Wewe na kagame na kasoma zaidi? Au nenda kwa mashoga wezako huko magharibi ukachafue hiyo hali ya hewa
Cc: GENTAMYCINE, einstein newton, Mathematician. labrujita. Mr Chin.Huyu Raisi wa Rwanda Paul Kagame kwa maoni yangu ni mjinga na haelewi industrialization maana yake nini!
Kwa kuwa tu nchi zilizoendelea kama EU,Ujapan na USA wanaongelea mambo ya green ya economy haimaanishi kwamba na sisi pia third world tuwafwate, hao wanasema hivyo kwa kuwa walishaendelea tayari na pia wana hiyo green technology, sasa wewe mwenzangu na mimi ambapo bado hata njiti ya kiberiti hauwezi kutengeneza unaongelea green economy?
Acha ujinga Kagame, hauwezi kuendelea bila ya kuharibu na kuchafua mazingira, hakuna aliyefanikiwa mpaka leo hii ...
mkuu unaongoza nchi gani ili tuone kama kweli una akili kuko kagame. china?Mimi nina uelewa kuliko Kagame, ndiyo maana ninajua kwamba nchi haiwezi kuendelea bila ya kuchafua mazingira, tumeona hapa mfano rahisi sana Serikali yetu ilitaka kupiga marufuku mifuko ya plastiki juzi Raisi amesema wataangalia upya katazo hilo wakati anafungua Kiwanda cha kipya cha Azam, unafahamu ni kwa nini?

Hahah mwenzako kagame ni Rais wkt wewe ni Unalipwa elfu 7 kwa siku.Mimi nina uelewa kuliko Kagame, ndiyo maana ninajua kwamba nchi haiwezi kuendelea bila ya kuchafua mazingira, tumeona hapa mfano rahisi sana Serikali yetu ilitaka kupiga marufuku mifuko ya plastiki juzi Raisi amesema wataangalia upya katazo hilo wakati anafungua Kiwanda cha kipya cha Azam, unafahamu ni kwa nini?
Jamaa atakuwa anaongoza nchi za nje Nyegezi.mkuu unaongoza nchi gani ili tuone kama kweli una akili kuko kagame. china?