Boflo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 4,383 Reaction score 4,412 Jun 4, 2013 #1 ......, Attachments image.jpg 38.9 KB · Views: 484
D Dr Kingu Senior Member Joined Jun 13, 2011 Posts 154 Reaction score 43 Jun 4, 2013 #2 pengine alikuwa kt maandamano huku mtwara akipigania gas kwanza uhai baadaye au harakati za move for change.
pengine alikuwa kt maandamano huku mtwara akipigania gas kwanza uhai baadaye au harakati za move for change.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,306 Jun 4, 2013 #3 kama vile Bujibuji..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,881 Jun 4, 2013 #4 Boflo said: ......, Click to expand... Huyo kala K ya watu halafu kataka kusepa bila kulipa
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Jun 4, 2013 #5 Hahahahahahah mwanammke kakaz huyo duh anafaa kuwa jeshi.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Jun 4, 2013 #6 georgeallen said: Huyo kala K ya watu halafu kataka kusepa bila kulipa Click to expand... Hahahahahahaha kwa hiyo safari ya polisi hiyo
georgeallen said: Huyo kala K ya watu halafu kataka kusepa bila kulipa Click to expand... Hahahahahahaha kwa hiyo safari ya polisi hiyo
cute beiby Senior Member Joined Feb 12, 2012 Posts 129 Reaction score 44 Jun 4, 2013 #7 Atakuwa anadaiwa na mama ntilie Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jun 5, 2013 #8 Mke wake (huyo baunsa) kamfumania na nungayembe fulani, anamrudisha home sasa wakaongee
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Jun 5, 2013 #9 cute beiby said: atakuwa anadaiwa na mama ntilie sent from my blackberry 9900 using jamiiforums Click to expand... hakika dawa ya deni ni kulipa......
cute beiby said: atakuwa anadaiwa na mama ntilie sent from my blackberry 9900 using jamiiforums Click to expand... hakika dawa ya deni ni kulipa......
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Jun 5, 2013 #10 Boflo said: ......, Click to expand... Kibaka huyo ilitokea mikoa ya kusini chezea mama wa Kinyakyusa
Boflo said: ......, Click to expand... Kibaka huyo ilitokea mikoa ya kusini chezea mama wa Kinyakyusa
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jun 5, 2013 #11 Mwali said: Mke wake (huyo baunsa) kamfumania na nungayembe fulani, anamrudisha home sasa wakaongee Click to expand... kumkwida shati namna hiyo kuna kuongea kweli hapo...?????
Mwali said: Mke wake (huyo baunsa) kamfumania na nungayembe fulani, anamrudisha home sasa wakaongee Click to expand... kumkwida shati namna hiyo kuna kuongea kweli hapo...?????
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jun 5, 2013 #12 Heaven on earth said: kumkwida shati namna hiyo kuna kuongea kweli hapo...????? Click to expand... wanaongea kwa lugha anayo ijua huyo mama. #ChaMtemaKuni
Heaven on earth said: kumkwida shati namna hiyo kuna kuongea kweli hapo...????? Click to expand... wanaongea kwa lugha anayo ijua huyo mama. #ChaMtemaKuni
yatima JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 354 Reaction score 132 Jun 5, 2013 #13 kalipiwa ada hataki kwenda shule .............. anakaa kijiweni kucheza bao/karata!!
K KAPONGO JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 1,688 Reaction score 679 Jun 5, 2013 #14 anarudishwa nyumbani ili akachukue jembe akalime ili ailee familia....maandamano ya vyama uchwara na vya kuchumia tumbo hayana tija kwa familia.
anarudishwa nyumbani ili akachukue jembe akalime ili ailee familia....maandamano ya vyama uchwara na vya kuchumia tumbo hayana tija kwa familia.
mdida JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 1,607 Reaction score 777 Jun 5, 2013 #15 mama ntilie huyo anadai hela yake.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Jun 5, 2013 #16 Kakopa
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Jun 5, 2013 #17 Nilikuwepo eneo la tukio. Huyu dogo alikimbilia katika pool table baada tu yakumaliza lunch. Alisahau wajibu wake wa kusafisha sahani aliotumia kwa chakula
Nilikuwepo eneo la tukio. Huyu dogo alikimbilia katika pool table baada tu yakumaliza lunch. Alisahau wajibu wake wa kusafisha sahani aliotumia kwa chakula