Kafulila, Hashim Rungwe waanzisha chama cha Siasa

samahani.... si watanzania wote! ingekuwa watanzania wote CDM wangelikuwa madarakani sasa hivi na nchi ingelishakuwa vitani kwa sera zao za udini.. ukabila na ukanda

asnte baba, umehara ipasavyo! liwalo na liwe!!
 
samahani.... si watanzania wote! ingekuwa watanzania wote CDM wangelikuwa madarakani sasa hivi na nchi ingelishakuwa vitani kwa sera zao za udini.. ukabila na ukanda

Pole samaki,mtatapatapa sana na muziki wa CDM
 
Kama ni kweli basi Kafulila anazidi kupotea. Ilikuwa sahihi kujiunga na chama kingine ambacho kipo imara chenye misingi na falsafa inayoendana na msimamo wake kisiasa.
 
samahani.... si watanzania wote! ingekuwa watanzania wote CDM wangelikuwa madarakani sasa hivi na nchi ingelishakuwa vitani kwa sera zao za udini.. ukabila na ukanda

shetani wa mguu mmoja,wenye upuuzi huu ni nyie magamba mkiongozwa na dhaifu!!!!
 
Bora vita ya chadema kuliko amani ya Magamba na kama unaogopa vita mbona humtoi mkeo jeshini?Hizo propaganda zenu ndo maana mnatawaliwa mpaka na shehe ponda na liziwani!Magamba nyie na mtaondoka tu mwaka 2015 hata kama ni kwa vita mapaka nyie!

samahani.... si watanzania wote! ingekuwa watanzania wote CDM wangelikuwa madarakani sasa hivi na nchi ingelishakuwa vitani kwa sera zao za udini.. ukabila na ukanda

Leteni ushahidi kwamba mliibiwa kura zenu! ... kujaa watu kwenye mikutano sio kwamba wote ni wapiga kura.. wengine wauza maji.. pipi.. wengine wanakuja kushangaa pumba zinazoongolewa mkutanoni...

Lisu ni dhaifu na mropokaji.. tushalizoea vuvuzela lile
Dhaifu kama JK na Vuvuzela kama Nepi
 
Leteni ushahidi kwamba mliibiwa kura zenu! ... kujaa watu kwenye mikutano sio kwamba wote ni wapiga kura.. wengine wauza maji.. pipi.. wengine wanakuja kushangaa pumba zinazoongolewa mkutanoni...

Lisu ni dhaifu na mropokaji.. tushalizoea vuvuzela lile

Kwa hiyo wahudhuriaji wa mikutano ya CHADEMA tu ndio huwa wanakunywa maji na pipi? Hawaji kuuza maji na pipi ktk mikutano ya ccm kwa kuwa hakuna wateja? Fikiria upya.
 
sana mzee nakuunga mkono'hata mimi naunga mkono mgombea binafsi'hivi vyama vimekuwa ni chanzo cha kutugawa sana watz kutoka na vyama hv kuwa vya kidini'vya kikabila na vya kikanda'bora mgombea binafsi tu

hivi wadau, naomba mnisaidie, dunia hii kuna nchi inaongozwa na rais ambaye hana chama-yaani mgombea binafsi. Nisaidieni wakuu. Endapo tz itatoa mtu kama huyo naamini tutakuwa tumefikia ktk viwango vya juu sana kwa mtizamo wangu. Nipeni mtizamo jamani nataka tu kujua.
 
Back
Top Bottom