kafikaje hapa

kafikaje hapa

Yep...kama kawa mkuu...Huwa nakuchora chora yale maeneo yako ya kuuzia sura na wale warembo wako wawili bwana

ha ha ha!! yaniiii we acha tu! maisha haya..nimekua na hofu na kale kajukwaa ketu kaleee(cele..) kila asubuhi lazima nikasabahi pale maana watu hawakawiii..
 
ha ha haaaa!!! haya bwana...wape hi warembo wako...halafu punguza kupigwa BAN mkuu maana dah!! hadi unakaribia kuvunja rekodi ya dunia.
 
kabla hatujakujibu! tukuulize na wewe umempigaje picha?
 
niliipiga hivi

Funny-poses-of-photographers-19.jpg
 
niliipiga hivi

Funny-poses-of-photographers-19.jpg
529985_423765734335649_657780085_n.jpg

jamani! ati great thinkers naombeni kuwauliza kwanza kabla sijamjiu tena c6. je? kuna uhusiano wowote wa kimazingira kati ya mpiga picha c6 na huyu mnyama kweli. mpiga picha c6 anaonekana yuko bandarini na mnyama anaonekana yupo kwenye makazi ya watu majumabani, mean while distance between c6 na mnyama iko very close very very close, i wonder why c6 aka mpiga picha awe kwenye haya machuma kama vile yako bandarini si bandarini,mtoni si mtoni n.k na huyu amnyama awe juu ya paa? kwanini wote wasiwe juu ya paa au hayo machuma?

c6 bado jibu halijaniridhisha!
 
hapo ni kwenye uzio wa nyumba upande wa nyuma kwa juu, coz sijatoa eneo zima ndo maana umeona tuko sehemu tofauti
 
kweli uzio wako a nyumba ni wakichina! yani uko kama chungu unaifadhi maji, na udhio wako kweli dili yani ni chuma tupu,sklepa iyo.funny enough uzio wako ulo kwenye paa bado? kwakuwa uzio gani wa nyuma unaurefu wakufikia paa la nyumba? uzio mrefu kama ghorofa mkuu? safi sana
 
Back
Top Bottom