Kagame 3rd Term Debate Gains Momentum in Rwanda

Kagame,Kaguta,Kikwete,Kenyatta,NKurunzinza,Kabila, (6K's)...they all putting things together to snatch their third terms!!
 
bwahahahhaha, ngoja wakusikie wenyewe

Ahahahahaha ndugu yangu Jmali. Yaani hiyo avata inaonyesha wewe ni muhutu original.
Kumbe wazee wa sumu na wazee wa jenosaidi wanasema ukweli wewe ni mhutu kabisaaaaa.....LOL
 
Mkuu nataka kujua kwani kuna ubaya gani kuwa Mhutu? kwani kila mgutu muuaji au n i interhamwe?
 
Waafrika kwa Madaraka uatawaweza? Museveni aliingia madarakani mwaka 1986 akidai kujenda Uganda ya kidemokrasia. Ona leo ni takriban miaka 30 bado yuo. Mugabe aliingia madarakani mwaka 1980, na anataka kufia madarakani. Waafrika wa kuondoka madarakani kwa hiari ili kuwaachia wengine bila pressure ni wachache sana.
 
Mkuu nataka kujua kwani kuna ubaya gani kuwa Mhutu? kwani kila mgutu muuaji au n i interhamwe?

Watutsi wanaamini wao wameumbwa ili watawale Afrika. Angalia mawazo ya huyu mmojawapo kuhusu wabantu.

siyo hima empire ndugu yangu,nikwasababu imeisha onekana kwa wazungu mtusi akitawala hawawezi leta uhuni wao ila hawa waafrika wengine zao ni kuwainamia wazungu na kusema ndiyo bwana.

Hayo ya mukamasimba ndio msimamo wa kagame na RPF. Na ndio chanzo cha migogoro yote ya rwanda na burundi. watutsi wenye asilimia chini ya 15 wanataka kutawala wenzao asilimia 80! kwa sababu tu wao ni watutsi!

cc: MK254 nyumba kubwa JustDoItNow Kibona
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nataka kujua kwani kuna ubaya gani kuwa Mhutu? kwani kila mgutu muuaji au n i interhamwe?

Ngoja nikusaidie mkuu kwa manufaa ya mijadala ijayo vis a vis Rwanda.

Kuna Mhutu na kuna Interahamwe
Kuna Mtutsi na kuna Intarahamwe

Wote hawa jMali could be either of them.
 
Last edited by a moderator:
Watutsi wanaamini wao wameumbwa ili watawale Afrika. Angalia mawazo ya huyu mmojawapo kuhusu wabantu.

Hayo ya mukamasimba ndio msimamo wa kagame na RPF. Na ndio chanzo cha migogoro yote ya rwanda na burundi. watutsi wenye asilimia chini ya 15 wanataka kutawala wenzao asilimia 80! kwa sababu tu wao ni watutsi!

cc: MK254 nyumba kubwa JustDoItNow Kibona

mh!kwa hiyo MUKAMASIMBA=KAGAME?
 
Ngoja nikusaidie mkuu kwa manufaa ya mijadala ijayo vis a vis Rwanda.

Kuna Mhutu na kuna Interahamwe
Kuna Mtutsi na kuna Intarahamwe

Wote hawa jMali could be either of them.

usitake kuvumbua vitu ambavyo havipo, kuna interahamwe tu, hakuna intarahamwe! Naona mmeshaanza kubuni vitu vya kufikirika, hiyo "intara" ya watutsi ndio ya wapi tena?
 
tayari yameshawekwa. siku nyingine ukidandia mjadala anzia mwanzo sio kumuona jmali unalipuka tu!
sasa nini tena? unaona aibu kurudia? basi acha lakini kwa vyovyote itakuwa inahusiana na ukabila maana naona ushaanza kigugumizi kwa jinsi unavyonijuwa nsivyoupenda!!! safi sana, ila ntakupata tu kwani huchelewi Interahamwe wewe!!!
 
usitake kuvumbua vitu ambavyo havipo, kuna interahamwe tu, hakuna intarahamwe! Naona mmeshaanza kubuni vitu vya kufikirika, hiyo "intara" ya watutsi ndio ya wapi tena?

Atleast umeona typing yangu ndio imekosewa. Not the comment. Thanks.
 
sasa nini tena? unaona aibu kurudia? basi acha lakini kwa vyovyote itakuwa inahusiana na ukabila maana naona ushaanza kigugumizi kwa jinsi unavyonijuwa nsivyoupenda!!! safi sana, ila ntakupata tu kwani huchelewi Interahamwe wewe!!!

mjadala mzima upo hapa, wewe unadakia comment za mbele halafu unataka watu warudie kwa nini? lakini wewe huyo huyo ukiombwa ushahidi, link au reference yoyote ile ndio wa kwanza kuingia mitini. anyway, mjadala ulikuwa kati yangu na murutongore sio wewe.
 
Atleast umeona typing yangu ndio imekosewa. Not the comment. Thanks.

Angalau wewe kidoogo, yule mwenzio wa Gigawatt mpaka leo kimyaaaa. Anyway, interahamwe inajumuisha watutsi na wahutu alike, kwa sababu originally lilikuwa kundi la kisiasa, na halikuanzishwa ili kuua watutsi kama baadhi ya watu wanavyodai, ndio maana hata watutsi nao walikuwamo ndani ya interahamwe.
 
Back
Top Bottom