Kafulila afichua wizi wa Bilioni 200 za Tanesco BOT

tujilauim kwa kuingiza mwizi ikulu

Hakuna sababu ya kujilaumu,ni kazi ya wabunge kuipigia kelele wakaguzi (International Auditors) ambao ni wazuri kwa kufanya uchunguzi kuliko watanzania sababu kubwa moja,hawa siyo rahisi kupokea rushwa.Hivyo wabunge wapige kelele nyingi tu ili hili lla International Auditors likubalike ili waje kufanya Investigation nadhani inaitwa "Forensic Audit' kama sijakosea.
 
Tusubirie kwanza taarifa maana maelezo ya hawo wanaukawa hawaaminiki kabisaaa

Usubiri taarifa kutoka kwa nani? Watuhumiwa mbona walikuwa bungeni na hawajakanusha? A twit (from Lumumba) at work!
 
Wanaukumbi,

Wenje ma Lema wamesimama leo wakitaka kamati huru kuchunguza wizi BANK KUU Iundwe wakidai KAFULILA DAVID ana ushahidi.

Hili ni jambo serious hawa wabunge wahojiwe.

Kwa mara nyingine tena serikali sikivu ya Kikwete imefanya kweli kwa kuiba fedha takribani Billion 200 za Tanesco BOT.

Gavana wa BOT amefunguka na kudai kuwa alishinikizwa ili kuzitoa fedha hizo.

CCM inaendelea kutafuna nchi hii, Kikwete mpaka aondoke lazima tutakuwa hohehahe.

Billion 200.
Hahahaha kweli viongozi wa nchi wanamewazoea wananchi mpaka bassi .

Itokee nchi kama " China" shutuma kama hiyo . ..mnajua nn kinatokea.

Huku kwetu tunakenyuliana meno tu..kama vichane vya ndizi,na kuishia kujiuzulu.
 
Tutegemee majanga zaidi,ukizingatia Mwigulu ndiye naibu waziri wa fedha,nadhani kwa kazi maalum ya uwizi. Watanzania/wabunge pigeni kelele tuokoeni.
Mtoto wa ndugu yangu ni mgonjwa,leo amepelekwa hospitali ya wilaya. Tiba ya ugonjwa wake ni upasuaji,ila hawana vifaa na madawa. Natamani kulia. Tuchukue hatua.
 
Billion 200.
Hahahaha kweli viongozi wa nchi wanamewazoea wananchi mpaka bassi .

Itokee nchi kama " China" shutuma kama hiyo . ..mnajua nn kinatokea.

Huku kwetu tunakenyuliana meno tu..kama vichane vya ndizi,na kuishia kujiuzulu.

Ahaaaaaaa ahsante mkuuu.....uchina hadi mawaziri wanapgwa kibra au mvua maisha...tzee ati serikali inashndwa kesi na ushahidi uko wazi
 
hiyo pesa ndiyo iliyotumika kuhonga wajumbe wa baraza la katiba..na kampeni za kalenga na chalinze..
 
hiyo pesa ndiyo iliyotumika kuhonga wajumbe wa baraza la katiba..na kampeni za kalenga na chalinze..
 
Wana Jf nimeshangaa kusikia toka kwa Utoh kuwa PRIDE ni mali ya serikali lakini imekuwa ya mzee wa UDA Idd Simba kinyemela
 
Nyie wote mnaochangia hapa kwenye mada hii ni wehu kwa maana. Mnapoteza mda wenu tu. Ccm a ukawa hawa wote mi wezi less mwenyewe jamabazi mp aka leo ni tape Li.
 
ludovick utouh naona ulipita bot ukalambishwa asali. kimyaaaa. jana nimekuona unatoa report
 
Kwa mara nyingine tena serikali sikivu ya Kikwete imefanya kweli kwa kuiba fedha takribani Billion 200 za Tanesco BOT.

Gavana wa BOT amefunguka na kudai kuwa alishinikizwa ili kuzitoa fedha hizo.

CCM inaendelea kutafuna nchi hii, Kikwete mpaka aondoke lazima tutakuwa hohehahe.

nilimskiaa kafulila kwenye newz dah....inasikitishaa sanaa ilaa unaweza kchekaaa piaaa
 
Wakati mwingine ukiona watu wanaropoka tu tena Mbunge mzima bila evidence unabaki unashangaa tu.
 
kafulila ni sisimizi - dr slaa

kwani huo usisimizi wake unahusianaje na hii kashfa nzito aliyoibua? kama huna cha ku-comment ni bora ukae kimya hata kama unalipwa/day/post. komenti za kipuuzi kama hz zinawafanya wanaLumumba muonekane matutusa!
 
zis kantri iz kushindikana kabisa kwi kwi kwi...ibeni tuuuuu mpaka mchokeeee maana hakuna wa kuwafanya kitu mkichokaaa basi endelenI kulaaaaa mihelaa hyo
 
Tutegemee majanga zaidi,ukizingatia Mwigulu ndiye naibu waziri wa fedha,nadhani kwa kazi maalum ya uwizi. Watanzania/wabunge pigeni kelele tuokoeni.
Mtoto wa ndugu yangu ni mgonjwa,leo amepelekwa hospitali ya wilaya. Tiba ya ugonjwa wake ni upasuaji,ila hawana vifaa na madawa. Natamani kul ia. Tuchukue hatua.
wewe unaona tuchukue hatuaa gani mkuu mkiandamanaaa tutakulaaa kibano..jamaaa wana nguvu dolaa yote wao.si ulionaa ile miaka ya 50 wale wajedah walikuaa wana vnjaa tofali usoni kwikwikqi
 
Hoja ya Kafulila haina mashiko

Pesa imetoka BOT kwa kufuata taratibu na wizara ya fedha inajua na ndio ime confirm malipo yafanyike.

Maswala hayo yapo mahakamani na jaji ametoa amri.

kwa hiyo wewe ndiye msemaji wa mahakama? lunatic!
 
Kafulila ana kila document inayohusiana na wuzi huo na zimefichwa. Msije mkaenda kumwibia briefcase na kummaliza kama Silvanus Mzeru. Hamtakuta huko kitu.
 
Bunge halina uwezo wa kufanya uchunguzi wowote wa kitaalam.

Ningeunga mkono kama wangeshauri iteuliwe Auditing firm yenye uzoefu ikaangalia kama kuna makosa.

Vinginevyo hao wanasiasa ni kutafuta sifa tu hamna lolote wala hawana nia njema na nchi!!

ni kweli kabisa. wanasiasa wanaoibua wizi wa mabilioni ya shilingi hawana nia njema na wenye nchi (CCM)--wanataka kuwavua nguo hadharani wakati wanatutafutia pesa za kula--wanataka mwaka ujao (2015) wananchi tusile ubwabwa!!!!

View attachment 156807
 
Back
Top Bottom