Let us be realistic. Kagame ni Rwanda, na Rwanda ni Kagame. Unajua tukiachana na demokrasia ya magharibi ambayo imetukomoa watanzania under JK, tunaweza kuona kuwa ukiwa na dikteta kama Kagame ni bora kuliko rais aliyechaguliwa kidemokrais kama JK.
Kama kiongozi wa nchi, kama msimamizi wa mali za taifa, kama mkuu wa serikali na idara zake (though not perfect) Kagame is 100 better than JK. Politics aside, uzalendo mpofu pembeni.....Tupende tusipende he is our president who we will never have, hata akiondoka Rwanda, haitakuwa na kiongozi kaka PK. Kuna mengi ya Kagame siyapendi, lakini will be very happy to have him as president of Tanzania.