Kafulila anajiamini nini?

Kafulila anajiamini nini?

Nani asie jua kua uyo MTU ni msakatonge.
Kazi ni kipimo cha utu
 
View attachment 3345840

Ndg zangu nimekutana na taarifa hii nyeti ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwakweli nimeshtuka kidogo na kujiuliza huyu bwana anajiamini nini?

Kwa wale wanaofahamu vizuri historia ya nchi hii ni Viongozi wakuu wawili tu Mwl Jk Nyerere na Edward Moringe Sokoine ndio viongozi pekee wa Taifa hili kama sijakosea waliomudu kufanya mijadala kwenye vyuo vikuu hapa Tanzania kikiwemo hiki cha Dar es salaam,

Watendaji wakuu wa Serikali yetu wengi wao wamekuwa waoga wa kuulizwa maswali magumu na ya kukera hasa na ma-activist wa vyuoni ambao wengi wao ni Wanafunzi wenye Mrengo wa Upinzani,

Kafulila lazima ajue shughuli hii ya kukutana na ma-activist haitakuwa ya polepole lakini jambo moja zuri kutoka Kwa Mkurugenzi huyu ni huku kujiamini na kukubali kufanya mjadala wa wazi tena "Live" hakika jamaa ameshiba maarifa.

Pamoja ya kwamba taarifa hii haijasema hiyo Jumanne tarehe 27.05.2025 ni vituo gani TV & Redio vitarusha tukio hili la kihistoria ila binafsi naahidi kufuatilia mjadala huu kwa karibu mwanzo mwisho.

===

View attachment 3345916
The Public-Private Partnership Centre (PPPC) and a University of Dar es Salaam (UDSM) think tank have joined forces to hold a workshop that will explore the role of public-private partnerships in the reallsation of the Tanzania National Development Vision 2050.

The PPPC will conduct the one-day workshop at UDSM's library complex on May 27 in collaboration with the Research and Education for Democracy in Tanzania (REDET).

"Public private partnerships have a key role to play in the realisation of Vision 2050 by their ability to help build resilience against external shocks and constrained public finances," said David Kafulila, Executive Director of the PPPC.

"The government has set out a bold and ambitious challenge to deliver significant development to the country over the coming years with Vision 2050. PPPs are an integral part of this national development blueprint."

Kafulila said the role of the private sector as the main driver of economic growth is underpinned in Tanzania's National Development Vision 2050.

He underscored the importance of Tanzania pursuing economic self-reliance by diversifying funding sources amid a global shift in development financing.

The workshop is expected to take a deep dive into a number of issues, including international capital markets, mobilization of financing, opportunities, and challenges.

Chief executive officers (CEOs), business leaders, and other private sector actors are also expected to be in attendance.

Tanzania had about 80 PPP projects by last month at different stages of implementation, according to the Ministry of Finance.

The government has implemented various legal and regulatory reforms intended to make it easier for the private sector to engage in partnerships with the public sector.

📷 David Kafulila, Executive Director of the PPPC, will make a presentation on the PPP model and its role in Vision 2050, while REDET Chairman Prof. Rwekaza Mukandala will moderate the workshop.

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1926634697116754187?t=mLl8IGqIFnFV-VvzuDvL6Q&s=08

Hii sio ya Kukosa
 
View attachment 3345840

Ndg zangu nimekutana na taarifa hii nyeti ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwakweli nimeshtuka kidogo na kujiuliza huyu bwana anajiamini nini?

Kwa wale wanaofahamu vizuri historia ya Taifa hili ni Viongozi wakuu wawili tu Hayati Mwl Jk Nyerere na Hayati Edward Moringe Sokoine ndio viongozi pekee wa Taifa hili kama sijakosea waliomudu kufanya mijadala ya wazi tena na wasomi wa level ya vyuo vikuu kikiwemo hiki cha Dar es salaam,

Watendaji wakuu wa Serikali yetu wengi wao wamekuwa waoga wa kuhojiwa au kuulizwa maswali magumu yenye kukera hasa toka ma-activist wa vyuoni ambao wengi wao ni Wanafunzi wenye Mrengo na hulka za kipinzani,

Kafulila lazima ajue shughuli hii ya kukutana na ma-activist haitakuwa ya polepole lakini jambo moja zuri kutoka Kwa Mkurugenzi huyu ni huku kujiamini na kukubali kufanya mjadala wa wazi tena "Live" hakika jamaa ameshiba maarifa.

Pamoja ya kwamba taarifa hii haijasema hiyo Jumanne tarehe 27.05.2025 ni vituo gani vya TV & Redio vitarusha tukio hili la kihistoria ila binafsi naahidi kufuatilia mjadala huu kwa karibu mwanzo mwisho tuone namna watu watakavyohenyeshana kwa hoja mbele ya Prof. Rwekaza Mukandara

===

View attachment 3345916
The Public-Private Partnership Centre (PPPC) and a University of Dar es Salaam (UDSM) think tank have joined forces to hold a workshop that will explore the role of public-private partnerships in the reallsation of the Tanzania National Development Vision 2050.

The PPPC will conduct the one-day workshop at UDSM's library complex on May 27 in collaboration with the Research and Education for Democracy in Tanzania (REDET).

"Public private partnerships have a key role to play in the realisation of Vision 2050 by their ability to help build resilience against external shocks and constrained public finances," said David Kafulila, Executive Director of the PPPC.

"The government has set out a bold and ambitious challenge to deliver significant development to the country over the coming years with Vision 2050. PPPs are an integral part of this national development blueprint."

Kafulila said the role of the private sector as the main driver of economic growth is underpinned in Tanzania's National Development Vision 2050.

He underscored the importance of Tanzania pursuing economic self-reliance by diversifying funding sources amid a global shift in development financing.

The workshop is expected to take a deep dive into a number of issues, including international capital markets, mobilization of financing, opportunities, and challenges.

Chief executive officers (CEOs), business leaders, and other private sector actors are also expected to be in attendance.

Tanzania had about 80 PPP projects by last month at different stages of implementation, according to the Ministry of Finance.

The government has implemented various legal and regulatory reforms intended to make it easier for the private sector to engage in partnerships with the public sector.

📷 David Kafulila, Executive Director of the PPPC, will make a presentation on the PPP model and its role in Vision 2050, while REDET Chairman Prof. Rwekaza Mukandala will moderate the workshop.
Yule tumbili??
 
If you name one person who is based on decorating empty words zero actions, that is David Kafulila, huyo siku Mh. Rais akimshtukia atafukuza haraka sana.
 
public-private partnerships
naomba namba ya mheshimiwa ili nimuulize swali langu

swali lenyewe hili hapa : ukiondoa kuwa serikali ina kazi ya kuchukua kodi kutoka kwa makapuni ,NGO,na taasisi binafsi ,huwa inafanya nini kusaidia taasisi binafsi na watu binafsi kukuza biashara zao?
 
Mfuate kule Tweeter mkuu ni rahisi kuwasiliana nae
 
Afungue mjadala space huko twitter akutane na manguliz sasa udsm huko labda afanye na angalau graduate students na researchers plus wahadhiri. Ila hawa undergraduate students wenye uelewa mpana wa mijadala hiyo huwa si wengi kivile kwa kila darasa
 
Sema aweke link ya maswali ili wananchi pia wamuulize maswali
 
Back
Top Bottom