Kadri unavyozidi kupanua ndivyo watu wanavyozidi kutamani

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
11,253
21,275
Hiyo ni Kauli aliyotamka Mama yetu kipenzi Msomi Prof Tibaijuka leo alipokua akichangia katika Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini 2017/2018, Kauli hiyo ilifuatiwa na shangwe, nderemo na vifijo vya wabunge wa CCM mpaka mama akaomba alindiwe muda wake.

Sasa kitu najiuliza kwanini waheshimiwa wamefurahia sana kauli hii ilhali mama alikua anazungumzia Kupanuka kwa maendeleo ya kuwekewa umeme.? Kuna wakati nilijua Wabunge ni watu serious sana kumbe na wao ni kama sisi tu.

Kutokana na kauli hiyo nikakumbuka wimbo mmoja aliimba Msanii aitwaye DANI MSIMAMO na WAGOSI WA KAYA unaitwa "Nyeti" katika verse ya yule wa Kuitwa Dr.John anaanza kwa kusema "Wabongo jinsi mnavyopenda Ngono, Nikitaja Nyeti basi mawazo yenu Mwayapeleka Mbaaaaaaaaaaaaaliii (watu; ha ha ha ha haaa noma noma noma!!!) Sijaanza kuelezea mshaanza kuchekelea", huo mstari umeendana sana na kilichotokea leo Bungeni.

Pia nikajikuta nakumbuka wimbo mwengine wa Hao hao wagosi wakaya unaitwa "BAO"( unaweza kuucheck youtube), Humo namo ni shida, mfano kuna mstari anasema "Mshike Mkono Mkeo kisha aje Akalie- kwenye kooochi" , mstari mwengine anasema "unampanua pale-kimawazooo", tena anaongeza "unampelekapeleka mkeo mpaka kwenye kilele-kilele cha mafanikio.

Haya jamani, Eti Ni kweli kwamba Inavyozidi kupanuliwa ndivyo Inavyozidi kutamanisha?
 
hapana sifatili picha za wabibi
Aisee, huwezi kujua kama ni yeye... yaani kwenye hio picha, anaonekana kazeeka usoni tu.

Kuanzia shingoni kushuka chini, hot figure utasema ana 21.

Tena alivaa na suruali yakumbana, ili wowowo lionekane fresh
 
Aisee, huwezi kujua kama ni yeye... yaani kwenye hio picha, anaonekana kazeeka usoni tu.

Kuanzia shingoni kushuka chini, hot figure utasema ana 21.

Tena alivaa na suruali yakumbana, ili wowowo lionekane fresh
Ha ha haaaa.. Muwekee ile picha Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom