Kagame aanza vituko

Kagame aanza vituko

Siku za Paul Kagame zinahesabika.Ni wazi serekali ya RPF inajua ujio wa FDLR ni kitisho kikubwa kwa utawala wao anachokifanya Kagame nikuweka mazingira ya kuzuia ujio wa FDLR.Kitu kimoja asichokijua Kagame ni kwamba huwezi kuwakandamiza wahutu walio wengi wakati wote itafika muda utatumia nguvu nyingi lakini mwisho wa siku walio wengi wataendesha serekali.

ahaha...mmeshindwa kuiondoa ccm madarakani..eti FDLR wataiondoa RPF madarakani?hilo sahau kabisa...kwa mtutu au uchaguzi FDLR hawezi kitu watarudi wote mikono juu,mbona wamesaidiwa na nchi nyingi na mpaka leo wamomaporini na ndani ya mashimo kama panyabuku.
 
Jk alimwambia aongee nao akagoma sasa jumuia ya kimataifa imemtaka aongee nao na wameweka deadline kagame yuko katika hatua za mwisho za utawala wake hata kama akihonga wahariri wa the east african wampigie international propaganda

Hakuna anayeweza kuthubutu kuwambia wanyarwanda kuongea na GENOCIDERS isipokua washirika wa FDLR.
 
Siasa za tanzania?siasa za kike tu,umbea na majungu hizo ndizo siasa za tanzania,na pk ni mwanaume hawezi kushiriki siasa za kinafiki.
Sasa, kagame ana siasa gani? Hivi ashawai kufanya ata campaign kweli nchin mwake? Kweli hawezi kufanya siasa za kinafiki ila kukata mzizi wa fitina ni kunyonga na kuwapoteza wapizani wake.
 
ahaha...mmeshindwa
kuiondoa ccm madarakani..eti FDLR wataiondoa RPF madarakani?hilo sahau
kabisa...kwa mtutu au uchaguzi FDLR hawezi kitu watarudi wote mikono
juu,mbona wamesaidiwa na nchi nyingi na mpaka leo wamomaporini na ndani
ya mashimo kama panyabuku.

aa wapi ccm wapinzani wanamtukana rais anawaita ikulu wanapata juice. sasa huko kwenu mr.slim ni kuua tu
 
Eeehhh kama wanachoma choma hovyo majengo ku attract international attention hiyo nchi si salama...unaweza kujikuta ni victim wa hiyo drama...
This's some old shit of sabotage... yaani wapo several miles behind when it comes of what they'd do to implicate FDLR to the point everyone, or at least every common mind will believe it's the work of FDLR while not!! Better for them kama sio sabotage but if it is, ten it's very childish.
 
ahaha...mmeshindwa kuiondoa ccm madarakani..eti FDLR wataiondoa RPF madarakani?hilo sahau kabisa...kwa mtutu au uchaguzi FDLR hawezi kitu watarudi wote mikono juu,mbona wamesaidiwa na nchi nyingi na mpaka leo wamomaporini na ndani ya mashimo kama panyabuku.

Hatuwezi waondoa ccm madarakani kwa saabu ccm ndo kiboko ya pk ..ccm a.k.a intarahamwe
 
hahaha...CCM a.k.a interahamwe,kumbuka pk alisema it is matter of time,he will hit you at the right place,there is a line you cant cross,sasa kama huo ujumbe hamjaupata basi mtakua na tatizo,tusiandikie mate...try and you will see.
 
aa wapi ccm wapinzani wanamtukana rais anawaita ikulu wanapata juice. sasa huko kwenu mr.slim ni kuua tu

ahaha..huo ni upinzani wa tumbo tu,siunajua waswahili wanavyopenda msosi!huo siyo upinzani.
 
Sasa, kagame ana siasa gani? Hivi ashawai kufanya ata campaign kweli nchin mwake? Kweli hawezi kufanya siasa za kinafiki ila kukata mzizi wa fitina ni kunyonga na kuwapoteza wapizani wake.

Hebu niambie wapinzani halali walio uwawa na pk au yeyote yule anayeitwa mpinzani,naikathibitishwa kwamba waneuwawa na pk,na wengi wanafia nje ya nchi,wana inteligency zao,niambie wamesema nini?
 
hakuna anayeweza kuthubutu kuwambia wanyarwanda kuongea na genociders isipokua washirika wa fdlr.

kagame anajifanya anapenda demokrasia na anashinda kwa asilimia tisini na tisa sasa kwa nini anawaua wapinzani wake wanaotaka kugombea na kuiba kura sasa kama anapata ushindi wa hivyo si amwachie huru bi victoria ingabile na amruhusu nyamwasa na wenzie waje waendeshe siasa huru na kura ziamue
 
Lakini nilifikiri na wewe ni msomi,victoria hakuwekwa gerezani na pk,ni sheria inayomuweka ndani,sasa subirini sheria ifanye kazi,victoria aliye shirikiana kuunga mkono na GENOCIDERS na babu seya aliyebambikiwa kesi na kuozea gerezani yupi kaonewa?
 
kagame anajifanya anapenda demokrasia na anashinda kwa asilimia tisini na tisa sasa kwa nini anawaua wapinzani wake wanaotaka kugombea na kuiba kura sasa kama anapata ushindi wa hivyo si amwachie huru bi victoria ingabile na amruhusu nyamwasa na wenzie waje waendeshe siasa huru na kura ziamue

Je unajua sheria za kijeshi?hao akina kuyumba unaosema walifanya makosa jeshini hakuna aliye wazuia kurudi rwanda bali wao wanaogopa sheria,na lazima wasimamishwe mbele ya sheria kutokana na makosa yao,hili ndio tatizo la waafrika akifuatiliwa kwa makosa hukimbia na kujifanya mpinzani,tanzania hakuna wapinzani kwani wanalindana hakuna anayeulizwa,wakikuchoka wanakuloga unakufa na watakufa sana kwani hiyo mialiko ya ikulu siyo bure,nakupenda msosi mtaisha.
 
Ha ha ha ha!
We bwana unachekesha sana.
 
Nyie watz manomsema kagame, hebu jaribuni kufikiria je, kama ingekuwa tz ingekuwaje? Rais wa kenya (kwa mfano) aje awaambie mkae chini na watu ambao tuseme waliua watz zaidi ya milion 1 mtakubali? sisemi kwamba kagame yuko sahihi, lakini one thing thats for sure is that anafanya kazi na ni kiongozi anayependwa na wengi ndani na nje ya nchi yake. na kazi yake tunaiona kwa jinsi nchi yake inavyoendelea! jalini yakwenu mumwache mwenzenu naye ajinafas!

FDLR wanakuja kuchukua nchi kwahiyo utulie we mtutsi

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Wewe bado uko gizani,yani unaamini hizo propaganda za jmali?kweli upo usingizini,uchunguzi bado unafanywa hakuna ripoti yoyote iliyotolewa,lakini wengi wanaamini ni tatizo la umeme,sasa huyo jmali ameifanya lini hiyo investigation? nahisi hawa akina jmali watakua ndio wanachoma kigali,sasa wameanza kuzusha kabla ya report ya investigators.

Mimi sina hisia nyingi kama ww mkuu!

Embu jibu apa
Sio kweli kwamba pk anasapoti mapigano drc?

Si kweli kwamba pk ameshiriki mauaju rwanda.

Si kweli kwamba pk anawaua wapinzani wake kisiasa?

Nilichozungumza mim b kwamba Pk amabaye nlifikiri kama hero such kama Nkwame,Nyerere,mandela sio.

Et leo hii anaiona tanganyika wajinga? Kasoma kwetu,kaishi kwetu!

Kingine landa unachotaka kusema.
 
TISS kiboko.....Kagame aombe msamaha kiroho safi asamehewe......Joyce Banda alijifanya jeuri.....yuko wapi? Kagame ananyooshwa taratibu....uzuri hata yeye anajua hilo ila kaamua kufa kiume......Kagame fanya wepesi mambo yaishe maisha yasonge mbele....
 
hahahaha mkuu i thought you said i was in eastern DRC with my fellow FDLR....when did i go to "chigali"?
 
TISS kiboko.....Kagame aombe msamaha kiroho safi asamehewe......Joyce Banda alijifanya jeuri.....yuko wapi? Kagame ananyooshwa taratibu....uzuri hata yeye anajua hilo ila kaamua kufa kiume......Kagame fanya wepesi mambo yaishe maisha yasonge mbele....
ahahahahhha ...yani wewe unalinganisha pk na joyce banda? kweli tanzania munauwezo wa ku deal na watu kama joyce banda,kwanza ni SADC Wachovu,lakini sahau pk yule ni team nyingine si size yenu.
 
Mimi sina hisia nyingi kama ww mkuu!

Embu jibu apa
Sio kweli kwamba pk anasapoti mapigano drc?

Si kweli kwamba pk ameshiriki mauaju rwanda.

Si kweli kwamba pk anawaua wapinzani wake kisiasa?

Nilichozungumza mim b kwamba Pk amabaye nlifikiri kama hero such kama Nkwame,Nyerere,mandela sio.

Et leo hii anaiona tanganyika wajinga? Kasoma kwetu,kaishi kwetu!

Kingine landa unachotaka kusema.

jibu yote si kweli!
 
Back
Top Bottom