Kafulila: TANESCO walikuwa sahihi kutaka bei ya umeme ipande

KWANI MBINU YA KUONGEZA MAPATO NI KUONGEZA BEI TU, MBONA WANGEWEZA KUONGEZA WATEJA NA MAPATO YAKAONGEZEKA.
Unaongeza wateja kwa kuwalipisha sh.27,000/= kwa s/line ya sh.320,000/=+ halafu mteja huyo anakuja kununua umeme wa sh.2,000/= kwa mwezi
 
Correct, ukipewa kuwa CEO ukaona huwezi kuliendesha kwa mtindo huo, kimbia, achana na kujiita Mkurugenzi wakati huna plan zozote zaidi ya kuuza nguzo, eti connection fee. Nchi ambazo kila mtu yuko connected wanaendeshaje mashirika yao?

Hatutaiki static brain. Kazi kufanya ya jana tuuuu! Look forward!
Poa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom