Kafulila: TANESCO walikuwa sahihi kutaka bei ya umeme ipande

WAKATI Rais Dk. John Magufuli, akitangaza kuchukua hatua dhidi ya watendaji waliopandisha bei ya umeme nchini wanasiasa, wasomi na wananchi wa kawaida wametoa maoni yao juu ya suala hilo.

Akizungumza na MATANZANIA Dar es Salaam jana, Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisema Shirika la Umeme (TANESCO) lisingeweza kukurupuka kupandisha bei ya umeme.

Alisema sababu kubwa ya kupandisha bei inatokana na gharama za uendeshaji kuwa kubwa, ili shirika hilo liweze kumudu gharama za uendeshaji.

Alisema licha ya shirika kushindwa kujiendesha lakini pia ni kutokana na mzigo mkubwa wa madeni unaolikabili shirika hilo.

Alisema baadhi ya madeni ni yale yanayochochewa na mikataba mibovu, hivyo shirika hilo linalazimika kutafuta fedha ya kulipia madeni yakiwemo ya IPTL na kwamba hakuna namna nyingine ya kufanya.

“Hapa kuna mambo matatu ambayo ili kulinusuru shirika la umeme yanatakiwa kufanyika ikiwa ni serikali kukubali kupandisha bei ya umeme au serikali kuchota fedha hazina ambazo zingeweza kufanyia mambo mengine ya maendeleo, kama vile kununua dawa, huduma za maji, miundombinu kuboresha na badala yake kupeleka TANESCO.

“…au vitu vyote vishindwe kufanyika na matokeo yake shirika lianguke kabisa kwa kushindwa kujiendesha,’’ alisema Kafulila.

Aliongeza kuwa TANESCO kwa sasa inamadeni makubwa yanayofikia Sh bilioni 600 inayotokana na mikataba mibovu, huku likikabiliwa na deni la Sh trilioni 320 zinazohitajika kuilipa Benki ya Standard Chartered.

Naye Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA), alisema Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo hana huruma ya kweli na Watanzania.

Alisema utaratibu wa kupandisha au kutopandisha umeme yanakuwa juu yao na kwamba waziri hana mamlaka ya kuingilia suala hilo.

Alisema amemsikia Waziri Muhongo akizungumza na redio moja kwamba tatizo lipo katika menejimenti ya TANESCO alisema ni uongo kwa kuwa tatizo hilo halikuanza jana wala leo, bali lilianza tangu 1995 mwishoni mwa utawala wa Rais wa Awamu ya Pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi.

Alisema toka mwaka 1995 hakuna vyanzo vipya ya umeme vilivyojengwa zaidi ya vile vya Kidatu na Mtera jambo ambalo uzalishaji wa umeme unakuwa mdogo.

Hata hivyo alisema hasara nyingine zinatokana na Serikali kusimamia kidete kulipwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Singh Sethi akiwemo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, jambo ambalo litafilisi kabisa shirika hilo.

“Muhongo anajifanya yupo na watu, yupo na Watanzania lakini si kweli kwa nini alikubali kuilipa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL. Waziri huyu hashauriki, haambiliki, hivyo kama ataendelea kuwepo madarakani Watanzania wasubirie machungu,’’ alisema Kubenea.

Naye Naibu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa Chama cha Wananchi (CUF), Mbarara Maharagande alisema Serikali iache kufanya kazi kwa mihemko na kisiasa.

Alisema hafikirii kama michakato yote iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA) wenyewe walikuwa hawana taarifa hadi kufikia hatua ya kusimamisha bei mpya.

“Ni jambo zuri kuzuia upandishwaji huo wa umeme lakini sio jambo zuri kufanya mihemko ya kisiasa katika jambo la msingi kama hilo,’’ alisema.
Kumbe Kafulila alishafulia. Hajui kuwa gharama za uendeshaji za TANESCO kuendelea kuwa kubwa zinasababishwa na watumishi wa tanesco kujilipa bonus za sh 60 milioni kwa mwaka kila mmoja pamoja na ubadhilifu mwingine? Kafulila hajui kwamba madeni ya tanesco yaliyotokana na mikataba mibovu na mingineyo ni ya serikali ambayo ndiye mmiliki wa tanesco? Kweli Kafulila kafulia.
 
umeme ulivyopanda mnyaka alisema atalipeleka iliswala bungen leo hii kafulila anapnga kwastalihii wapnzani wajpange
 
WAKATI Rais Dk. John Magufuli, akitangaza kuchukua hatua dhidi ya watendaji waliopandisha bei ya umeme nchini wanasiasa, wasomi na wananchi wa kawaida wametoa maoni yao juu ya suala hilo.

Akizungumza na MATANZANIA Dar es Salaam jana, Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisema Shirika la Umeme (TANESCO) lisingeweza kukurupuka kupandisha bei ya umeme.

Alisema sababu kubwa ya kupandisha bei inatokana na gharama za uendeshaji kuwa kubwa, ili shirika hilo liweze kumudu gharama za uendeshaji.

Alisema licha ya shirika kushindwa kujiendesha lakini pia ni kutokana na mzigo mkubwa wa madeni unaolikabili shirika hilo.

Alisema baadhi ya madeni ni yale yanayochochewa na mikataba mibovu, hivyo shirika hilo linalazimika kutafuta fedha ya kulipia madeni yakiwemo ya IPTL na kwamba hakuna namna nyingine ya kufanya.

“Hapa kuna mambo matatu ambayo ili kulinusuru shirika la umeme yanatakiwa kufanyika ikiwa ni serikali kukubali kupandisha bei ya umeme au serikali kuchota fedha hazina ambazo zingeweza kufanyia mambo mengine ya maendeleo, kama vile kununua dawa, huduma za maji, miundombinu kuboresha na badala yake kupeleka TANESCO.

“…au vitu vyote vishindwe kufanyika na matokeo yake shirika lianguke kabisa kwa kushindwa kujiendesha,’’ alisema Kafulila.

Aliongeza kuwa TANESCO kwa sasa inamadeni makubwa yanayofikia Sh bilioni 600 inayotokana na mikataba mibovu, huku likikabiliwa na deni la Sh trilioni 320 zinazohitajika kuilipa Benki ya Standard Chartered.

Naye Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA), alisema Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo hana huruma ya kweli na Watanzania.

Alisema utaratibu wa kupandisha au kutopandisha umeme yanakuwa juu yao na kwamba waziri hana mamlaka ya kuingilia suala hilo.

Alisema amemsikia Waziri Muhongo akizungumza na redio moja kwamba tatizo lipo katika menejimenti ya TANESCO alisema ni uongo kwa kuwa tatizo hilo halikuanza jana wala leo, bali lilianza tangu 1995 mwishoni mwa utawala wa Rais wa Awamu ya Pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi.

Alisema toka mwaka 1995 hakuna vyanzo vipya ya umeme vilivyojengwa zaidi ya vile vya Kidatu na Mtera jambo ambalo uzalishaji wa umeme unakuwa mdogo.

Hata hivyo alisema hasara nyingine zinatokana na Serikali kusimamia kidete kulipwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Singh Sethi akiwemo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, jambo ambalo litafilisi kabisa shirika hilo.

“Muhongo anajifanya yupo na watu, yupo na Watanzania lakini si kweli kwa nini alikubali kuilipa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL. Waziri huyu hashauriki, haambiliki, hivyo kama ataendelea kuwepo madarakani Watanzania wasubirie machungu,’’ alisema Kubenea.

Naye Naibu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa Chama cha Wananchi (CUF), Mbarara Maharagande alisema Serikali iache kufanya kazi kwa mihemko na kisiasa.

Alisema hafikirii kama michakato yote iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA) wenyewe walikuwa hawana taarifa hadi kufikia hatua ya kusimamisha bei mpya.

“Ni jambo zuri kuzuia upandishwaji huo wa umeme lakini sio jambo zuri kufanya mihemko ya kisiasa katika jambo la msingi kama hilo,’’ alisema.
Jamani eee! Tunaomba tunaoleta thrd isiwe ni kila kinachosemwa na mwanasiasa ndo cha maana. Hawa munaowaita watu mashuhuri, sidhani kama ni mashuhuri ktk kujua mema na mabaya. Nachukuwa mfano huu wa Kafulila kusema Tanesco ina hali mbaya kifedha ili iwe ndo sababu ya kuruhusiwa kupandisha bei, hii haina maana yoyote. Kafulila anafahamu kwamba Tanesco pia waligawana bonus?

Anaitetea Tanesco kwamba hawakukurupuka, fine! So what? Tunajua walipanga na walikubaliana kufanya hayo je, ilikuwa ni mipango ya maana? Yaani wanagawana bonus huku wanalia hali mbaya ya fedha? Haya ndo mambo ambayo wengine tunayaona ni nonsensical.

Leteni mawazo ya thinkers na siyo watu kama hawa eti watu mashuhuri.
 
WAKATI Rais Dk. John Magufuli, akitangaza kuchukua hatua dhidi ya watendaji waliopandisha bei ya umeme nchini wanasiasa, wasomi na wananchi wa kawaida wametoa maoni yao juu ya suala hilo.

Akizungumza na MATANZANIA Dar es Salaam jana, Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisema Shirika la Umeme (TANESCO) lisingeweza kukurupuka kupandisha bei ya umeme.

Alisema sababu kubwa ya kupandisha bei inatokana na gharama za uendeshaji kuwa kubwa, ili shirika hilo liweze kumudu gharama za uendeshaji.

Alisema licha ya shirika kushindwa kujiendesha lakini pia ni kutokana na mzigo mkubwa wa madeni unaolikabili shirika hilo.

Alisema baadhi ya madeni ni yale yanayochochewa na mikataba mibovu, hivyo shirika hilo linalazimika kutafuta fedha ya kulipia madeni yakiwemo ya IPTL na kwamba hakuna namna nyingine ya kufanya.

“Hapa kuna mambo matatu ambayo ili kulinusuru shirika la umeme yanatakiwa kufanyika ikiwa ni serikali kukubali kupandisha bei ya umeme au serikali kuchota fedha hazina ambazo zingeweza kufanyia mambo mengine ya maendeleo, kama vile kununua dawa, huduma za maji, miundombinu kuboresha na badala yake kupeleka TANESCO.

“…au vitu vyote vishindwe kufanyika na matokeo yake shirika lianguke kabisa kwa kushindwa kujiendesha,’’ alisema Kafulila.

Aliongeza kuwa TANESCO kwa sasa inamadeni makubwa yanayofikia Sh bilioni 600 inayotokana na mikataba mibovu, huku likikabiliwa na deni la Sh trilioni 320 zinazohitajika kuilipa Benki ya Standard Chartered.

Naye Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA), alisema Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo hana huruma ya kweli na Watanzania.

Alisema utaratibu wa kupandisha au kutopandisha umeme yanakuwa juu yao na kwamba waziri hana mamlaka ya kuingilia suala hilo.

Alisema amemsikia Waziri Muhongo akizungumza na redio moja kwamba tatizo lipo katika menejimenti ya TANESCO alisema ni uongo kwa kuwa tatizo hilo halikuanza jana wala leo, bali lilianza tangu 1995 mwishoni mwa utawala wa Rais wa Awamu ya Pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi.

Alisema toka mwaka 1995 hakuna vyanzo vipya ya umeme vilivyojengwa zaidi ya vile vya Kidatu na Mtera jambo ambalo uzalishaji wa umeme unakuwa mdogo.

Hata hivyo alisema hasara nyingine zinatokana na Serikali kusimamia kidete kulipwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Singh Sethi akiwemo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, jambo ambalo litafilisi kabisa shirika hilo.

“Muhongo anajifanya yupo na watu, yupo na Watanzania lakini si kweli kwa nini alikubali kuilipa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL. Waziri huyu hashauriki, haambiliki, hivyo kama ataendelea kuwepo madarakani Watanzania wasubirie machungu,’’ alisema Kubenea.

Naye Naibu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa Chama cha Wananchi (CUF), Mbarara Maharagande alisema Serikali iache kufanya kazi kwa mihemko na kisiasa.

Alisema hafikirii kama michakato yote iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA) wenyewe walikuwa hawana taarifa hadi kufikia hatua ya kusimamisha bei mpya.

“Ni jambo zuri kuzuia upandishwaji huo wa umeme lakini sio jambo zuri kufanya mihemko ya kisiasa katika jambo la msingi kama hilo,’’ alisema.
sijui kubenea kama anasema kweli. watu wanangojea singasinga harbinder akamatwe yeye anasema waziri anasimamia kuhakikisha analipwa dili lake la kupora iptl.
 
japokuwa mtu ukisema kitu kinachiwagusa watu unapewa majina mbali mbali yakiwemo na yale ya upinzani lakini kuna vitu vingine tuwe tunaviangalia kwa upana zaidi pasipo kuzibana fikra zetu na kuangalia tu ushabiki wa vyma vya siasa

mimi hili suala la tanesco kutaka kupandisha gharama za umeme siwaungi mkono lakini na wao sio wajinga jamani tukumbuke wale ni wasomi wa taaluma zao na hayo sio maamuzi ya mtu mmoja ni jopo ambalo lillikaa likaona kuna haja ya kupandisha hizo gharama kulingna na hoja zao walizonazo bado wakapeleka pendekezo hilo EWURA hata hao EWURA nao sio wajinga kuridhia kupanda gharama japo walizipunguza kutoka 18% hadi 8%
sasa nani yupo sahihi jopo la wataalam wa TANESCO na EWURA ambao ni wasomi na wameamika kuona kuwa kuna haja ya kupandisha gharama au WAZIRI ( political figure)

mimi naona japo kuwa serikali imezuia upandishwaji wa gharama itabidi ikae chini na haya mashirika mawili kuona ni jinsi gani wanaweza kuisaidia tanesco ili iweze kufanya kazi zake vizuri otherwise hilo kampuni wataliendesha kwa hasara

Yaani unaamini EWURA siyo wajinga. Unaamini TANESCO na EWURA wana wataalamu na wasomi. Je, wakati TANESCO wanaandika mikataba ya kuchota pesa, hapakuwa na wasomi? Wakati EWURA inatetea uuzaji wa mafuta kwa bei ya juu kuliko soko la Dunia, haikuwa na wasomi?

Tusiamini kwamba hawa ni watu wazuri sana! Wenye niya nzuri sana! Hawa wanaangalia mambo yao sana na ndo maana wanaendelea kugawana bonus. Tuache ushabiki, hata kama tuko ndani ya Tanesco. You are wrong!
 
Si busara kuilaumu tanesco ilipofikia na kushindwa kujiendesha kwa madeni makubwa yaliosababishwa na mikataba mibovu iliosainiwa na viongozi ambao wapo huru hata bila mashtaka
 
Tulijua tu lazima yajitokeze mafisadi kukingia kifua mafisadi
 
KWANI MBINU YA KUONGEZA MAPATO NI KUONGEZA BEI TU, MBONA WANGEWEZA KUONGEZA WATEJA NA MAPATO YAKAONGEZEKA.
TUPO WATEJA WENGI AMBAO HATUJAFIKIWA NA HUDUMA HII NA TUNAIIHITAJI, KWA KUTUMIA WATEJA WAPYA TUNGEWEZA KUPUNGUZA HIZO GHARAMA ZA UENDESHAJI
Kwa uhakika kabisa ziko mbinu nyingi tu. Au tujiulize kwa kusumbua kidogo akili zetu, Je! hatua au uamuzi huu wa kuongeza bei ya umeme ingemaliza au hata kupunguza matatizo ya kifedha ya TANESCO? Wanaopinga hatua ya serikali wanapinga kwa sababu ya kupinga tu au hawajui options nyingi zilizoko kutatua matatizo ya TANESCO au ni kwa kuwa hawawajibiki na athari za bei kupanda. Zaidi ya hapo kwani ni nani mmiliki wa TANESCO. Mimi naamini kwa dhati kabisa kuwa tatizo la msingi la TANESCO ni kushidwa kutumia vizuri fursa nzuri za ukiritimba walio nao katika biashara ya umeme na badala yake wanategemea kupandisha bei tu.
 
WAKATI Rais Dk. John Magufuli, akitangaza kuchukua hatua dhidi ya watendaji waliopandisha bei ya umeme nchini wanasiasa, wasomi na wananchi wa kawaida wametoa maoni yao juu ya suala hilo.

Akizungumza na MATANZANIA Dar es Salaam jana, Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila alisema Shirika la Umeme (TANESCO) lisingeweza kukurupuka kupandisha bei ya umeme.

Alisema sababu kubwa ya kupandisha bei inatokana na gharama za uendeshaji kuwa kubwa, ili shirika hilo liweze kumudu gharama za uendeshaji.

Alisema licha ya shirika kushindwa kujiendesha lakini pia ni kutokana na mzigo mkubwa wa madeni unaolikabili shirika hilo.

Alisema baadhi ya madeni ni yale yanayochochewa na mikataba mibovu, hivyo shirika hilo linalazimika kutafuta fedha ya kulipia madeni yakiwemo ya IPTL na kwamba hakuna namna nyingine ya kufanya.

“Hapa kuna mambo matatu ambayo ili kulinusuru shirika la umeme yanatakiwa kufanyika ikiwa ni serikali kukubali kupandisha bei ya umeme au serikali kuchota fedha hazina ambazo zingeweza kufanyia mambo mengine ya maendeleo, kama vile kununua dawa, huduma za maji, miundombinu kuboresha na badala yake kupeleka TANESCO.

“…au vitu vyote vishindwe kufanyika na matokeo yake shirika lianguke kabisa kwa kushindwa kujiendesha,’’ alisema Kafulila.

Aliongeza kuwa TANESCO kwa sasa inamadeni makubwa yanayofikia Sh bilioni 600 inayotokana na mikataba mibovu, huku likikabiliwa na deni la Sh trilioni 320 zinazohitajika kuilipa Benki ya Standard Chartered.

Naye Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA), alisema Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo hana huruma ya kweli na Watanzania.

Alisema utaratibu wa kupandisha au kutopandisha umeme yanakuwa juu yao na kwamba waziri hana mamlaka ya kuingilia suala hilo.

Alisema amemsikia Waziri Muhongo akizungumza na redio moja kwamba tatizo lipo katika menejimenti ya TANESCO alisema ni uongo kwa kuwa tatizo hilo halikuanza jana wala leo, bali lilianza tangu 1995 mwishoni mwa utawala wa Rais wa Awamu ya Pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi.

Alisema toka mwaka 1995 hakuna vyanzo vipya ya umeme vilivyojengwa zaidi ya vile vya Kidatu na Mtera jambo ambalo uzalishaji wa umeme unakuwa mdogo.

Hata hivyo alisema hasara nyingine zinatokana na Serikali kusimamia kidete kulipwa kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Singh Sethi akiwemo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, jambo ambalo litafilisi kabisa shirika hilo.

“Muhongo anajifanya yupo na watu, yupo na Watanzania lakini si kweli kwa nini alikubali kuilipa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL. Waziri huyu hashauriki, haambiliki, hivyo kama ataendelea kuwepo madarakani Watanzania wasubirie machungu,’’ alisema Kubenea.

Naye Naibu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa Chama cha Wananchi (CUF), Mbarara Maharagande alisema Serikali iache kufanya kazi kwa mihemko na kisiasa.

Alisema hafikirii kama michakato yote iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA) wenyewe walikuwa hawana taarifa hadi kufikia hatua ya kusimamisha bei mpya.

“Ni jambo zuri kuzuia upandishwaji huo wa umeme lakini sio jambo zuri kufanya mihemko ya kisiasa katika jambo la msingi kama hilo,’’ alisema.
Mtu wa kwanza kabisa kupinga upandishwaji wa bei alikuwa ni Mheshimiwa Mnyika ambaye ni mbunge na waziri kivuli wa muhongo, sio hilo tu ni afisa wa ngazi ya juu wa chadema sasa hawa akina kubernea wanaanzaje kupingana na bosi wake? huyu kafulila hata wiki hajamaliza chadema keshaanza kusuguana na mabosi wake halafu akifukuzwa aanze kulialia.
 
japokuwa mtu ukisema kitu kinachiwagusa watu unapewa majina mbali mbali yakiwemo na yale ya upinzani lakini kuna vitu vingine tuwe tunaviangalia kwa upana zaidi pasipo kuzibana fikra zetu na kuangalia tu ushabiki wa vyma vya siasa

mimi hili suala la tanesco kutaka kupandisha gharama za umeme siwaungi mkono lakini na wao sio wajinga jamani tukumbuke wale ni wasomi wa taaluma zao na hayo sio maamuzi ya mtu mmoja ni jopo ambalo lillikaa likaona kuna haja ya kupandisha hizo gharama kulingna na hoja zao walizonazo bado wakapeleka pendekezo hilo EWURA hata hao EWURA nao sio wajinga kuridhia kupanda gharama japo walizipunguza kutoka 18% hadi 8%
sasa nani yupo sahihi jopo la wataalam wa TANESCO na EWURA ambao ni wasomi na wameamika kuona kuwa kuna haja ya kupandisha gharama au WAZIRI ( political figure)

mimi naona japo kuwa serikali imezuia upandishwaji wa gharama itabidi ikae chini na haya mashirika mawili kuona ni jinsi gani wanaweza kuisaidia tanesco ili iweze kufanya kazi zake vizuri otherwise hilo kampuni wataliendesha kwa hasara
Nchii hii watu wanahitaji umeme ukitaka kujua nenda sehemu ambayo haina umeme uone watu walivyo na hamu ya kupata umeme ambao waletewi bure bali wanalipia. Sasa kwa nini tanesco isiende huko ili kujiongezea mapato?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom