Kafulila kesho anafanya press conference

Kikwete alipiga nusu ya pesa, alivizia bunge liishe eti anakuja anatuzuga na harakati za tezi dume, jamaa ni jambazi.
 
Labda anazungumzia kuhusu CHADEMA kuitwa ulaya kuzungumzia. Escrow wakati yeye kama mhusika mkuu akiachwa solemba!
tena mbaya zaidi wanawalaumu eti viongozi waadilifu wa ccm wakiongozwa na kada chenge wameiba hela..hawana adabu hawa wachaga...ccm ni chama cha maadili mema tena cha wakulima na wafanyakazi hawawezi kufanya ushenzi huo hata kidogo
 

Tulia wewe kafulila aje atupe habari.hujaona kwamba jk amegoma kuwafukuza mawaziri,jamaa atakuwa amepata habari za jikoni sasa anataka atushirikishe watanzania
 
===Expand: Hiyo press conf. itafanyika wapi na saa ngapi?
 
Napita

damu ya YESU IWAAMSHE SALAMA
 

Mkuu tunashukuru kwa updates.Mwaka huu tutajuwa tumbili ni nani na mwizi ni nani
 
duh!!lazma mtu aote tezi dume lingine
Mh KAFULILA MUONEE RAIS HURUMA
 
Jana nilipata taarifa kuwa James Rugemalila alimtumia Rais email akimsihi asichukue hatua zozote hadi kesi iishe,
 
Sioni sababu ya kafulila kuita press na kuzungumzia escrow,jambo hilo lilisha amuliwa bungeni tunangoja rais afanyie kazi ushauri aliopewa na bunge.

Kafulila anataka kuingilia wajibu na mamlaka ya rais kwa kutaka afanye anavyotaka yeye,yeye avute subira hadi pale rais atakapotekeleza mapendekezo ya bunge,amuache rais afanye yake.
 
CHADEMA wameteka hoja yake.

Kimsingi chadema kuendelea na hoja hii ni heko kwa Kafulila kuliko unavyo fikiria, Chadema au Cuf na Nccr wakikaa kimya bila kupiga kelele juu ya escrow kafulila anakosa nguvu. Hivyo basi; iwe ni ccm, cuf, nccr mageuzi na Chadema wakiendelea kuimba escrow kafulila anazidi kuibuka shujaa.
 
Labda anazungumzia kuhusu CHADEMA kuitwa ulaya kuzungumzia. Escrow wakati yeye kama mhusika mkuu akiachwa solemba!

Kila mtu ana haki ya kuizungumzia hiyo scandali...hata wewe unaizugumzia kwa kuwatetea wezi.....kwa nini chadema wasiizungumzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…