simba 0 ura 1
katika dakika za mwisho kipindi cha nyongeza, simba wametolewa na ura ya uganda kwa bao moja. dakika moja kabla ya mpira kwisha simba walipata penalty na golikipa wa uganda akaokoa.
...Soka huchezwa nje na ndani ya uwanja hata ulaya ipo hiyo....That's why Furgeson na Morihno walikuwa wanapeana mvinyo baada ya mechi zinazohuzu timu zao hakuna cha Julio aache kusema kila kocha huzungumza timu yake inapokabiliwa na mechi....Mambo ya kawaida hayo...