nyota wa mchezo
Member
- Sep 18, 2017
- 19
- 13
Wewe umekosa kazi yakufanya[emoji19][emoji19][emoji19]Ni Hivi Hawa watu Kaeni Mbali nao nawamiliki mimi ndio meneja wao
Huyu G hamumjuui na sitaki mumjue Maana Wanawake wa humu nawajua wengine kupendwa hamjawah pendwa nikiwapatia username yake mtanipindua japo Ana msimamo kama Osama (anaishi Us?)hababaiki hata Uwe na nini ashaona Wanawake duniani wote si hababaiki namuamini 100% (baby unajua Nakuamini usiniangushe)
Anaefata Iceman 3D huyu mwanaume ni smart sana Jf ni namba 2 kwangu pia sidhani kama kuna anamfikia Labda Daby hawa ni smart sana wanaheshimu sana Wanawake ukitegemea leo ni Siku ya Wanawake duniani (hutakuta anatukana mwanamke au yeyote yule Jf wote Hawa) nawapenda Kufa japo G wangu na S hawachangii nao wanatuheshimu sana
Sasa ni hivi ukimtaka ice man password ninayo bora nifate kwanza mimi sitaki kumchagulia nyungaembe Daby, S, Iceman japo Daby ananizidi ujanja Basi jueni hizi ni Roho za Dinazarde Mkiwagusa mmenigusa na mimi pia.
Nawapenda Hawa watu nipo tayari Kwa lolote nawajua wananipenda pia
Kwa mwanamke ni mmoja tu humu huwa nae Yupo busy sana
Hala hala mkiwataka S, Daby, Iceman Nitafutieni kwanza nawajua sio maharage ya mbeya Hawa watu nawajua vyema humu. G simtaji ..Yupo maskini kuliko yeyote humu hahitaji kujulikana Kwa yeyote zaidi ya mimi PM zake Nimesoma nacheka tu mimi.
Kwa wanaonitaja bila Hawa ujue wanataka dudu na hawatopata, mimi ni muhimu sana humu jueni hivyo tu
Mmenielewa nadhani niacheni roho zangu jamani
Anaweza asiwe hb ohoo,asa sijui itakuwaje maana hb's ndiyo level zakoHuyu G lazima nimpatee sasa mm nitakuja na screen short kabisa
Dada nipe id yake pm
Anavyosifiwa hivi ni hbAnaweza asiwe hb ohoo,asa sijui itakuwaje maana hb's ndiyo level zako
Sasa Mimi simo katika foleni wajameniHahahahahhaah
Mahondaw sitaki kuwaingiza watu Kwa majangaz Najua wakipenda wanapenda
Unaomba siku zirudi nyumahhahahah ujana rahaaa sanaa
Kama mimi[emoji23]Hahahahahah Nampenda Kufa The list
Unaomba siku zirudi nyuma
Kuumbe hata mimi utanipenda basi ngoja siku zigeuke.Hahahahahah Nampenda Kufa The list
doh!😱😱Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe, username nying mtu mmoja
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
But but
We need to talk first Ney
Wanawake wambea nyie looh
Jose! [emoji15]
Picha ishaungua[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kumekuchaaaa..nawaona nawaona..Haitokaa itokee
AiseeeHapo kwa kweli nashindwa kukujibu maana naogopa kusutwa ...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nyie watu nyie....Jose ama??
Hunter hata wewe?Naona picha linaanza kwenye trailer tu staring anakufa kwenye shamba la miwa. Hii movie nakaa pembeni [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah shemeji...daaahHapo kwa kweli nashindwa kukujibu maana naogopa kusutwa ...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wifi yangu analijua hili? nauliza tu jamanMimi namba mbili mweeh!
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
[emoji124]
Baby habari za masiku tele?Kumekuchaaaa..nawaona nawaona..
kuna harufu fulani naivuta hapa..mmmh[emoji103] [emoji103] [emoji102]
Nimemuona baby wangu nyota imeng'aa full kismati [emoji28][emoji28]