Kafara Kafara Kafara!!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Hivi hatuwezi kujenga majengo marefu bila ya watu kufa?
Vifo vya ajabu kabisa, havielezeki.
Na kibaya zaidi ni kwamba wenye majengo yaani wanaona kama amekufa mbuzi tu.
Utasikia wanatoa rambirambi elfu hamsini.
Afrika bwana , looo kinyaa kitupu.
 
na yale majengo yalibomoka jana china nayo ni kafara yamekunguta 140 so far nao wapewe ngapi kwa hesabu zako za fasta
 
Back
Top Bottom