..yes,mafisadi wote wauwaweChama cha demokrasia na maendeleo
chadema kwa kushirikiana na wana
ukawa wote cuf ,nccr na nld kesho
tarehe 10/01/2015 tutakuwa na
mkutano mkubwa wa hadhara katika
jimbo la temeke viwanja vya mwembe
yanga, mkutano huo utaongozwa na mh
devid kafulila , halima mdee na
kamanda mwakyembe njoo ujue nini
kitaendelea bunge lijalo kuhusiana
na swala la escrow wananchi wote
mnakaribishwa
Hebu UKAWA nendeni vijijini huko Mufindi,Makete huko watu bado wamelala acheni kung'ang'ania mjini tu.
Sinza wanachojua ni Manchester tuu hakuna mtu mwenye akili kule
bora hata sisi huku vijijini tunajitambua siku hizi kuliko nyinyi wa hapo dar yaani ccm inawagaragaza kila siku............yaani mmetuachia watu wa vijijini tufanye mabadiliko nyinyi dar mme relax tu na kujifanya mpo bize......ccm wanawachezea watakavyo.............KWAKWELI MNATUANGUSHA SANA WATU WA DAR
Hivi NLD ilipata viti vingapi uchaguzi serikali za mitaa?