Kafara halina rivasi

Kuna jamaa alinitonya yeye alishuhudia mbuzi anafukiwa mzimamzima ile sauti ya meee ikiishia huko kwa huko, nafikiri wengi wetu hatujaelewa vizuri hili tukio, "Yesu kujitoa kafara kwa ajili ya ulimwengu"
 
Nitaanza rasmi kufatilia threads zako mkuu km reference kutoka kwa mtu ambaye ni trusted kupitia maandiko unayotoa. I'll do this kwa sababu people ambao ni trusted katika Jamii ni wachache, people who can write some wise thoughts and people believe or take them as lessons are very few.
 
Huyu Mzee yupo vizuri sana siwezi kupita thread yake bila kusoma.Mungu ambariki sana
 
Mkuu naomba unijibu maswali haya;

1.ukitoa kafara kwa nia ya kutajirika pesa utazikuta chumbani zinakusubiri au nini kinatokea hadi unakuwa tajiri.?

2.kina uhusiano gani kati ya kafara ambayo iko kiroho zaidi na pesa ambayo ni kitu physical(can be seen and touched)

 
 
Kuyakuta maburungutu ya pesa chumbani ni uongo au mazingaombwe..... Na Kama ikotokea hivyo inabidi uzibadili kuwa pesa halisi... Ndio maana wengi huzipata kupitia biashara kwakuwa zinaelezeka kuwa umezipata kupitia biashara
 
Kuyakuta maburungutu ya pesa chumbani ni uongo au mazingaombwe..... Na Kama ikotokea hivyo inabidi uzibadili kuwa pesa halisi... Ndio maana wengi huzipata kupitia biashara kwakuwa zinaelezeka kuwa umezipata kupitia biashara Kila jambo huazia rohoni... Kisha matokeo yake huwa ya kimwili hivyo mambo yote duniani msingi wake ni roho
 
Asante bro mchana, mpaka sasa nimechagua maisha ya kawaida tu. Sitaki utajiri kwasababu sina uhakika nitaumiliki kwa kipindi gani hapa dunian. Mada imegusa kwenye viunga vyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…