kafikaje hapa

kafikaje hapa

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
529985_423765734335649_657780085_n.jpg
 
kafika kwa mabawa ya adobe PS :A S-frusty:
 
hii itakua sayansi ya kiafrika sio bure....... khaaaaaaaaaaaa!
 
Mbona wale watu kule chini barabarani hawashangai! Na kwa jinsi ng'ombe anavyotembea hawezi kabisa kufika hapo peke yake wala kuimili kusimama kwa hako ka muda!!
 
Hyo ni PICHA DUKA Ila mmmmm izo ishu kule kwetu kawaida sana hayo mambo.
 
Back
Top Bottom