Kadi za mwaka huu

Kadi za mwaka huu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1448717465616.jpg
 
Wee acha tu!Kuna watu wameshaanza kukonda vibaya sana suruwali hazikai kiunoni na matundu mapya yanatobolewa kwenye mkanda! Krismas mwaka huu itadorora mno na wenye bar hawatajaza minoti kwenye droo kama miaka mingine.
Nyumba nyingi mpya zinazojengwa zitasimama ghafla nyingine kwenye madirisha, nyingine kwenye lintel(lenta) na nyingi zaidi kwenye wallplate!

Mbwembwe za wakuu wa mashirika na idara za serikali zimeisha mwaka huu!
 
Tutaheshimiana tuu mwaka huu
 
Ni upuuzi tu kutumiana mikadi....huko kazini si tupo wote kwa nini tusitakiane hizo heri "live" kwa mdomo
 
Tunapunguza matumizi yasiyo lazima mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom