Kafara halina rivasi

Mkuu nikifanya matambiko madogo madogo ya kuku bata njiwa paka kisha nikafika kiwango flani nikarizika na maisha hayo halafu nikasimamisha tambiko kwa kufanya matambiko yaleyale ya kuku bata paka sungura kutakuwa na shida gani?
Rudi tu njia kuu mkuu matambiko hayana mwisho
 
Umenena vyema kabisa Mkuu,utajiri wa makafara haujawahi kumwacha MTU salama.
 
Je kafara ya kujitoa kwa wengine kwa hali na mali c ndo huwa inaturudisha nyuma.
Embu dadavua kwenye hili katika mafanikio!
 
Ya ukweli ni yapi? Je ni kweli kuna kuku anakula mahindi yale mahindi anyokula ndo miaka ya utajiri wako?
Mie najua wale jamaa ni bahiri kama nini na wanapga kazi maana wametoka milimani ambako zao kuu ni mbao kilimo ni kigumu kutokana na milima na baridi kali
Una mengi ndani yake ya kweli na ya kuzusha
 
Swali la msingi kuwasaidia wadau.
Mtu anaweza kuwa tajiri bila kafara?
Maana tunasikia hata vyeo e.g. uwaziri, watu wanaua watoto wao.
 
Yes inawezekana kab is a Ila shida itakuja kwenye kuulinda
Swali la msingi kuwasaidia wadau.
Mtu anaweza kuwa tajiri bila kafara?
Maana tunasikia hata vyeo e.g. uwaziri, watu wanaua watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…