Kafara halina rivasi

Hapo kwenye kukatisha uhai wa viumbe hai, je ukichinja mnyama kama kitoweo bado atakuja kufa tena kihalali? Nataka kujua tofauti ya kuchinja kwa kafala na kwa kitoweo.
Kwenye kuchinja kuna dua maalum ndio maana si kila mmoja ni mchinjaji... Waislam wanajua hili.. Dua huongezeka maneno kadiri mnyama anavyokuwa mkubwa...
 
Damu ya mnyama haimlilii mtu..na anayetolewa msukule ndio hubaki hai mpaka mda aliopangiwa kuondoka duniani kiukweli ufike!
Ila mnyama akichinjwa ndio kaondoka........
Kuna vifo vya kimwili na vifo vya kiroho... Kuna ukomo wa mwili kutengana na mwili
 
Matumizi mazuri kwa mahitaji ya mwili hakuna shida.. Ndio maana wachinjaji hufanya dua maalum kabla ya kuchinja. Na hizo dua hazifanani toka mnyama hadi mnyama kuna la kuku kuna la mbuzi nknk
Juzi nilikuwa naangalia program moja inaitwa WHAT IF. Humu walieleza, Nyama siyo source pekee ya protein, unaweza kula majani kama salad au mboga za majani za kuchemsha na ukawa na protein ya kutosha tu, walikuwa wanalinganisha farasi wale wanaokimbia sana kule kwenye Kentuky Derby huwa hawali nyama bali hiula majani lakini wana misuli mikubwa na yenye nguvu sana. Tizama Ng'ombe au mbuzi hula majani lakini wana misuli na nguvu nyingi, sasa iweje sisi binadamu tuone ni lazima kula nyama ili kupata protein?
Nimechombeza tu, kwasababu uzi ni makafala ,sina uhakika kama nyama ya mnyama wa kafara inaliwa?
 
 
 
Huwa daima nashukuru kuipata ile nafasi ya kusoma kule.... Yale maarifa yale sijui ningeyapata wapi pengine tena bure kabisa
Niliishi kama vegetarian na mseja (90%) kwa karibia miaka mitano.... Kuna uzuri wa ajabu kwenye kuwa vegetarian....

Nje ya mada... Napata hisia wewe ni Doctor M
 
Hongera, ile elimu ni nzuri sana... tatizo ni wengi hushindwa kufanya choices za ama waendelee au wasiendelee na useja.
Huyo Doctor M siye mimi ila tu marafiki sana.
 
Natamani sana kufungua chuo haps Tanzania
Penye nia pana njia, Tafuta eneo kwanza kasha tafuta wafadhili, naimani hutokosa watu wa kukusaidia kwenye hilo. Chuo ni IDEA NZURI SANA.
KAMA HILO LIPO MOYONI MWAKO, SIYO VIBAYA UKAJARIBU KUFIKIRIA JINSI YA KULITEKELEZA.
Mimi nitakupa Support.
 
Penye nia pana njia, Tafuta eneo kwanza kasha tafuta wafadhili, naimani hutokosa watu wa kukusaidia kwenye hilo. Chuo ni IDEA NZURI SANA.
KAMA HILO LIPO MOYONI MWAKO, SIYO VIBAYA UKAJARIBU KUFIKIRIA JINSI YA KULITEKELEZA.
Mimi nitakupa Support.
 
Huwezi kuwa unatumegea hiyo elimu kidogo kidogo humu jf Mshana Jr. maana naona yaweza kuwa elimu yenye manufaa kwetu.
Dah nimeandika sana hapa... Nimeandika mno... Nimeandika mengi sana
 
Naomba kuuliza ...

Hivi kuuza roho kunakuwaje?
 
Mkuu nikifanya matambiko madogo madogo ya kuku bata njiwa paka kisha nikafika kiwango flani nikarizika na maisha hayo halafu nikasimamisha tambiko kwa kufanya matambiko yaleyale ya kuku bata paka sungura kutakuwa na shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…