hamtaweza? Kwani kesi ya bosco mlikuwa signatories?Hahaha..imaginary genocide. Sasa hilo ndio tusi. Sisi sio signatory wa ICC. Haituhusu. Subiri akija TZ mmkamate
Hatukumpeleka sisi. Alijisalimisha mwenyewe akaomba apelekwe wakaja kumchukua. Hata bashir akijisalimisha haina shida.kama sio imaginary name ONE case of genocide against ANY FDLR member, pili kuhusu nyie kutokuwa signatories wa ICC, tusaidie tuelewe why then mlimpeleka BOSCO NTAGANDA kwenye mahakama hiyo, tena huyu alikuwa askari wa RPA back in the days! Na vijana wake wa M23 mpaka leo mmewahifadhi...kwa nini huyu mlimpeleka lakini Bashir mnasema hamtaweza? Kwani kesi ya bosco mlikuwa signatories?
Okay, thats true, but are you saying hutambui wala kuyapa uzito mashtaka dhidi ya Bashir ambayo yametolewa na mahakama hii?Hatukumpeleka sisi. Alijisalimisha mwenyewe akaomba apelekwe wakaja kumchukua. Hata bashir akijisalimisha haina shida.
Hata wewe ukijisalimisha we'll be more than happy to take you therekama sio imaginary name ONE case of genocide against ANY FDLR member, pili kuhusu nyie kutokuwa signatories wa ICC, tusaidie tuelewe why then mlimpeleka BOSCO NTAGANDA kwenye mahakama hiyo, tena huyu alikuwa askari wa RPA back in the days! Na vijana wake wa M23 mpaka leo mmewahifadhi...kwa nini huyu mlimpeleka lakini Bashir mnasema hamtaweza? Kwani kesi ya bosco mlikuwa signatories?
Hayatuhusu. We have enough on our plateOkay, thats true, but are you saying hutambui wala kuyapa uzito mashtaka dhidi ya Bashir ambayo yametolewa na mahakama hii?
Hayatuhusu. We have enough on our plate