Kagame aanza vituko

Kagame aanza vituko

Okay basi sawa, then go back home get yourself a $20,000 home fully furnished, stop hiding illegally in our forests, and robbing the wahaya when they go home by road!

Hee, crazy mkimbizi wewe this country ni ya wagogo siye wote ni wahamiaji haramu !! uliza.... YOU SAY GOING BACK HOME... home kwetu siye wote ni makaburini (grave yard) huko ndiyo makao makuu na nyumba za milele !! Baba wa taifa alitutawala naye alikuwa mtutsi na tukamzika nchini !! Mrhm.Karume alikuwa mnyasa (malawai) nae akazikwa kisiwani !! hujui kitu idadi yetu hapa ni mchanganyiko usio na asilia ya Uwenyeji.
Halafu hao wahaya,wa chagga,wa yao, waGoni, nk nao uliza walitokea wapi? wewe huji kitu upo upo tu!
Hata jina Tanzania halina uasilia au uhalisi wowote kwa nchi hii !!
 
..unajua tatizo lenu nyinyi baada ya kushika madaraka mmechukua tabia kama za Habyarimana na mmekuwa wakatili kama wa Interahamwe.

..sasa hiyo international community unayoilaumu ndiyo hiyo hiyo iliyowaachia mchukue hizo mnazoita "proactive measures" ambazo zimesababisha mauaji mengine makubwa zaidi ya yale yaliyotokea in 1994.

..haiwezekani mauaji ya Wanyarwanda milioni 1 yaitwe genocide na wahusika wapelekwe mbele ya mahakama ya kimataifa, halafu mauaji ya Wacongomani milioni 5 uyaite "proactive measures" na wahusika waendelee kupeta huko Kigali.

cc jMali

Huo ni uongo! kwanza RDF haikuua watu congo,kingine nani anayejua idadi ya watu wa maeneo hayo waliyo yasema?je unaweza kua watu 5,000,000 na isionekane?waliuawa watu 1000,000 rwanda nakila mtu alishuhudia maiti zilivyo kua zimezagaa,sasa uniambia 5000,0000? inawezekanaje hao watu wasionekane,hivi ukiwauliza hizo takwimu walizitoa wapi hawawezi kukuambia,na ndiyo maana hazikukamata kitu zilidharauliwa kwani ulikua uongo,hizo zilikua njama za wanaoupinga utawala wa kigali.
 
Hee, crazy mkimbizi wewe this country ni ya wagogo siye wote ni wahamiaji haramu !! uliza.... YOU SAY GOING BACK HOME... home kwetu siye wote ni makaburini (grave yard) huko ndiyo makao makuu na nyumba za milele !! Baba wa taifa alitutawala naye alikuwa mtutsi na tukamzika nchini !! Mrhm.Karume alikuwa mnyasa (malawai) nae akazikwa kisiwani !! hujui kitu idadi yetu hapa ni mchanganyiko usio na asilia ya Uwenyeji.
Halafu hao wahaya,wa chagga,wa yao, waGoni, nk nao uliza walitokea wapi? wewe huji kitu upo upo tu!
Hata jina Tanzania halina uasilia au uhalisi wowote kwa nchi hii !!

uliposema nyerere ni mtutsi ndio nikashtuka nikaangalia umejoin lini jf... kumbe ndio walewale tu haya bwana murakaza neza!
 
unaijua ripoti ya UN inaitwa the mapping report?
 
Na WAGOGO JEEEE?
NENDA KAOJI mWINYI ?
KAHOJI kARUME? KAMA HUAMINI YA jk nYERERE!!
SI AJABU WEWE NA WENZIO mujichunguze !
 
Hee, crazy mkimbizi wewe this country ni ya wagogo siye wote ni wahamiaji haramu !! uliza.... YOU SAY GOING BACK HOME... home kwetu siye wote ni makaburini (grave yard) huko ndiyo makao makuu na nyumba za milele !! Baba wa taifa alitutawala naye alikuwa mtutsi na tukamzika nchini !! Mrhm.Karume alikuwa mnyasa (malawai) nae akazikwa kisiwani !! hujui kitu idadi yetu hapa ni mchanganyiko usio na asilia ya Uwenyeji.
Halafu hao wahaya,wa chagga,wa yao, waGoni, nk nao uliza walitokea wapi? wewe huji kitu upo upo tu!
Hata jina Tanzania halina uasilia au uhalisi wowote kwa nchi hii !!

He he he unajifanya Mtanzania. Sisi ni makabila tofauti ila hatujali tunasamehana... Inabidi na nyinyi pia msamehane. Muijenge Rwanda kwa maelewano Itakuwa faida kwa watoto na wajukuu zenu.
 
tatizo anadanga'nywa na museveni pamoja na kenyatta
 
He he he unajifanya Mtanzania. Sisi ni makabila tofauti ila hatujali tunasamehana... Inabidi na nyinyi pia msamehane. Muijenge Rwanda kwa maelewano Itakuwa faida kwa watoto na wajukuu zenu.

Nashukuru kwa usia wako na nasaha zako, Bandugu bwangu Rwanda imejengeka bila kusubiri Jirani zake !! Ruwanda imepiga hatua za kiuchumi, kijamii, kielimu kuliko waliopata UHURU miaka 53 iliyopita, Ruwanda haisubiri ushauri wako au wa nchi yako!! Wewe jenga kwenu hapa , muondoe Ufisadi na Muozo katika tawala lenu !! Unazungumzia MSAMAHA what !!
Tuwe wakweli hapa nchini kuna msamaha ? au unaota dream ya kusamehewa.... Kuzorota, kususua, kubaki nyuma kwa nchi hii ni kutokkana na uhuni na dhulma ilokubuhu hadi ina kufuru !! Hakikisha mkuu usifiche aibu zetu !! hao wa Rwanda hatuwapati ng'ooo!
 
Samehaneni jengeni nchi yenu kwa pamoja... Msibaguane kwa faida ya watoto zenu na wajukuu zenu. Wote ni wanadamu mnastahili usawa ni vyema mkipendana ili muwe nchi ya mfano Duniani. Visasi havitasaidia... Kaeni mzungumze myamalize.
 
Bado nyie hapa mnaishi kwa makambi ( Kambi TZA na kambi ZBR ) !! sasa nani amsamehe nani !! Tunadanganyana eti amani.... Crime inayotendeka nchini na kufunikwa funikwa kuliko inayo tendeka Somaliya au CAR !!
Ubaguzi ulokubuhu ukataee, ajira zote ni kiundugu tu !! Kila mwana siasa mwenye mtoto anamrithisha kiti ili aweze kutawala na viongozi na vizazi endelevu !! Halafu unaisema Rwanda!! Basi nyie endeleeni, endeleeni tu !! Bora mlala usingizi mnono....
 
Msiishi kwa visasi.... Kaeni Chini muelewane, pendaneni nyinyi ni ndugu. Itakuwa ni faida ya vizazi vyote. Rwanda itajengwa kwa upendo wenu nyinyi ndugu wawili. Wote ni nchi yenu na wote mlikoseana. Wakaribisheni ndugu zenu wanaorudi msiwabague. Upendo iwe ni kwa kila mtu.
 
Sindiyoumeona Rwanda ilivyojengeka huko hakuna mafisadi wala wabaguzi ( wa bara na visiwani) !! Ngoma ipo humu nchini...!!
Usikimbie ukweli bandugu !! Full ubaguzi kwenye idara za serikali, ubagauzi vyuooni, ubagazi wizarani, Uonevu hadi mama ntiliie!! Duuh kichaa hicho !
 
unaijua ripoti ya UN inaitwa the mapping report?

Ndiyo hiyo nayoongelea,mapping report ilikua uzushi tu wa wafaransa wanaotaka kuficha maovu yao waliyofanya nchini rwanda katika Genocide,ndugu yangu si rahisi kuua watu milioni tano kirahisi na isionekane,kwanza DRC wala hawajui watu waliomo katika hayo mapori ya kwao,unajua kuua 5milion congo nisawa na kusema population ya kivu zote zingetakiwa kuisha kabisa kwani hata hizo statistic za wakati huo hayo maeneo yalikua na 5milion population kitu ambacho kingeonekana wazi sana angalia population ya wakati huo kivu mbili,kwani mapping report scope yake ni ya kuanzia 1993-2003,sasa hawa wafaransa walikua wamechukizwa kwa kuharibiwa mpango wao waliokua nao wakurudisha interahamwe madarakani kwa kwa muda wote huu walikua wakitoa mafunzo na silaha kwa interahamwe imagine askari wa interahamwe waliokua zaidi ya laki mbili ambao walikua tayari kuishambulia rwanda wakitokea makambini huko congo,nafikiri sasa hivi rwanda wenda kungekua na wahutu pekee ambo wangekua wamebakia nchini rwanda,sasa hiyo vita inatakiwa kulaumiwa international community ambao waligeuza kambi za wakimbizi kambi za kijeshi,na nachoelewa wahutu wengi warirudi rwanda wakati huo na mpaka sasa bado wanarudi sasa hiyo milioni tano sijui inatoka wapi.
 
alidhani cc tz ni wakurupuka kutowa ushauri sasa hiyo ni kauli ya UN nao awatukane bc km alivyo tutukana
 
Na WAGOGO JEEEE?
NENDA KAOJI mWINYI ?
KAHOJI kARUME? KAMA HUAMINI YA jk nYERERE!!
SI AJABU WEWE NA WENZIO mujichunguze !

sawa bwana you are probably one of those who believe you are actually black jews!
 
Ndiyo hiyo nayoongelea,mapping report ilikua uzushi tu wa wafaransa wanaotaka kuficha maovu yao waliyofanya nchini rwanda katika Genocide,ndugu yangu si rahisi kuua watu milioni tano kirahisi na isionekane,kwanza DRC wala hawajui watu waliomo katika hayo mapori ya kwao,unajua kuua 5milion congo nisawa na kusema population ya kivu zote zingetakiwa kuisha kabisa kwani hata hizo statistic za wakati huo hayo maeneo yalikua na 5milion population kitu ambacho kingeonekana wazi sana angalia population ya wakati huo kivu mbili,kwani mapping report scope yake ni ya kuanzia 1993-2003,sasa hawa wafaransa walikua wamechukizwa kwa kuharibiwa mpango wao waliokua nao wakurudisha interahamwe madarakani kwa kwa muda wote huu walikua wakitoa mafunzo na silaha kwa interahamwe imagine askari wa interahamwe waliokua zaidi ya laki mbili ambao walikua tayari kuishambulia rwanda wakitokea makambini huko congo,nafikiri sasa hivi rwanda wenda kungekua na wahutu pekee ambo wangekua wamebakia nchini rwanda,sasa hiyo vita inatakiwa kulaumiwa international community ambao waligeuza kambi za wakimbizi kambi za kijeshi,na nachoelewa wahutu wengi warirudi rwanda wakati huo na mpaka sasa bado wanarudi sasa hiyo milioni tano sijui inatoka wapi.

sawa bwana.
 
Huo ni uongo! kwanza RDF haikuua watu congo,kingine nani anayejua idadi ya watu wa maeneo hayo waliyo yasema?je unaweza kua watu 5,000,000 na isionekane?waliuawa watu 1000,000 rwanda nakila mtu alishuhudia maiti zilivyo kua zimezagaa,sasa uniambia 5000,0000? inawezekanaje hao watu wasionekane,hivi ukiwauliza hizo takwimu walizitoa wapi hawawezi kukuambia,na ndiyo maana hazikukamata kitu zilidharauliwa kwani ulikua uongo,hizo zilikua njama za wanaoupinga utawala wa kigali.

..basi wewe tupe number ambayo RPF/RDF wanakubaliana nayo.

..tueleze mmeua wananchi wangapi wa Congo?

..mali na madini mliyopora na kuiba Congo yana thamani kiasi gani?
 
sawa bwana you are probably one of those who believe you are actually black jews!

WaTZiii hatupendagi ukweli... kwa kuwa UKWELI unauma!! bandugu nikujuuze kuwa Mtoto wa mwizi ni mwizi kama vile mtoto wa nyoka ni nyoka!! na mtoto/binti wa kahaba ni kahaba... mtoto wa fisadi ni fisadi... malizia mkuu basi...
 
sasa nimalizie kitu gani?
 
Back
Top Bottom