kitandilikunja
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 229
- 37
Leo tuzungumzie swala zima la Kafara.
Kwanza kabisa KAFARA NI NINI?
Kama una uelewa na mambo ya kafara funguka hapa,tushirikiane
Kuna aina NGapi Za KAFARA?
Njoo na panga nikuonyeshe kafara ni nn?