aache unafiki huyu kagame aseme watakopinga utawala wake dhalimu na siyo watakaosaliti taifa hilo naomba anyooshe kiingereza hapo
wanyarwanda kama akina koba watatembea uchi humu jf kuunga mkono upuuzi huu kwa ushabiki wa kitusi bila kujua nawao siku wakidai haki zao za msingi ni risasi poor kagame, naona nchi ya rwanda pamoja na kuigeuza kuwa taifa la kitusi bado dhambi ya ubaguzi dhidi ya wahutu inaendelea kumtafuna
Kama Nyerere alivyosema hiyo dhambi sasa hivi inamtesa sana kagame. Anatakiwa aje huku bongo tumfundishe jinsi ya kutokomeza ukabila. To KAGAME "YOU NEVER KNOW RAISI WA 2015 WA KIBONGO ATAKUWAJE. TUNAWEZA KUJA HUKO KUKUNGOA KAMA IDD AMIN"
huyu PK siyo wa kumpa nafasi,anaweza kudestabilize amani ya EA kama ataendelea kuona kila mpinzani kwake ni traitor,We should neutralize him smoothly,i mean democratically
Ina maana watanzania mmeishakua wapinzani wa pk? mmmh yakwenu yamewashinda mmetolewa makucha na kuachana na upinzani sasa ndio mtamuweza pk? naona pk kamavile rais wa tz,chakushangaza upinzani tz umekabwa hata haupumui,lakini pk kawa tabu kwa watanzania utafikiri yeye ni CCM.
siyo kwamba pk ana hallucinations na tz na sa, kitendo cha kuipiga m23 na kuziba maslahi yake ndiyo chanzo hasa cha hili bifu!!!!kumbuka france ndiyo iliyokua cordinator ya hiyo vita!!!
Hakuna cha ushabiki hapa,msaliti dawa yake ni kuawa tu,hata tz msaliti adhabu yake nikifo,hata katika agano la kale msaliti alikatwa kichwa,enda popote duniani msaliti hatima yake ni kifo,ninachompende pk hana mambo ya kupita pembeni ni muwazi na straight,poor karegeya kwanza yeye ni mtusi,na alitaka kuletea janga wanyarwanda akiwatumia jk,kabila,zuma,fdlr na france katika haya mambo ya est congo lakini mungu aliepusha hilo,sasa it is a time for payback.
kagame ni mtu hatari ninahakika atakufa kwa upanga kama anavyoua yeye, kifo cha patric kimesikitisha dunia
PK alianza vizuri but now he is our of control,huo ukweli unaujua zaidi yangu!idadi ya maadui dhidi yake inaongezeka jiulize??!!
Kalegeya na Nyamaswa walikua wanatafutwa kimya kimya mmoja wao auawe ili mwingine aaminiwe afanye kazi vizuri. Wote ni watumwa wa Kagame. Wote hao hakuna hata mmoja anaeweza kushirikiana na FDLR aliowaua kwa Maelfu kule Congo. Janja ya Nyani
You know what? hii dunia niya uovu mtupu,hakuna hata utawala mmoja usio kua na damu mkononi ikiwemo na utawala wa jk,sasa kuchukiwa kwa pk si kwa sababu ya mauaji bali ni kwa sababu yeye ni smart zaidi yao,wengine wanakalia kuua watu wao na kuiba fedha yeye ana endeleza mbele uchumi wa nchi yake,tena hataki kusikiliza upuuzi wao,wao hukalia majungu tu,yeye ni mchapa kazi,always ukiwa smart than others lazima wakuonee wivu, mwanaume yule hauzi sula.
unataka kusemaje kuhusu jk?PK must find a way to balance blood and democracy,how Mugabe and M7 manage?Vita ya Congo imeharibu image yake sana
ok kumbe yupo kongo kwa maslahi ya wanyarwanda!!nimekuewa