Kafulila na Halima Mdee kuwasha "Moto" Temeke

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,378
Chama cha demokrasia na maendeleo
chadema kwa kushirikiana na wana
ukawa wote cuf ,nccr na nld kesho
tarehe 10/01/2015 tutakuwa na
mkutano mkubwa wa hadhara katika
jimbo la temeke viwanja vya mwembe
yanga, mkutano huo utaongozwa na mh
devid kafulila , halima mdee na
kamanda mwakyembe njoo ujue nini
kitaendelea bunge lijalo kuhusiana
na swala la escrow wananchi wote
mnakaribishwa
 
Hivi NLD ilipata viti vingapi uchaguzi serikali za mitaa?
 
NLD imetengwa sana na Ukawa. Dhambi ya ubaguzi inaendelea kuitafuna Ukawa
 
NLD imeshinda nafasi kadhaa za uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa huko Masasi - Mtwara.
 
Mbagala pekee ina wananchi millioni moja na ushee muende huko pia.fanyeni harakati kubwa hapa DSM .Si kwamba CCMwanapendwa sana Dar bali watu wa DSM wanataka kampeni kama zile za mrema 1995 kampeni kali kabisa maana tatizo hawapigi kura.Kina mama ambao ni CCM wanapiga kura.Hiyo sinza ni baa na guest tu zimejaa mnatakiwa kubuni strategy ya kuwapata vijana ambao ni wapiga bwii....hukaa baa huku wakiulizia ripoti za uchaguzi.wakisikia UKAWA wameshindwa wanaanza kunywa konyagi wapunguze machungu.Sasa nani kawaambia atawapigia kura.Kuwe na watu wa kutembelea vitaasisi maana kuna vi college vingi ,shule za msingi na sekondari,kumbi za harusi huko kuna namna ya kuingia kisomi sana

Muwe na waalimu wenu katika kila sekondari hawa vijana wa sekondari wana hamu sana ya kupiga kura wahamasishwe kujiandikisha ni wengi pia.walimu wanaweza kuinfluence .Tembeleeni masoko,magarage zile za chinikwachini kama wauza glass.Ujue kuna watu hawapendi tu kuufuata mkutano ulipo .wafuateni. uNDENI KITENGO HICHO CHA MA SALESMAN
 
Sinza wanachojua ni Manchester tuu hakuna mtu mwenye akili kule
 
Nami naomba maoni ya mdau yafanyiwe kazi. Ameona mbali sana
 
Nyie hoja zenu Escrow tu jitahidini kuwen ata na hoja zenye mashiko
 
hamasisha watu wajiandikishe kwa ajili ya kupiga kura, pili wahamasishe watu waanche kuitegemea sana serikali kwa kila kitu. pesa imeondondokaa njia ni kubuni njia sahii ya kupata kipato.
 
wananchi hawaelewi kama kuna maisha magumu wanadanganyika danganyika na vizawadi vidogovidogo tu. jamani umasikini mbaya sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom