Kagame abuni mkakati kurejea DRC kuwasaidia M23

Kagame abuni mkakati kurejea DRC kuwasaidia M23

mathabane

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
2,405
Reaction score
1,898
Kufuatia kipigo cha vijana wake(M23), serikali ya Kigali imeonesha kughadhabishwa na hatua hiyo iliyo chukuliwa na serikali ya DRC ikisaidiwa na vikosi vya UN(Southafrica na Tanzania). Katika hali isio ya kawaida, taarifa za kipelelezi zinasema serikali ya kigali imekula njama na M23 ambapo waasi wa M23 hapo jana wamerusha kombora upande wa Rwanda na kusingizia vikosi vya DRC. Lengo ikiwa ni kuanzisha mtafaruku mpya kati ya Kigali na Kinshasa hvo kujenga uhalali wa Rwanda kuwasaidia ndugu zao M23 ambao wanaelekea kusambartika kufuatia mashambulizi yanayoendelej hivi sasa. Wachambuzi wanasema hali hii haina tofauti na wakati ule ambapo wapiganaji wa RPF wakiongozwa na Paul Kagame walitungua ndege ya rais mhutu wa wa Rwanda wakati huo na kujenga uhalali wa kuanzisha vita dhidi ya majeshi ya serikali na kuitumbukiza Rwanda katika mauaji ya kimbali.
 
kufuatia kipigo cha vijana wake(m23), serikali ya kigali imeonesha kughadhabishwa na hatua hiyo iliyo chukuliwa na serikali ya drc ikisaidiwa na vikosi vya un(southafrica na tanzania). Katika hali isio ya kawaida, taarifa za kipelelezi zinasema serikali ya kigali imekula njama na m23 ambapo waasi wa m23 hapo jana wamerusha kombora upande wa rwanda na kusingizia vikosi vya drc. Lengo ikiwa ni kuanzisha mtafaruku mpya kati ya kigali na kinshasa hvo kujenga uhalali wa rwanda kuwasaidia ndugu zao m23 ambao wanaelekea kusambartika kufuatia mashambulizi yanayoendelej hivi sasa. Wachambuzi wanasema hali hii haina tofauti na wakati ule ambapo wapiganaji wa rpf wakiongozwa na paul kagame walitungua ndege ya rais mhutu wa wa rwanda wakati huo na kujenga uhalali wa kuanzisha vita dhidi ya majeshi ya serikali na kuitumbukiza rwanda katika mauaji ya kimbali.

kwa hili atashindwa, kuna jwtz na wapo kwa lengo moja tu nalo ni drc itawalike.
 
Na rais wenu ameenda kumlamba miguu kaka yake mu7 ili amsaidie kumuomba msamaha fidodido, hapa ameonyesha udhaif mkubwa sana kwa kushindwa kubaki na msimamo wake.
 
hata kagame akisaidiwa na chadema hawez kitu

Mwizi wa simu chadema ndio imekuweka mjini iheshimu we unadhani ungepata book saba wewe bila chadema watu wanaongea ya maana
 
Hiyo ni habari ya ukweli kuwa M23 ndiyo wanaorusha mabomu Rwanda kutokea DRC ili Kagame apate kisingizio cha kushambulia DRC. Hizi habari zimekanushwa na UN kuwa ni kweli na sasa Rwanda imepeleka jeshi lake na silaha mpakani mwa DRC kujiaandaa na vita.

Paul Kagame. born October 23, 1957 - September 2013.
 
Kiushabik napinga alichokiongea nicha ukweli kuondolew kw kagame ila sinjia za kam irak,libya,misri,tunis hapana zitumike njia za kidplomasia nahadi mfahamu kagame na museven wanatumiliwa na wazungu(I mean usa nanchi nyengine zipendazo vita)
 
Hii ndiyo tanzania tunaongea kwa ukarimu na kujifanya ni wadhaifu lakini nyuma tumeficha bakora nzito akithubutu tu tumemmaliza kabisa na historia yake inaishia hapo.
 
Na rais wenu ameenda kumlamba miguu kaka yake mu7 ili amsaidie kumuomba msamaha fidodido, hapa ameonyesha udhaif mkubwa sana kwa kushindwa kubaki na msimamo wake.

huna akili...unapenda vita eeh?hujitambui
 
Na rais wenu ameenda kumlamba miguu kaka yake mu7 ili amsaidie kumuomba msamaha fidodido, hapa ameonyesha udhaif mkubwa sana kwa kushindwa kubaki na msimamo wake.
kwani wewe umeyaelewaje maamuzi hayo?
 
KAGAME yupo DRC sio leo wala jana anakuwepo kwa NDUGU ZETU kwa lengo maalum la kuiba RASILIMALI ZA DRC madini hata maendeleo ya RWANDA yanasababishwa na wizi huo.Na KAGAME lazima awe mkali kanyang'anywa tonge mdomoni ,MUNGU bariki ndugu zetu za DRC waishi kwa AMANI NB RWANDA HAINA RASILIMALI YOYOTE NA NDIO MAANA WANAULAZIMISHA WIZI HUO
 
i wish utabiri wako u
timie,


Siku zake zimekaribia. Nobody lives by killing and make a career out of it....Huyu mtu kalaaniwa and he's counting his days in power/planet earth. Like Mobutu used to say when he knew he was about to be over thrown....."I will kill as many people as possible before you kill me." Alikuwa anafanya hivi kwa kutishia watu, na Kagame kwa ujinga wake eti anaiga.
 
Back
Top Bottom