Sasa uchizi JF hawatibu, nenda Muhimbili utatibiwa. Uhuru wa mtu ni budi uheshimiwe. Unapowaambia wenzako machizi wanapoendesha harakati zao, wao wanakuona wewe ndiye chizi zaidi. Tangu lini masikini yuko huru? Tanzania wana uwoga na wala sio amani. Sema wewe hujafikwa na machungu ya watawala wetu wanayoyafanya kwetu, labda kwa sababu unaye mjomba huko anakunyooshea mambo yako kila unapotaka. Kunyamazishwa kwa rungu kwa kuwa unaogopa kulimbokiwa na kudaudiwa sio amani hiyo. Subiri yakikufika, sijui utakuja na thread gani humu siku hiyo. Ndugu wanapogombana chukuwa jembe ukalime. Wakipatana..........Wanabodi,
Nitaendelea kuwaeleza ukweli viongozi wa Chadema pamoja na mashabiki wao nimelazimika kutumia neno 'uchizi' wa kisiasa kwa kuwa hakuna neno mbadala la kuwakilisha tabia mbaya zinazotokana na ushabiki wa kupindukia wa Chadema na wafuasi wake. Chadema wanapambana na Idara ya Usalama wa Taifa kama vile nayo ni chama cha siasa kama CCM au CUF.
Sasa uchizi JF hawatibu, nenda Muhimbili utatibiwa. Uhuru wa mtu ni budi uheshimiwe. Unapowaambia wenzako machizi wanapoendesha harakati zao, wao wanakuona wewe ndiye chizi zaidi. Tangu lini masikini yuko huru? Tanzania wana uwoga na wala sio amani. Sema wewe hujafikwa na machungu ya watawala wetu wanayoyafanya kwetu, labda kwa sababu unaye mjomba huko anakunyooshea mambo yako kila unapotaka. Kunyamazishwa kwa rungu kwa kuwa unaogopa kulimbokiwa na kudaudiwa sio amani hiyo. Subiri yakikufika, sijui utakuja na thread gani humu siku hiyo. Ndugu wanapogombana chukuwa jembe ukalime. Wakipatana..........
Wanabodi,
Nitaendelea kuwaeleza ukweli viongozi wa Chadema pamoja na mashabiki wao nimelazimika kutumia neno 'uchizi' wa kisiasa kwa kuwa hakuna neno mbadala la kuwakilisha tabia mbaya zinazotokana na ushabiki wa kupindukia wa Chadema na wafuasi wake.
Chadema mnatakiwa kuelewa hizi sio enzi za harakati za kupigania uhuru na kumng'oa mkoloni, fanyeni siasa zenu katika misingi ya ustaraabu uzalendo na ubinadamu, hakuna awamu iliyotoa uhuru mpana zaidi kwa watanzania kutoa maoni yake, kujumika na wenzake na kushawishi wengine kufuata dini yake au chama chake, kama awamu hii ya nne. Lakini kwa bahati mbaya matunda ya uhuru huo mengine yameangukia mikononi mwa wabaya ambao wameamua kuutumia uhuru vibaya na kuugeuza uwe upanga wa kumjeruhi yeye aliyeutoa.
Chadema mnatakiwa iwahamasishe wasio na kazi wala shughuli rasmi kuipenda nchi yao wasiishie kuhamasisha wahuni waichukie nchi yao, serikali hairekebishi kwa kutupia mawe viongozi kitaifa, Chadema wanapambana na Idara ya Usalama wa Taifa kama vile nayo ni chama cha siasa kama CCM au CUF.
Ritz, zamani akili yako ilikuwa ikianzisha thread nzuri na zenye mashiko, ubishi wako ulikuwa na tija kwa chama chako, sasa yangu naona wamekupa unga wa ndele. kila ukisikia chadema hao! ooh.... masikio yanakuwasha, ww unajua nini maana ya movement, hakuna jiwe litakalosalia, pole pole dawa imeanza kukuingia, imagine use projection theory majibu unayo mkononi mwako, najua ww Ritz shule umekwenda, sasa acha kulia ndg yangu ikubali hali hiyo, be happy

Ritz wote tupo Tanzania lakini usije na hoja za kubuni zisizo na ushahidi, tuna mashaka na Usalama wa taifa kwa mambo mengi sana miongoni ni kama yafuatayo1. Kama kweli hakukuwa na mbinu hiyo kweli Serikali na hasa Usalama wa Taifa kwa nini wasiwachukulie hatua ha wa Viongozi wa CDM kwa kusema uwongo ili kuleta uchochezi?2. Suala la Dr. Ulimboka Gazeti la Mwanahalisi lilitanabaisha kila kitu juu ya dhahama aliyopata Dr. Uli na wahusika wanajulikana.3. Kuna suala la Fedha zilizohifadhiwa Uswiss kama tuna Usalama wa Taifa ambao ni kweli unalinda usalama wa Taifa hili mbona mambo muhimu kama hayo hawayachukulii Hatua ili tuwe na imani na taasisi hiyo?4. Siku za nyuma kuna tetesi zilivuma kwenye magazeti mbalimbali juu ya kuingia kwa wasomali waliokuwa na lengo la kuwatoa roho baadhi ya viongozi wa CCM na wengine wa CDM akiwemo Mwakembe na Dr. Slaa lakini mambo yalipita hivi hivi na hata vyombo vilivyoripoti havikukemewa kama ilikuwa ni uwongo na Usalama wa Taifa Kimya.** Ritz unatakiwa utambue ukiona serikali imekaa kimya baada ya kutupiwa tuhuma juu ya jambo lolote ujuwe kuna ukweli ndani yake kwani kukanusha ukweli inataka moyo na uwe muongo kwelikweli hukuona Sura ya KOVA siku anatangaza kukamatwa yule Mkenya Mdomo ulikuwa unatamka Sura inakataa na moyo ulikuwa unamsuta.**Mkuu unaishi Tanzania gani? Chadema walitoa madai ya ajabu kwamba Usalama wa Taifa una mpango wa kuwaua viongozi wao Dr Slaa, Mnyika na Lema, huu ulikuwa ni uchochezi mbaya na hatari kwani taarifa ya Chadema ilikusudia kuwashawishi wananchi kuichukia Idara ya Usalama ya Taifa ionekane haifai na yenye kuendesha vitendo vya kiuhalifu.
HIVI KWANINI THREAD ZA HUYU JAMAA ZISISUSIWE MPAKA ATAKAPO JIREKEBISHA? Naomba kuwasilisha.
Hivi Chadema inao uvumilivu kama aliouonyesha Mh Pinda kule Mwanza alivyotupiwa mawe na wafuasi wa Chadema...viongozi wa Chadema wakitupiwa mawe kwenye msafara yao si ndio watasema Usalama wa Taifa wanawapopoa mawe.