Walichofanya ilikuwa ni kuzuia kile wenyewe wanachoita mapinduzi yaliyolenga kumtoa Mbatia kwenye kiti chake. Sasa wamechelewa. Nafasi pekee ya kumdhibiti Kafulila ilikuwa kumsamehe pale alipokwenda kulamba viatu vya Mbatia. Sasa hivi wakimsamehe watakuwa wamemrahisishia njia yake ya kubeba uenyekiti. Na wakishilkilia uamuzi wa kumfukuza ndiyo anaaondoka na chama. Kuna somo kwa vyama vyetu hapa.haya ndiyo matokeo ya kukurupuka katika maamuzi hivi hakukuwa adhabu nyingine zaidi ya kumfukuza uanachama
Hata hivyo ni bora kabla hajachukua uamuzi huo James Mbatia angefanya utafiti/uchunguzi nini ingegekuwa impact ya kumfukuza chamani David
Chama bado kina nafasi ya kulitatua tatuzo hili ndani ya siku 14 walizo mpa au kupitia mahakama
hawa jamaa hawana mzaha ooh !!!
litafute Mtanzani la leo nadhani
Tunatafuta habari mkuuMkuu bado unasoma gazeti la mtanzania katika zama hizi?
kafulila atakuwa maarufu si muda mrefu
Padri Mmoja sawa na masheikh ubwabwa 1000!!
ni kweli mana mapadre ndio wanaoongoza kwa ushoga duniani..padre mmoja anaweza ku...f rwa na hao wote bila wasi wasi.
David Kafulila aliyeenguliwa ubunge na chama chake NCCR alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi
Wakati huko CUF - DAR
kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama waliwachapa vibao wajumbe na baadhi kujeruhiwa
Source magazeti ya leo via RFA
Mimi naisubiri kwa hamu sana hiyo kesi ya kikatiba. Kama wakiifungua na mahakama ikazingatia maslahi ya wananchi, basi hii tabia ya viongozi wa vyama vya siasa kushindwa kuwavumilia wenye mitazamo na yao itakoma.
Na hoja ya kuwa na mgombea huru inazidi kuonekana umuhimu wake ili kuondoa mianya ya udikteta kwenye vyama vya siasa.
Ama kweli mmeamua kuwa kazini! Tunajua fedha za MKONO ndo zinafanya kazi kila sehemu ila elewa ZITTO sio maarufu ki-hivyo kama unavyotaka wana-JF tuamini. Ukweli ni kwamba mbinu zote tunazijua hivyo mpe salam kuwa jamaa wameshtukia issue anazotaka kuzifanya. Utata wake hajauanza leo na huyo Dogo Kafulila bora achague kazi za kufanya mbona zipo nyingi sana hapa Tanzania. Siasa zimemshinda Kafulila anatumika na ZITTO na hata wewe mtoa mada kama umetumwa umetukosa!!!!!!!!!!!!!Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!
TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm, na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!
sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?
elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!
elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?
Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!