Kafumaniwa

kitanzi kinawasubiri hao,nilazma wanyongwe mpk wafe kama jamaa atakufa,kama akipona watahukumiwa sichini yamiaka 30jela watakoma naujingawao.

Yeah hao wafumanizi jela inawasubili kujichukulia sheria mkononi mpaka sasa watakuwa kwenye usalama.
 
Yaani wapendwa hizo taarifa nilizipata juu juu kwa sababu huyo mkaka namfahamu kwamba amelazwa kapigwa baada ya kufumaniwa na fumanizi lilipangwa na mkewe pamoja na mume anaeibiwa mali zake. Baada ya kuona maswali yenu ndio sasa imebidi nimuulize kuhusu mwanamke mwizi. Ndio amenijibu hiyo stori amepewa juu juu na huyo kaka sasa hvi tumepewa taarifa kwamba amekufa sasa nimeshindwa hata kumdadisi sana kwani ndio kwanza ameletewa taarifa ya msiba nadhani akitulia ndio atanihadithia zaidi.

Jamani hii habari inasikitisha sasa sijui huyo dada atalia kuhusu msiba wa mumewe au atacheka hata sipati picha.
Maty this is vere vere
 
ooh Maty wana watoto! Imenisikitisha hata sina la kusema.

I see R.I.P mfumaniwa.

HUyo dada atalia na kusaga meno kwa kujutia kitendo alicho kifanya.
 
Liwe fundisho kwa wala vya watu. Infidelity is like an act of murder(shakespear). Hata hakimu anaweza kutoa msamaha. Mimi nashangaa unakuta mtu anajivinjari tu na mke au mume wa mtu. Huo ndo mshahara. SI muhurumii mtu. I could do the same.
 
Hapo kwenye red si ajabu hata kuanza walikuwa bado hajaanza game lenyewe
bora wangemwacha kwanza akamue ndio wambutue

Ila haya mambo ya ajabu sana, yani unapigania frustration hadi unataka kuua... halafu mkirudi majumbani mwenu hata story hamna zaidi ya kupena majasho tu

Binadamu wachoyo sana
 
Liwe fundisho kwa wala vya watu. Infidelity is like an act of murder(shakespear). Hata hakimu anaweza kutoa msamaha. Mimi nashangaa unakuta mtu anajivinjari tu na mke au mume wa mtu. Huo ndo mshahara. SI muhurumii mtu. I could do the same.
agreed, sasa si wangewapiga wote?? kwanini wampige mmoja??

Hivi na wewe na akili yako unaweza kweli kupanga kabisa ukaue mumeo ila hiyo nyamayake uiache siyo?? yOu know that is an insult kwa akina mama kwamba wao hawana maamuzi ?
 
mie nipo kwa huyu mwanamke aliemtwanga mumewe kihivyo? kweli kuna mwanamke ana akili ya kumchangia mume wake na mwanaume mwingine mpaka wamuumize kihivyo?...swali lingine labda Maty atuambie je huyo mwanamke aliefumaniwa alitimua au nae alikuwa anaangalia wrestling inavyoendelea?

Yaani nyamayao ndio nampigia alieniambia nimuulize kuhusu mwanamke mwivi ilikuaje si ndio ananiambia amepata taarifa huyo kaka amefariki hivyo anaenda msibani hata nimeshindwa kuuliza zaidi jamani
 
When you are done wit you wife or husband, divorce him or her. Si unachovya chovya. Hii iwe funzo kwa wengine. Respect your marriages. Hata mimi naua walahi nikimjua mwizi wangu though I may not kill my husband but the other woman.
 
ooh Maty wana watoto! Imenisikitisha hata sina la kusema.

Chauro wana watoto tena wakubwa tu, mi nilivyoambiwa kwamba mkewe alishiriki nilichoka kabisa sasa ona mume kafa yaani nashindwa kabisa
 
Liwe fundisho kwa wala vya watu. Infidelity is like an act of murder(shakespear). Hata hakimu anaweza kutoa msamaha. Mimi nashangaa unakuta mtu anajivinjari tu na mke au mume wa mtu. Huo ndo mshahara. SI muhurumii mtu. I could do the same.

Sasa ndo uchukue sheria mkononi kumshushia kipigo mpaka afe? Sasa angalia walio mpiga sasa watakiona nao cha moto ni jela sasa nn umepata? Unaenda kuoza mahabusu miaka 6 ndo hukumu itoke na ikisha toka mke wako ndo hivyo huwezi muonja na huyo mwingine mme wake ndo hivyo hatamuona tena. Fikiri kabla ya kutenda
 
Tujulishe hao walio panga njama wapo wapi kwa sasa?

Huyo mtu mwenyewe anaenipa habari ananiambia juu juu tu kwani amechanganyikiwa kabisa na huu msiba, unajua mwanzoni walikua wanaficha ficha kusema nadhani baada ya huyu kufa ndio itakua habari kamili mi mwenzenu nimechoka kabisa yaani sisi wanawake wapumbavu kabisa.
 
wewe maty...walikuwa wana watoto wangapi? huyu mwanamke atalia kilio cha mbwa mwizi...hii disaster uickie tu kwa mtu...ote ndao!
 
Kufumania kunauma sana, lakin pia kumpiga huyo mwanaume siyo suluhisho la tatizo zaidi ni kuongeza tatizo kwa huyo mwenye mume. Ajue kuwa yeye anauguza mume (na bora apone,akifa unaambulia ujane), wakati wenzake wanaombana msamaha na maisha yanaendelea kwao.
Ukimfumania mke/mume usipigane na uliyemfumania nae, cha kufanya hakikisha kuwa wanakuona ili watambue kuwa unajua wanachofanya halafu rudi nyumbani . Atakaporudi mke /mume nyumbani ndipo umwuulize nini sababu ya yeye kufanya hivyo mtatafuta njia ya kumaliza tatizo lenu.
Mi naamini kupitia fumanizi unaweza kujifunza kitu au jambo laweza kuwa baya au zuri na likawa msaada ktk mahusiano yenu.
Narudia na nasisitiza kufumania kunauma sana sana sana sana sana. Ukiwa kwenye mahusiano na haujawahi kufumania mwambie mungu asante sana.
Binadamu tunaishi kwa kujifunza, haijalishi kama hilo jambo ni baya au zuri, lililo muhimu ni kujifunza.
 
Huyo mtu mwenyewe anaenipa habari ananiambia juu juu tu kwani amechanganyikiwa kabisa na huu msiba, unajua mwanzoni walikua wanaficha ficha kusema nadhani baada ya huyu kufa ndio itakua habari kamili mi mwenzenu nimechoka kabisa yaani sisi wanawake wapumbavu kabisa.
Ooh Lord!!
 
Hayajakufika ndo maana unaongea kwa busara hivyo.Ukifumania akili haifanyi kazi kama unavyofikiri. Ni kutenda tu rational thinking baadae. Narudia INFIDELITY is an act of murder. Na nina maana aliyefumaniwa anaweza kuuawa na aliyeuwa anishia kunyongwa. Ni wangapi mmesikia wanaua wake zao na wao kujiua kwa wivu wa mapenzi. Hachana kabisa na kuchezea feelings za watu

Sasa ndo uchukue sheria mkononi kumshushia kipigo mpaka afe? Sasa angalia walio mpiga sasa watakiona nao cha moto ni jela sasa nn umepata? Unaenda kuoza mahabusu miaka 6 ndo hukumu itoke na ikisha toka mke wako ndo hivyo huwezi muonja na huyo mwingine mme wake ndo hivyo hatamuona tena. Fikiri kabla ya kutenda
 
When you are done wit you wife or husband, divorce him or her. Si unachovya chovya. Hii iwe funzo kwa wengine. Respect your marriages. Hata mimi naua walahi nikimjua mwizi wangu though I may not kill my husband but the other woman.

Mama kubwa ukishamuua itakusaidia nini?
 
Back
Top Bottom