Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
41' Mins | AZAM 1 KCCA 0
13' Mins John Bocco (Azam)
13' Mins John Bocco (Azam)
Simba nao lini
Tcheche, mugiraneza, kamagi Michael hayo majembe ya azam yapo Nje yataingia second half
Jameni tuko (Azam) 1 na KCCA 0 half time.
Ila ukweli ni kuwa hawa wazungu tangia waje Tz hawajasaidia chochote ktk soka letu!
Ebu angalieni timu ya KCCA wanavocheza vzr chini ya Mwafrika (mshagara mdogo) then compare na wa Azam (Mzungu mshahara mkubwa bure kabisaa.
Kocha kanenepa balaa ( alikuja kakonda).
Hivi wale wa mchangani wanacheza lini?
Go Go Azam
Didier Kavumbagu OUT Kipre Tcheche IN
52' Mins | AZAM 1 KCCA 0
13' Mins John Bocco (Azam)
Tcheche, mugiraneza, kamagi Michael hayo majembe ya azam yapo Nje yataingia second half
Mkuu singano hata benchi hayupo?