Kafulila aifunika KIGOMA

Msinisemeeeee, Msinisemeeeeee,,,,,Msinisemee kuwa napenda kula....
 
Ngoja tusikilizie,embu watachukua maamuzi gani,kama kweli bwana mdogo aliondolewa cdm basi haina haja ya kupokelewa tena cdm!Mbowe,Slaa na wengineo,chukueni maamuzi ya busara
 
Swala la Arusha kama kuna watu wanafikiria kwamba ni hasara kwa wananchi wa chadema nadhani ni fikra potofu,Swala la unyang'anyaji wa demokrasia na ufinyaji wa haki wa CCM na serikali yake umeshawatokea puani hawaelewi wafanye nini kwa sababu wa deni kwa wale madiwani,hawana namna ya kuwaweka kilazima lakini pia hawataki kuonyesha wamevunja sheria,wazo lao la kufikiria wananchi wangewaunga mkono liliposhindwa sasa watatumia dola ,Polisi na Mahakama

Wailindimishe kesi ya madiwani huko mahakamani hata 2015 doa Kwa serikali na chama chao limeshawafika hawana namna lazima kila wanakokwenda kukinga bakuli wajibu maswali kuhusu Arusha ha ha kazi wanayo
 
zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.
huko kilikotoka (wakati wa kina Kabouru) kilikuwa chama halafu hawa jamaa (Mbowe na Slaa) wakakifanya saccos sasa unataka kukirudisha kuwa chama ee, haya mkuu jitahidi.. ila watanzania wengi na wapenzi wa cdm tunataka hiyo unayoiita saccos
 
Ni vizuri ukafahamu kwamba kafulila hakufukuzwa toka chadema, alivuliwa cheo cha afisa habari.
Hii ya kwamba aidha kafulila aondoke slaa abaki ama kafulila abaki slaa aondoke ni kauli yako mwenyewe.
 
kama atarudi kama mwanachama wa kawaida mbona halina tabu hilo?
Ila uongozi mhm?
 
Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema utachekwa Ndugu,Lema bado sana kwa Zitto...tunachujua munatumia muda mwingi kumpromote Lema na kufanya kila hila ili zitto aonekane mbaya lakin wapi..Lema hawez siasa ndugu.
 
zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.

Bora kuwa na saccos inayojali na kutetea maslahi ya watanzania kuliko chama cha siasa kinachotetea maslahi ya kikundi kidogo cha watu.

Saccos ya chadema inawanyima usingizi magamba na serikali yake na wananchi wameikubali na kuipokea kwa mikono miwili!
 
Mtu mwenye akili hawez kumfananisha Lema na Zitto.Lema bado sana ktk siasa
 
Kuna watu wamekaa kichonganishi sana, wanaelewa lakini wanapotosha makusudi tu.
Ni vizuri ukafahamu kwamba kafulila hakufukuzwa toka chadema, alivuliwa cheo cha afisa habari.
Hii ya kwamba aidha kafulila aondoke slaa abaki ama kafulila abaki slaa aondoke ni kauli yako mwenyewe.
 
Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema utachekwa Ndugu,Lema bado sana kwa Zitto...tunachujua munatumia muda mwingi kumpromote Lema na kufanya kila hila ili zitto aonekane mbaya lakin wapi..Lema hawez siasa ndugu.

Zitto na Lema wote ni viongozi wazuri ingawa wanatofautiana katika mambo kadhaa hasa approach ya masuala ya kisiasa na kijamii.

Hakuna mtu anayemmaliza Zitto na kumnyanyua Lema, kilichokuwepo ni Zitto mwenyewe kujipandisha na kujishusha mwenyewe.

Nitakukumbusha kwa mara ya kwanza Zitto kuanza kupoteza uaminifu miongoni mwa wafuasi wake ilikuwa kipindi cha saga la dowans, wakati huo hakuna aliyekuwa anayemfahamu Lema katika siasa za Tanzania.

Sasahivi Lema anajipandisha mwenyewe kwa siasa zake za Arusha. He has nothing to do with Zitto's fall!
 
Mtu mwenye akili hawez kumfananisha Lema na Zitto.Lema bado sana ktk siasa

Mimi naamini kwamba hawa vijana wote Zitto na Lema wana uwezo sawa ila katika mambo tofauti.Na kusema huyu ni zaidi kuliko huyu unatumia vigezo gani ? Yes Zitto ana MSc na Lema na Elimu ya kawaida lakini wote wanajua wanacho kitaka na niseme tofauti yao ni Elimu na kama unabisha ainisha hapa ubora wa zaidi mwingine tuone .
 
Nikwel kafulila kuludi chadema si dhambi ilimladi afuate katiba na talatibu za cdm
 
Mtu mwenye akili hawez kumfananisha Lema na Zitto.Lema bado sana ktk siasa
Mtu mwenye mtindio wa ubongo kama wewe unatumia muda mrefu kuwalinganisha askari wa jeshi moja kwa nia za kipumbavu ili watu waamini kuwa askari hao wanashindana wao kwa wao! Wacha ujinga wako, mwendawazimu mkubwa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…