UNGEWEKA SIKINDE au MSONDO NGOMA twengekuelewa
Khaa!! Kumbe ndiyo maana hata hapa JF kuna wendawazimu na mazuzu wengi sana :A S-eek:Ukifatilia siasa za bongo mwaka mmoja usipopata wazimu basi utakuwa zuzu, upuuzi tu hakuna cha maana
Bahati mbaya sana kuwa Sikinde na Msondo, hawana wimbo wa Wacheza kamali. Hata hivyo, nimekuwekea ufupisho.