kagame cup

macinkus

JF-Expert Member
Sep 15, 2007
260
19
simba 0 ura 1
katika dakika za mwisho kipindi cha nyongeza, simba wametolewa na ura ya uganda kwa bao moja. dakika moja kabla ya mpira kwisha simba walipata penalty na golikipa wa uganda akaokoa.

macinkus
 
tatizo simba waliaanza ujeuri baada ya kuishinda timu ya wasomali julio aache kuchonngangenga
 
tatizo simba waliaanza ujeuri baada ya kuishinda timu ya wasomali julio aache kuchonngangenga
...Soka huchezwa nje na ndani ya uwanja hata ulaya ipo hiyo....That's why Furgeson na Morihno walikuwa wanapeana mvinyo baada ya mechi zinazohuzu timu zao hakuna cha Julio aache kusema kila kocha huzungumza timu yake inapokabiliwa na mechi....Mambo ya kawaida hayo...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom