jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,368
Amehami CCM rasmi, naye ameonyesha "kukunwa" na kasi ya Rais Magufuli, mpaka 'kadandia mchuma'. Sasa kwa kuwa RaisMagufuli ana operation ya kubomoa makazi ya raia yanayodaiwa kuwa ndani ya maeneo ya akiba ya barabara.
Je, mhamiaji Kafulila yuko tayari kuendesha tingatinga akabomoe nyumba za wananchi?
Je, mhamiaji Kafulila yuko tayari kuendesha tingatinga akabomoe nyumba za wananchi?