Kadinari pengo mapadre wamenifungia milango

Kadinari pengo mapadre wamenifungia milango

Status
Not open for further replies.
NAOMBENI HUU UZI UFUTWE AU MUEDIT VICHWA VYA HABARI UMEKAA KICHOCHEZI ....moderator huwa mnafuta mambo ya maana sielewi hili mnaliacha Kwa faida ipi; Futeni huu Uzi hauna maana

Wala usipate taabu nae Mkuu na huna haja ya kuwaomba Moderators wautoe huu ' uzi ' kwani wenye akili zetu tumeshajua ya kwamba kauanzisha ' makusudically ' kabisa ili kulichafua Kanisa langu / letu Katoliki na kwamba ana ' Agenda ' yake ya Siri hivyo Sisi wenye ' Ukatoliki ' wetu timilifu tutamfundisha jinsi ya kuwa na adabu na umakini hasa linapokuja suala zima la dini au imani au dhehebu la Watu. Atakipata tu anachokitafuta kutoka kwa Wakatoliki na bahati nzuri sana tupo / tumo wengi tu humu Jamvini.
 
Ukiona Mapadre tena hasa wa Kanisa Katoliki hawakukubali jua ya kwamba una matatizo makubwa ambayo hata Mwenyezi Mungu akipelekewa na Yeye yatamshinda na atamuachia tu Lucifa ( Shetani Mkuu ) amalizane nayo.
Bora wasimikubali,mapadri wenyewe hawa wanaopokea pesa zisizoeleweka zenye mashaka kama za eskro
 
Mental issues, Deo sio mzima na sijui why admins wanamuacha aendelee kupost utumbo wake humu.
 
Hiv huyu deo ni mtu yupo anapatikana mtaan nahisi yupo sober akiiba simu ndio anaingia jf
 
Mapadre wote wa kanisa katoliki nchi nzima wameungana tangu mwaka 1998 kuniwekea vikwazo na kuhakikisha sifanikiwi. Na poandika hapa nikuwa pia wanapotosha elimu yangu kwa maslahi yao, mimi nimesoma chuo kikuu cha SEKUCo cha Lushoto lakini wao wanasema ni SAUT, naomba elimu yangu isiwe kikwazo kwa kanisa, hivyo ni bora nifunguliwe milango, mimi tayari nina watoto natakiwa kulea watoto wangu, naomba sana baba Pengo ingilia kati. NIMECHOKAAAA

Ndimi, DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
Yaani wewe..
1. Kanisa linakuonea
2. Vyama vyote vinakuonea
3. Watu wote wanakuonea
4. JF inakuonea
5. Polisi wanakuonea
6. Shule zinaouonea

Ghairisha Kuishi
 
Hu the f is kishundu or sorry kisandu...we nan had wenye uelewa wale wakufungie..una msada gan labda kwa mfano
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom