illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
kama sikosei majina yake kamili ni John kaduma huyu jamaa alivuma sana Enzi zile sani haijawa gazeti bali ilikuwa ni jarida ambalo lilikuwa linatoka kwa awamu...kina mayuku, madenge, kifimbo cheza, shamba la panga, ndumilakuwili, kifimbo cheza...jama kama sikosei alikuwa mchoraji mzuri sijui amepotelea wapi aiseee