Sio wa Kagame, wa Obama!!! Huyu jamaa aanzishe dunia yake tu!Wewe si ulisema unataka kumuoa mtoto wa kagame?.
Braza usiumize kichwa kwa huyo mjamaa toka ahame cdm dish likaanguka kabisa na wala halipatikan lirekebishwe, by the way eti ni mwalimu piaUna watoto halafu wakakufungia milango mbona hueleweki? Labda ndoa, sacramenti au nini? Makanisa yapo mengi si uhame? Sasa elimu yako ni kikwazo gani? Jiongeze uwe na maamuzi yako yanayojitegemea