Kagame aanza vituko

Kagame aanza vituko

Wake zenu wakifumaniwa mtasema Kagame kawatuma DMI. Kila leo mnamsingizia Kagame mambo ambayo hata hayamhusu. Hivi inaingia akilini kweli kwa Kagame anayefanya kazi kubwa kuijenga nchi yake, kuamuru uchomwaji moto holela eti ili awasingizie FDLR?? C'mon y'all, you cant be that naive.

Wengine mnasema eti jumuiya ya kimataifa imempa miezi 6 Kagame kuruhusu fdlr wote warejee Rwanda na kufanya siasa. Ha ha ha. Who cares for the international community?? Where were they when a million people got killed senselessly? Hakuna wa kumwamuru Kagame kufanya lolote katika utetezi wa nchi anayoiongoza. Besides, we all know that the UN, HRW and other saboteur organizations are in cahoots with fdlr. The forces of evil will never win when faced with good. Endeleeni kuota tu. Kwanza nashangaa kuona watanzania wenzangu mkilishikia bango suala la kumuondoa Kagame. Ni chuki dhidi ya Tutsi au?? Aibu, aibu.
 
wake zenu wakifumaniwa mtasema kagame kawatuma dmi. Kila leo mnamsingizia kagame mambo ambayo hata hayamhusu. Hivi inaingia akilini kweli kwa kagame anayefanya kazi kubwa kuijenga nchi yake, kuamuru uchomwaji moto holela eti ili awasingizie fdlr?? C'mon y'all, you cant be that naive.

Wengine mnasema eti jumuiya ya kimataifa imempa miezi 6 kagame kuruhusu fdlr wote warejee rwanda na kufanya siasa. Ha ha ha. Who cares for the international community?? Where were they when a million people got killed senselessly? Hakuna wa kumwamuru kagame kufanya lolote katika utetezi wa nchi anayoiongoza. Besides, we all know that the un, hrw and other saboteur organizations are in cahoots with fdlr. The forces of evil will never win when faced with good. Endeleeni kuota tu. Kwanza nashangaa kuona watanzania wenzangu mkilishikia bango suala la kumuondoa kagame. Ni chuki dhidi ya tutsi au?? Aibu, aibu.

mtusi wewe unajiita mtanzania wapi na wapi na bado tutaendelea kumbana huyo dikteta
 
bora muliite jukwaa la E.AFRICA tujue moja.
 
hii ni babkubwa.dont belittling the competency of tanzania when it comes to shaping the politics of her neighbours.hapa piga ua kuna influence ya TISS.

Very bas strategies indeed. I think, id i was Kagame,i wouldnt allow hutus militia back to the country easily. The worse situations ni kwamba even those who committed crimes are now old or dead. Hawa wanaoweka silaha chini ni watoto ambao bado chuki ipo kwao toka kwa wazazi wao.

Kingine ni kwamba pamoja kuwa na challenges nyingi kama za kijamii na huduma pale watakapoanza kurudi rwanda bado ni ndogo. Hakuna kazi na kipato ni kidogo mno. Hapo ndio riots zitatokea na mambo mengi tutasikia.
And of course nchi wahisani wataingiza spies wengi kupitia huo mgongo.
Kikwete was right kumshauri Kagame to talk na FDLR .Hapa Kagame alikuwa na uwezo wa kucontain hii situation much easily kuliko sasa.

All in all,nisingependa kutaka au kuona vita wala kuona Kagame anaishia pabaya. Jamaa anahitaki kuangalia mbali na kusikiliza uhauri wa watu wake.

FDLR nao wasifikiri RWanda ni yao tu. Hizo ideologies zimepitwa na wakti.

The king.
 
kikwete ndiye anaangalia karibu,pk kaangalia mbali,huwezi sema Genocide never again halafu watu waliotenda hiyo Genocide unawapa fursa yakuja ku negotiate na waathiriwa kama vile hakuna lolote walilo lifanya wala hakuna kutubu au kuomba msamaha? serikali ya rwanda iliishatoa msamaha kwa yeyote kutoka FDLR atakaye rudi kwa hiari na kuachana na ideology ya chuki kwa watusi atapokelewa vizuri sana na kuishi salama na wanyarwanda wengine lakini siyo kuja ili watawale rwanda hilo haliwezekani,litawezekana tu wakifuata taratibu zilizowekwa na serikali ya rwanda,bila hivyo itakua ku support waliyo yafanya,hebu fikiri jamaa kaua familia yako na akakukimbia baadaye majirani wanamleta na kukulazimisha kuishi naye na kukuongoza bila hiari yako na wala hajaomba msamaha na kutubu dhambi zake mbele yako,hiyo inawezekana kweli?tatizo waafrika hawaamini kama mtusi 10% anaweza ongoza rwanda,kwa imani yenu mmeweka ukabila mbele,nikiwa na maana kwamba majority in terms of kabila lazima aongoze,lakini unachotaka kuelewa ni kwamba wanyarwanda waisha vuka hayo mawazo sasa wao bila kujali kabila wanahitaji kiongozi anaye waletea maendeleo,kwani ukabila hakuna kizuri chake.
 
FDLR imeanzishwa mwaka 2000, mbona tokea 94 hakuna orodha yoyote ya watuhumiwa ambao wamo ndani ya FDLR? Mpaka pale FDLR ilipoundwa ndio kagame akaanza kusema eti FDLR ndio genocidaires simply kwa sababu ni wahutu.
Mbona muanzilishi wa hiyo FDLR inayosemekana kuwa ni wauaji sasa hivi ni mkuu wa majeshi Rwanda? Unataka kusema genocider anaweza kusamehewa kirahisirahisi tu na cheo juu akapewa? Sababu ya kuanzishwa mahakama ya ICTR ni nini? si wangesamehewa tu watuhumiwa wote kama kweli Rwanda ime "move on"? Ukweli ni kuwa FDLR ni chama cha siasa kilicho ukimbizini nothing more.
kwa sababu kagame ni dictator ametoa options mbili:
1. Rudi Rwanda uwe chini yake na upate fedha, ardhi, vyeo (kwa wale senior members especially ex-FAR kama Col. Rwakarabije).
2. Baki nje ya Rwanda utaitwa genocidaire, na kila kibaya kitakachotokea ndani ya Rwanda utasingiziwa wewe!
 
kikwete ndiye anaangalia karibu,pk kaangalia mbali,huwezi sema Genocide never again halafu watu waliotenda hiyo Genocide unawapa fursa yakuja ku negotiate na waathiriwa kama vile hakuna lolote walilo lifanya wala hakuna kutubu au kuomba msamaha? serikali ya rwanda iliishatoa msamaha kwa yeyote kutoka FDLR atakaye rudi kwa hiari na kuachana na ideology ya chuki kwa watusi atapokelewa vizuri sana na kuishi salama na wanyarwanda wengine lakini siyo kuja ili watawale rwanda hilo haliwezekani,litawezekana tu wakifuata taratibu zilizowekwa na serikali ya rwanda,bila hivyo itakua ku support waliyo yafanya,hebu fikiri jamaa kaua familia yako na akakukimbia baadaye majirani wanamleta na kukulazimisha kuishi naye na kukuongoza bila hiari yako na wala hajaomba msamaha na kutubu dhambi zake mbele yako,hiyo inawezekana kweli?tatizo waafrika hawaamini kama mtusi 10% anaweza ongoza rwanda,kwa imani yenu mmeweka ukabila mbele,nikiwa na maana kwamba majority in terms of kabila lazima aongoze,lakini unachotaka kuelewa ni kwamba wanyarwanda waisha vuka hayo mawazo sasa wao bila kujali kabila wanahitaji kiongozi anaye waletea maendeleo,kwani ukabila hakuna kizuri chake.

Unajua ukiacha ushabiki na ulimbukeni na kuchambua siasa za rwanda kwa umakini zaidi utakuwa huru kifikra na kiakili.
Kagame is a great president. We know that. But he is no God. He makes mistakes. Kwani hutaki kuona hayo?

The king.
 
ahahahahhaha..... kwani tanzania hakuna watusi watanzania? au tanzania wote ni wahutu?

tunajua watusi na wahutu mpo kimwilia tanzania ila kiroho mpo kwenu rwanda na burundi nyie si vizazi vya wakimbizi
 
kikwete ndiye anaangalia karibu,pk kaangalia mbali,huwezi sema Genocide never again halafu watu waliotenda hiyo Genocide unawapa fursa yakuja ku negotiate na waathiriwa kama vile hakuna lolote walilo lifanya wala hakuna kutubu au kuomba msamaha? serikali ya rwanda iliishatoa msamaha kwa yeyote kutoka FDLR atakaye rudi kwa hiari na kuachana na ideology ya chuki kwa watusi atapokelewa vizuri sana na kuishi salama na wanyarwanda wengine lakini siyo kuja ili watawale rwanda hilo haliwezekani,litawezekana tu wakifuata taratibu zilizowekwa na serikali ya rwanda,bila hivyo itakua ku support waliyo yafanya,hebu fikiri jamaa kaua familia yako na akakukimbia baadaye majirani wanamleta na kukulazimisha kuishi naye na kukuongoza bila hiari yako na wala hajaomba msamaha na kutubu dhambi zake mbele yako,hiyo inawezekana kweli?tatizo waafrika hawaamini kama mtusi 10% anaweza ongoza rwanda,kwa imani yenu mmeweka ukabila mbele,nikiwa na maana kwamba majority in terms of kabila lazima aongoze,lakini unachotaka kuelewa ni kwamba wanyarwanda waisha vuka hayo mawazo sasa wao bila kujali kabila wanahitaji kiongozi anaye waletea maendeleo,kwani ukabila hakuna kizuri chake.

Ona mbali ndugu Mandela aliunda Tume ya Maridhiano na Makaburu na aliwasamehe we unaishi Dunia ipi?
 
Ndugu yangu tofauti ni kuwa madhambi ya makaburu hayana utata dunia nzima, na "umalaika" wa Mandela hauna utata dunia nzima. Hali hii ni tofauti when it comes to kagame na FDLR. Wote wana makosa.
Kagame hana uhalali wa kuunda tume wakati yeye mwenyewe anatakiwa kuwa upande wa utetezi kwa madhambi yake. Ndio maana hao hao FDLR anaowaita magaidi anawanunua na kuwapa vyeo kwenye serikali yake, lakini hapo hapo wakitaka mazungumzo anakataa. Kwa sababu mazungumzo yata-acknowledge madhambi ya kagame na kundi lake la waasi la RPA dhidi ya serikali halali iliyopinduliwa mwaka 1994.
Kinachotakiwa ni mjadala wa kitaifa wa maridhiano HALISI baina ya wanyarwanda wenyewe na sio maridhiano ya kuongozwa na viongozi wa kisiasa ambao wanavutia ngoma upande wao. Ni wanyarwanda pekee pasipo kagame au FDLR ambao ndio wataweza kuleta amani.
vingine vyovyote itakuwa ngumu. ukisema FDLR/wahutu pekee waombe msamaha itachekesha kwani mahesabu yote yanaonyesha wahutu ndio waliouwawa sana (both in 1994, na baadae DRC baada ya kagame kuwavamia), ukisema RPA/kagame aombe msamaha bila FDLR/wahutu, pia itakuwa si sawa kwani fact ni kuwa wahutu waliua watutsi vile vile , wapo interahamwe etc ambao waliua mwaka 1994, hivyo dawa ni wote waombe msamaha. Sidhani kuna tatizo kwa FDLR/wahutu ku-acknowledge interahamwe elements ndani yake, ila tatizo ni kwa upande wa watutsi kama MUKAMASIMBA ambao hawataki kukubali hatia ya kagame/RPA.
 
Last edited by a moderator:
Huo rais wa Ruwanda ni mchapa kazi kweli oneni......hapo
[h=1]Rwandans expelled from Tanzania get new promise of life back home[/h]
0a11_2843.jpg
Expelled Rwandans crossing back from Tanzania / Image via wordpress.com

Jul 22, 2014 KIGALI, Rwanda - Ms Odette Bayagambe, 39, had always considered Tanzania her home, until the afternoon of August 9, 2013 when Tanzanian security operatives attacked her home and forced her to leave the country.
"I had just taken goats to graze," she says. "As I stood in the middle of our banana plantation, four Tanzanian soldiers came to our home and shouted at me, 'Rudi Kwenu' [Kiswahili phrase meaning 'Go back home']".
She was forced out of Tanzania, leaving behind 30 goats, land plots, a three hectares cassava plantation, a banana plantation, her house and all other properties.
On July 19, 2013, Tanzania's President Jakaya Kikwete ordered all "illegal immigrants" be expelled after two weeks ultimatum.
More than 14,000 Rwandans were kicked out indefinitely. They had no opportunity to pack their properties or sell them. The victims say Tanzanian security operatives stormed villages, smashed houses, burnt some of them and looted properties. Many were assaulted. The Tanzanian government has denied such acts ever happened.
Upon arrival at the border along the east, the Rwandan government settled them in Kiyanzi transit camp, Eastern Rwanda, in makeshift shelters.
About 9,000 families were helped locate their ancestral relatives in different parts.
"We also provided them with a three months' food package; beans, rice, maize, salt, cooking oil and boxes of compact rice for the children and the elderly," says Seraphine Mukantabana, Rwanda's Minister for Disaster Management and Refugee Affairs (MIDIMAR).
Over 5,000 families remained in the camp, including Ms Bayagambe's. And the government is building new homes for them.
For example, on June 28, at a community gathering, 40 families, including Ms Bayagambe's, had not prepared themselves for a big surprise - a fully-furnished house. Each house costs Rwf12 million (about 20,000USD). An average Rwandan lives in a house that costs much less.
Rwanda's President Paul Kagame pledged Rwf480 million (about 700,000USD) to help build fully furnished houses, for ten families.
For those resettled, each district has a long-term support package. The returnees are allocated start-up capital of Rwf100, 000 (about 150$) to help run small business. Community members have also donated food to the families.
Father of two Mr Dismas Habimana, 47, is still angry. "I had 120 cows, and I left all of them in Tanzania", he says, from his new home at Ruhashya sector, Huye district, a two hours' drive south from the capital Kigali.
 
Wake zenu wakifumaniwa mtasema Kagame kawatuma DMI. Kila leo mnamsingizia Kagame mambo ambayo hata hayamhusu. Hivi inaingia akilini kweli kwa Kagame anayefanya kazi kubwa kuijenga nchi yake, kuamuru uchomwaji moto holela eti ili awasingizie FDLR?? C'mon y'all, you cant be that naive.

Wengine mnasema eti jumuiya ya kimataifa imempa miezi 6 Kagame kuruhusu fdlr wote warejee Rwanda na kufanya siasa. Ha ha ha. Who cares for the international community?? Where were they when a million people got killed senselessly? Hakuna wa kumwamuru Kagame kufanya lolote katika utetezi wa nchi anayoiongoza. Besides, we all know that the UN, HRW and other saboteur organizations are in cahoots with fdlr. The forces of evil will never win when faced with good. Endeleeni kuota tu. Kwanza nashangaa kuona watanzania wenzangu mkilishikia bango suala la kumuondoa Kagame. Ni chuki dhidi ya Tutsi au?? Aibu, aibu.

..wakati mwingine inabidi tuwe responsible kwa makosa yetu wenyewe.

..international community ilihangaika kuwaweka pamoja kupitia mazungumzo ya amani ya Arusha.

..tatizo kila upande, Wahutu na Watutsi, ulitaka kuwazidi ujanja upande mwingine, na matokeo yake ni genocide.

..hiyo international community haikuzuia Wahutu kuua Watutsi in 1994, na vilevile haikuzuia Watutsi kuua Wahutu na Wacongamani ndani ya Congo frm 1999 mpaka leo.

..international community vilevile haikuzuia RPF/RDF kupora rasilimali za Congo kwa miongo kadhaa sasa.

cc jMali, MUKAMASIMBA
 
Last edited by a moderator:
Huo rais wa Ruwanda ni mchapa kazi kweli oneni......hapo
Rwandans expelled from Tanzania get new promise of life back home

0a11_2843.jpg
Expelled Rwandans crossing back from Tanzania / Image via wordpress.com

Jul 22, 2014 KIGALI, Rwanda - Ms Odette Bayagambe, 39, had always considered Tanzania her home, until the afternoon of August 9, 2013 when Tanzanian security operatives attacked her home and forced her to leave the country.
"I had just taken goats to graze," she says. "As I stood in the middle of our banana plantation, four Tanzanian soldiers came to our home and shouted at me, 'Rudi Kwenu' [Kiswahili phrase meaning 'Go back home']".
She was forced out of Tanzania, leaving behind 30 goats, land plots, a three hectares cassava plantation, a banana plantation, her house and all other properties.
On July 19, 2013, Tanzania's President Jakaya Kikwete ordered all "illegal immigrants" be expelled after two weeks ultimatum.
More than 14,000 Rwandans were kicked out indefinitely. They had no opportunity to pack their properties or sell them. The victims say Tanzanian security operatives stormed villages, smashed houses, burnt some of them and looted properties. Many were assaulted. The Tanzanian government has denied such acts ever happened.
Upon arrival at the border along the east, the Rwandan government settled them in Kiyanzi transit camp, Eastern Rwanda, in makeshift shelters.
About 9,000 families were helped locate their ancestral relatives in different parts.
"We also provided them with a three months' food package; beans, rice, maize, salt, cooking oil and boxes of compact rice for the children and the elderly," says Seraphine Mukantabana, Rwanda's Minister for Disaster Management and Refugee Affairs (MIDIMAR).
Over 5,000 families remained in the camp, including Ms Bayagambe's. And the government is building new homes for them.
For example, on June 28, at a community gathering, 40 families, including Ms Bayagambe's, had not prepared themselves for a big surprise - a fully-furnished house. Each house costs Rwf12 million (about 20,000USD). An average Rwandan lives in a house that costs much less.
Rwanda's President Paul Kagame pledged Rwf480 million (about 700,000USD) to help build fully furnished houses, for ten families.
For those resettled, each district has a long-term support package. The returnees are allocated start-up capital of Rwf100, 000 (about 150$) to help run small business. Community members have also donated food to the families.
Father of two Mr Dismas Habimana, 47, is still angry. "I had 120 cows, and I left all of them in Tanzania", he says, from his new home at Ruhashya sector, Huye district, a two hours' drive south from the capital Kigali.

1. kwanza hujaweka source ya habari:A S wink:
2. Ni kinyume cha sheria kumnyanganya mtu uraia wake. I have not heard a single case ambayo hawa wanyarwanda wana-argue kuwa actually wao ni legal citizens of Tanzania kwenye court yoyote ile. Vile vile serikali ya Rwanda imewapokea bila kubisha juu ya uraia wao. The FACT is these RWANDESE were illegal immigrants, lakini mwandishi wa hii habari yako iliyotoka kusikojulikana anaweka inverted commas i.e "illegal immigrants" kana kwamba kuna utata hapo, anataka kumaanisha nini?
3. From this piece, tunaona serikali ya Rwanda iliwapa hawa watu fully-furnished homes costing 20,000 USD each. The question becomes why did these people preferred to live in Tanzania illegally in the first place? sounds like PR to me.
 
Ona mbali ndugu Mandela aliunda Tume ya Maridhiano na Makaburu na aliwasamehe we unaishi Dunia ipi?

Ndugu yangu amuka! rwanda hiyo tumeipo na wengi wamasamahewa,lakini bado kunawengine hawajakubali huo msamaa,lakini kwa shariti la kuaachana hizo ideology na kuomba msamaa.
 
1. kwanza hujaweka source ya habari:A S wink:
2. Ni kinyume cha sheria kumnyanganya mtu uraia wake. I have not heard a single case ambayo hawa wanyarwanda wana-argue kuwa actually wao ni legal citizens of Tanzania kwenye court yoyote ile. Vile vile serikali ya Rwanda imewapokea bila kubisha juu ya uraia wao. The FACT is these RWANDESE were illegal immigrants, lakini mwandishi wa hii habari yako iliyotoka kusikojulikana anaweka inverted commas i.e "illegal immigrants" kana kwamba kuna utata hapo, anataka kumaanisha nini?
3. From this piece, tunaona serikali ya Rwanda iliwapa hawa watu fully-furnished homes costing 20,000 USD each. The question becomes why did these people preferred to live in Tanzania illegally in the first place? sounds like PR to me.
WaTZ.... ni maarufu kwa kubisha... TZ tumekubuhu na ulalamishi hadi imetudhuru na kutuduwazaa....!! very sorry mkuu
Ma Boomu ya Mbagala x 2 hadi leo dizastazz , Mafuriko nobody cares !! Wahanga wa majangaa hakuna wa kuwatembelea Least to do !!
THE SOURCES:- VOA,BBC and eTN global News !!
Siye tuendelee kubisha na kulalalam...na WATAWALA wetu ndiyo mtaji wao !! siye tubishe na Mafisadi watimize dhamira zao !!
Hatukubali kuwa kanchi kadaogo kametushinda kiuongozii!!
 
..wakati mwingine inabidi tuwe responsible kwa makosa yetu wenyewe.

..international community ilihangaika kuwaweka pamoja kupitia mazungumzo ya amani ya Arusha.

..tatizo kila upande, Wahutu na Watutsi, ulitaka kuwazidi ujanja upande mwingine, na matokeo yake ni genocide.

..hiyo international community haikuzuia Wahutu kuua Watutsi in 1994, na vilevile haikuzuia Watutsi kuua Wahutu na Wacongamani ndani ya Congo frm 1999 mpaka leo.

..international community vilevile haikuzuia RPF/RDF kupora rasilimali za Congo kwa miongo kadhaa sasa.

cc jMali, MUKAMASIMBA

RDF/RPF unavyoiita wewe haikufanya mauaji wala uporaji kongo,hayo yote yalikua muendelezo wa failure of international community,hawakuzuia mauaji ya watusi rwanda na wakaendelea kuwatunza na ku wasuport hao materahamwe ndani ya congo na kuwa miminia silaha na mafunzo ya kuishambulia rwanda,na hiyo ndio ilikua sababu ya rwanda kuingia congo kwani ilikua tishio kwa rwanda,nafikiri kitu walichofanya ilikua proactive mesures wasingeweza subiri mpaka jamaa waingie ndani ya rwanda,na hiyo naipa pongezi RDF kwa ujasiri na umahiri wao wakuweza kuwasambaratisha hao magaidi na vibaraka wao kwa ajiri ya amani ya rwanda,tatizo lako jokakuu unaangalia upande mmoja tu,kama ingekua wewe ni rais wa rwanda na unauhakika kwamba kunana mikakati inaendelea sehemu fulani dhidi yako,je utakaa na kusubiri mpaka wakufikie au utaamua kuwa neutralize kabla ya maafa? mambo ya mali lile nishamba la babu kilamtu anachota hata hao wazungu ndiyo kazi yao huko,amerika akishambulia sehemu lazima a compensate alivyotumia,congo ukiwa na pesa zako utafanya biashara yoyote madini yako njenje,hata wewe kama unataka unaweza kwenda kwani TPDF wako huko na niwakati wao wa kupora sasa.
 
..unajua tatizo lenu nyinyi baada ya kushika madaraka mmechukua tabia kama za Habyarimana na mmekuwa wakatili kama wa Interahamwe.

..sasa hiyo international community unayoilaumu ndiyo hiyo hiyo iliyowaachia mchukue hizo mnazoita "proactive measures" ambazo zimesababisha mauaji mengine makubwa zaidi ya yale yaliyotokea in 1994.

..haiwezekani mauaji ya Wanyarwanda milioni 1 yaitwe genocide na wahusika wapelekwe mbele ya mahakama ya kimataifa, halafu mauaji ya Wacongomani milioni 5 uyaite "proactive measures" na wahusika waendelee kupeta huko Kigali.

cc jMali
 
Last edited by a moderator:
WaTZ.... ni maarufu kwa kubisha... TZ tumekubuhu na ulalamishi hadi imetudhuru na kutuduwazaa....!! very sorry mkuu
Ma Boomu ya Mbagala x 2 hadi leo dizastazz , Mafuriko nobody cares !! Wahanga wa majangaa hakuna wa kuwatembelea Least to do !!
THE SOURCES:- VOA,BBC and eTN global News !!
Siye tuendelee kubisha na kulalalam...na WATAWALA wetu ndiyo mtaji wao !! siye tubishe na Mafisadi watimize dhamira zao !!
Hatukubali kuwa kanchi kadaogo kametushinda kiuongozii!!

Okay basi sawa, then go back home get yourself a $20,000 home fully furnished, stop hiding illegally in our forests, and robbing the wahaya when they go home by road!
 
Back
Top Bottom