Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,454
Hakuna kosa lisilosameheka.Hahaha
Ndio namuacha akaendelee kupata raha zaidi!Kuchepuka ni kosa kubwa sana kwangu na halisameheki!
Hakuna kosa lisilosameheka.Hahaha
Ndio namuacha akaendelee kupata raha zaidi!Kuchepuka ni kosa kubwa sana kwangu na halisameheki!
Kumsamehe inawezekana lakini kuwa pamoja tena, itakua ni ngumuHakuna kosa lisilosameheka.
Kwaninibiwe ngumu?Kumsamehe inawezekana lakini kuwa pamoja tena, itakua ni ngumu
Sitaweza kuendelea na huo uhusiano tena!Mwanamke kuchepuka kwangu ni dharau kubwa sana!Kwaninibiwe ngumu?
Anakuwa anakupunguzia stress ndogo ndogo sio dharau.Sitaweza kuendelea na huo uhusiano tena!Mwanamke kuchepuka kwangu ni dharau kubwa sana!
Vipi wewe mzee akichepuka?unachukua hatua gani?Anakuwa anakupunguzia stress ndogo ndogo sio dharau.
Namuacha.Vipi wewe mzee akichepuka?unachukua hatua gani?
Halafu kwa sisi wanaume hilo suala la kawaida,halikwepeki!Namuacha.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Halafu kwa sisi wanaume hilo suala la kawaida,halikwepeki!
Utakua unaacha kila mara
Hilo ni kosa la kawaida tu,unasamehe,maisha yanaendelea![emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
La kawaida!! Huo ukawaida wake nini?
Kumbe!! Mbona hilo kosa la kawaida tu wewe hausamehi ili maisha yaendelee?Hilo ni kosa la kawaida tu,unasamehe,maisha yanaendelea!